March 2014


When the Managing Director of JD Media approached me to accompany him to interview the first Indian-Tanzanian Chartered Architect, Anthony Bosco Almeida, I went with great enthusiasm and anticipation. Almeida was born in 1922 in what was then Tanganyika. At 92 years old, he stills an active architect engineer and he contributed to and become part of the history of the country.


It took us about an hour to reach his home on Toure Drive, Osterbay, where he has lived since the early 1970s. After some confusion and liaising through phone calls we finally reach his home for an exclusive interview about the pros and cons of the booming construction industry in the country.


When we approached the house, my photographer and I agreed that the beautiful house was well designed, of course owned by a qualified architect. His library and garden are decorated in an old fashioned style with antique style doors and windows which creates a charming atmosphere aided by the flow of fresh air from Indian Ocean.


On our arrival he quickly started to grumble of the recent demolishment of a building along Samora Avenue which was built and designed by his father during the era of German colonial rule. Almeida obviously received his passion for architecture from his father who was also an architect and died in Dar es Salaam in 1943.

At first Almeida was reluctant to discuss his opinions on individual architects,

“It is unprofessional to talk or comment about whether the work done by another architect is good or bad; it is unprofessional.”

But under the promise that we would not misquote him he agreed.


Anthony Bosco Almeida is a Catholic Indian who was born in Tanzania (then Tanganyika). At the age of 10 he left Tanzania to study in India only returning to his native country after qualifying as an architect. Encouraged by his father, he originally planned to become a civil engineer, but a chance discovery of an architectural school led him on the path that shaped his life. 


He gained admission to the Sir J.J. School of Arts in Bombay which was at that time the only architectural school in India.

The school had a fierce reputation with some of the world’s best known architects as regular guest lecturers and a batch of exceptionally talented senior students. These people were the ones who inspired him and were his “gurus” who he looked up to during his time there. 


In 1948 he qualified for membership of the Royal Institute of British Architects (RIBA). He reflected that during his studies he witnessed some very memorable events which shaped the country around him such as, India’s independence struggle with its non violent and civil disobedience movements, the partition and independence of India, the assassination of Mahatma Gandhi, the 2nd advent of “jive and the “jeep”.


Also during that time, his father who was his only surviving parent, died in Dar es Salaam. That left him questioning his choice of a career in architecture and whether he was committed enough to pursue it.

He muses that during those days the most prestigious qualifications within his community were those of doctor, engineer or lawyer, World War, the great fire of Bombay and the “Indeed these professions not only enhanced the status of the family but also enhanced the marriage prospects of the so qualified.”


It didn’t put him off and he quickly gained employment with Patki &Dadarkar-Architects in Bombay which helped him launch a successful career.


“Amongst my architectural involvements in Bombay was the designing of the then biggest covered ‘pandai’ ever constructed in India (32 feet high and 520 feet in diameter). The temporary structure was built to accommodate over 50,000 people for the first post-independence session of the All India Congress in Bombay.” 


He also designed a papier mache superstructure created to carry the ashes (in an urn) of the late Mahatma Gandhi, in the elaborate procession before the remains were scattered in the waters of the sea, off Bombay.


Almeida states that his return to Africa was partly due to necessity as properties left by his father needed to be managed. Understandably after many years in Bombay, there was a certain amount of reluctance to return to a land of which he only had childhood memories and where, by this time, he had no relatives.


He arrived in Dar es Salaam in October 1948 and upon arrival he realized that Dar-es-Salaam lived up to its name, the haven of peace. However, the city was lacking in his field with no qualified architectural practices in the city. He remembers that at this time he felt he did not have the experience, the capital or the courage to begin a practice of his own, so he decided to pursue other ventures. 


Almeida explained further that there were a few practices of structural engineers in the city. Under the difficult circumstances he accepted an offer of work with one such practice for the then princely sum of Tsh 1500.00 per month and a promise of partnership.


He remained with the engineering company for twelve months but by 1949 he was back to square one. At this point however, he had the sufficient local experience and some capital behind him to set up his own practice; in reality he had no other choice.


From 1950 to 1954 the bulk of the work he completed consisted of typical commercial and residential, storied town buildings. The demands of the time and the growing population meant architectural necessity was to utilize a building area as much as possible and create as many flats in a space as possible. 


The general lack of architectural awareness and the absence of government offers or government approved projects, proved frustrating and with few exceptions (private residences) his work of this period lacked the desired architectural inspiration and innovation he desired.


At last in early 1955 came the offer of a commission that was to change everything and remains the most important turning point of his practice. The commission came from the Goan community for a new primary school (600 pupils) which needed to be approved by the education department of the then colonial government.


After the completion of that project he started to receive government works such as Dar es Salaam Technical Institute Complex (1955), National Insurance Corporation (NIC), Central Library (1968), Harbours, Tabora Boys, The East African Community’s Regional Headquarters (1965) and the District Magistrates Courts (UWT Street) 1970.


Almeida has a reputation for being a hard worker and a disciplinarian. It is these attributes which have created the success of his career and earned him professional accolades such as the Central Library project selected for the International Architectural Exhibition in Mexico (1968) and the review of his works in “New Architecture in Africa” by Udo Kulterman.


Commenting on the recent tragedy of the collapsed building in the city, he said that it is work of the architect and therefore they must be accountable. 


Throughout his life in Dar es Salaam he has created strong relationships and made close friends with important figures such as Julius Nyerere, Oscar Kambona, Bhoke Munanka to mentioned a few. Although he is 92 years old, Almeida still going strong and continues doing his work at his home in Oyster Bay.






Photographer Roberto Bertero stands on the summit of Mount Rocciamelone, Susa Valley, Italy.
Mpiga picha , Roberto Bertero akiwa juu ya mlima Rocciamelone katika bonde la Sosa nchini Italia



New Zealand players perform the
Wachezaji wa timu ya Ruby ya New Zealand wakiwa wanashangilia kwa staili ya Haka katika mvua maraa baada ya ushindi wao dhidi ya timu ya Uingereza katika mchezo wao wa mwisho wa mashindano ya siku tatu yaliyashirikisha mataifa saba nchini Hong Kong.




Supporters of Turkey's ruling AK party (AKP) cheer as they follow the election's results in front of the party's headquarters in Ankara.
Wafuasi wa chama tawala AKP wakiwa njee za ofisi ya makao makuu ya chama hicho wakiwa wanafuatilia matokeo ya uchaguzi mjini ankara


Los Angeles Zoo shows Kalisa, a 15-year-old African lioness
bustani ya wanyama ya Los Angeles ikimwonyesha simba jike mwenye umri wa miaka 15 kutoka Africa







































































Benki ya kuhudumia Wananchi wa Kawaida  Nchini { NMB } imekabidhi mchango wa Vikalio 100 kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu katika Skuli za Sekondari za Donge na Kitope zilizomo ndani ya Wilaya ya Kasakazini “ B “ Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Msaada huo wa Vikalio wenye gharama ya shilingi za Kitanzania Milioni Kumi utasaidia kupunguza uhaba wa madeski kwa Skuli hizo za Donge na Kitope ambapo kila Skuli imefanikiwa kupata madeski 50.
Meneja wa Tawi la NBC Zanzibar Bwana Bakari Khamis Moh’d alikabidhi  msaada huo kwa  Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mbunge wa Jimbo la Donge Mh. Sadifa Juma Khamis hafla iliyofanyika hapo katika skuli ya Sekondari Kitope.
Meneja huyo wa Tawi la Benki ya NMB Bwana Bakari aliiomba Jamii kuendelea kuiunga mkono Benki hiyo ili kusaidia kuipa nguvu za kiutendaji itakaoongeza kasi ya kusaidia harakati za Kijamii Nchini.
Alisema Benki hiyo tokea kuasisiwa kwake mnamo mwaka 1997 imekuwa ikijitahidi kuunga mkono maendeleo ya Wananchi hasa katika miradi iliyomo ndani ya Sekta ya Elimu.
Akitoa shukrani zake mara baada ya kupokea msaada huo wa vikalio Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameziomba Benki nyengine Nchini kuiga mfano wa Benki ya NMB katika kusaidia maendeleo ya Wananchi.
Balozi Seif alisema taasisi za Kifedha ndani na nje ya nchi zimekuwa na mfumo maalum unaosaidia kuunga mkono juhudi za jamii katika maeneo tofauti ya kiuchumi na ustawi wa jamii.
Alisema Wananchi hawanabudi kushirikiana na kuzipa nguvu taasisi hiyo ili ziweze kutekeleza malengo zilizojipangia.
“ Ukweli halisi NMB ni Benki ya wanyonge. Ni Benki yetu inayolenga kuhudumia wananachi wa kipato cha chini. Huyu ndie rafiki yetu na tunapaswa kumuunga mkono “. Alisema Balozi Seif.
Naye Mbunge wa Jimbo la Donge  Mh. Sadifa Juma Khamis alisema Benki ya NMB imeonyesha umahiri mkubwa katika kutekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010  ambayo imejipangia kuimarisha Sekta ya Elimu iliyo  muhimili pekee wa maendeleo ya kiuchumi kwa Taifa lolote Duniani.
Akisoma risala ya Walimu na wazazi wa Skuli za Donge na Kitope Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Kitope Mwalimu Suleiman  Juma Makame ameupongeza Uongozi wa Benki hiyo pamoja na ule wa Jimbo la Kitope kwa juhudi zao zilizojikita zaidi katika kuimarisha Sekta ya Elimu.
Hata Hivyo Mwalimu Suleiman alisema zipo changa moto zinazoendelea kuzikabili skuli hiyo akatolea mfano wa Skuli yake ya Kitope inayokabiliwa na uhaba wa Vifaa vya Maabara pamoja na uwezekwaji wa jengo moja la Skuli hiyo.
Akitoa  salamu za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Afisa  Elimu wa Wilaya ya Kaskazini “B “ Mwalimu Ussi Machano alieleza kwamba mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif katika Sekta ya Elimu umekuwa mfano wa kuigwa na Viongozi wengine hapa Nchini.
Mwalimu  Ussi Machano alisema kwamba mchango huo kwa kiasi kikubwa umeipunguzia mzigo mkubwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika     ukamilishaji wa Majengo mbali mbali ya Skuli yanayoanzishwa na wananchi wenyewe kwa mpango wa kujitolea.
Huu ni mkupuo wa Pili kwa Benki hiyo ya NMB kusaidia vikalio kwa Skuli za Donge na Kitope.
Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Kitope waliohudhuria halfa ya kupatiwa vikalio vya skuli za Donge na Kitoe iliyofanyika katika Skuli ya Sekondari ya Kitope

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akipokea Madeski 50 kwa ajili ya skuli ya Sekondari ya Kitope kutoka kwa Meneja wa Tawi la Benki ya NMB Bwana Bakari Khamis Mohd.



Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya NMB mara baada ya hafla ya makabidhiano ya madeski kwa ajili ya skuli za Donge na Kitope.


THE telecoms Infrastructure Company in Tanzania, Helios Towers has inaugurate the In-Building Solutions (IBS) to strength and magnifying telecommunication networking in Tanzania.


Speaking during the launching of the operation in Kilimanjaro Hyatt Regency hotel in Dar es Salaam, yesterday the Chief Executive Officer of Helios Towers Norman Moyo said, this is new services in Tanzania that will ensure good and reliable telecoms networking in big and tall building in the country as well as strong telecoms road in the country.
 
Helios Towers Chief Executive Officer, Norman Moyo (L) addressing participants the official launching of Helios In Building Solution in Dar es Salaam at the weekend. With him are some of Helios Tanzania staff members

Moyo said the launching of In Building Solution it is the initiatives of corporates like Helios Towers which contribute largely in broadening the scope of the industry and enhancing basic communication services in the region.”


He said they already know and realize the importance of telecommunications in spurning development in the country and Africa as a whole. It is therefore of due credence that Tanzania has seen significant growth and continues to progress in this sector with newer and more promising avenues opening up.



As the sector matures there is a clear mandate to improve on the breadth and quality of these services; namely voice and data services. Tanzania has seen wide proliferation of next generation technologies like 3G and 4G services,” said Mr Moyo.

 
Helios Towers Chief Executive Officer, Norman Moyo (R) exchanging ideas with  OGM Consultancy Principal  Architect, Oswald Modu (L)  during the official launching of Helios In Building Solution in Dar es Salaam at the weekend. Lookingt on is AWD Ltd MD, Jamaal Awadh.

Helios chief added that much like the telecommunications sector, there has been significant investment in infrastructure particularly residential housing as well as commercial buildings and that Tanzania is at the early stages of a building boom, very often visitors remark at the number of cranes dotting the skyline as new high rise commercial and residential buildings are built.



“We are new in this business in Tanzania but we are very strategically in provision of well and high quality services in the industry, and we are sure that we are going to prove this in the market because we have enough budget, strong technical ability as well as experience” he added.

Mr Moyo said, it has been discovered that, the new buildings present new challenges to telecommunications services, particularly in service delivery within the buildings. The IBS service helps address this challenge whilst extending benefits to a number of stake holders.



Speaking about the benefit of IBS to mobile operators and ISPs, Mr Moyo said, the IBS platform is a bridge for you to reach its customers. Fortunately the solution supports all the mobile technologies and all the operators so nobody is left out. I have been told that the average investment made by Helios Towers has been USD $100,000 per building,” added.

Some of invitees exchanging views during the launching event.


In his side the Helios Towers Deputy Director Network Operations Joseph Mgulo said, this new service in telecoms in Tanzania will bring great changes in telecoms competition market where all telecoms companies will be able to provide high quality services.



He added that the operation has been researched and approved that is in high quality in this industry and has got no any effects to consumers.


Mvua zilizoanza kunyesha juzi usiku na kuenelea jana na leo asubuhi jijini Dar es Salaam zimesababisha adha katika makazi ya watu hasa wanaoishi katika maeneo ya mabondeni na watumiaji wa barabara kutokana na miti kuanguka na kuziba njia huku maji yakijaa barabarani na kusababisha ugumu kwa vyombo vya moto kupita, kama inavyoonekana kwenye video na picha zifuatazo kutoka kwa wadau...

 



Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014


Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014







Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014




 


 

 



 



 



 


 



 



 


Add caption



Dar es Salaam, asubuhi ya Ijumaa, Machi 28, 2014



Wakazi wa eneo la Jangwani wakiokota plastiki na chupa vilivyotawanywa na mvua kali zinazoendelea nchini kama walivyokutwa na kamera yetu jana asubuhi.  (picha: Imma Matukio blog



Wakazi wa Jangwani karibu na uwanja wa klabu ya Yanga wakiwa wamekaa juu ya paa la nyumba kukwepa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea. (picha: Imma Matukio blog)



Mti ukiwa ulioanguka usiku wa kuamkia jana na kuziba barabara ya Kinondoni, Makaburini jijini Dar es Salaam na kusababisha msongamano wa magari.  (picha: Francis Dande)


 Chanzo cha habari na picha www.wavuti.com







Kizazi cha kina DAVID Beckham na wachezaji wenzake wa timu ya Manchester ubnited waliotamba mwaka 1992  wanajipanga katika dili ambalo litawawezesha kuinunua timu hiyo kutoka mikononi mwa familia ya Glazers ambao ndio wamiliki wa sasa.
Scholes, Phil Neville, Giggs, Butt, Becks and Gary Neville
Kizazi kilichotamba kwa pamoja almaarufu kama ,"Class of '92"


Beckham na mashujaa wengine wa timu hiyo kama Paul Scholes, Ryan Giggs, ndugu wawili Gary na Phil Neville pamoja na Nicky Butt wako mstari wa mbele katiak kufanikisha dili hiyo kabambe itakayosimamiwa na mkataba mnono wa kupata hela toka kampuni ya mafuta ya Arab oil.


Wachezaji hao sita inasemakana wako katika mazungumzo ya upatikanaji wa hela hizo utakaowawedhesha kuunda umoja wa kuwawezesha kuinunua timu hiyo toka katika familia ya mmarekani  Glazer ambaye na hisa za umiliki wa timu hiyo kwa asimila tisini (90).


Familia hiyo inayoongozwa na kaka wawili Avram na Joel waliinunua jumla timu ya Manchester United mnamo mwaka 2005 ila mnamo mwaka 2012 wakauza hisa zenye asilimia kumi katika soko la hisa.


Vile vile kuna habari pia mkufunzi wa mbio za farasi  Ged Mason, mtayarishaji wa vitabu Fred Done na  mabilionea wengine kadhaaa nao ni miongoni mwa watu wanaoaminika ya kuwa wamefuatwa juu ya uwezekano huo wa ununuzi. 


Kama wavuatiliaji wa mambo walivyoona jana katika soko la hisa jinsi shea za timu hiyo zilivyopanda kwenye soko la hisa la New York  kwa asilimi mbili hadi kufikia  $16.14  na hivyo kiufanya klabu hiyo na kuwa na dhamani ya  $2.6billion toka  £1.6billion. ingawa klabu hivyo kwa sasa iko katika hali ngumu chini ya kocha David Moyes ambayo juzi ilipoteza mchezo dhidi wa wahasimu wake wakubwa  Manchester City kwa jumla ya mabao 3-0 , ambayo inamilikwa na waarabu.


Chanzo cha habari kimeendelea kutanabaisha ya kwamba familia ya Glazers wamepoteza matumaini. Na kila mmoja anafahamu ya kuwa kwa sasa klabu iko tayari kwa kuuzwa. Ni swali tuu la kupata bei nzuri itakakaowasaidia kurudisha hela yao waliowekeza. Na faida kidogo. 


Gazeti la Sun wanatambua ta kuwa katika dili hilo la kuinunua Manchester litafadhilia na familia ya kifalme ya Qatari royal family na kusimamiwa na kina Beckham. 


Beckham aliyeitumikia timu ya Paris Saint Greman kwa takribani miezi mitano itakumbukwa pia inamilikiwa na familia hiyo ya Qutari kabla hajamua kutundika daluga zake mwishoni mwa msimu uliopita. Chanzo hicho cha city kimeendelea kusema ya kuwa



 Mtaalam wa masuala ya fedha , Bwana David Bick na ambaye ameshriki katika dili za mambo ya soka ameliambia gazeti la The Sun ya kuwa hawezi kuamnini kama familia ya Glazers itaendelea kuimiliki Manchester kwa muda zaidi kwani wao wako kipesa zaidi na zaidi ya hilo. 

Baiashara yenyewe dhamani yake yapata  kwa hiyo ianweza kuwa dili nzuri kama vile kuwania  kutwaa kikombe. Na hiyo inaweza kuwa fursa kwa yeyote Yule anayetaka kuimiliki Manchster kwa kujenga umaarufu na si kuangalia suala la pesa.

Katika dili hili Gary Neville ndiye anayeonekana kuwa kinara wa kupeleka mambo mbele zaidi.

Utajiri wa The Class of '92 kwa sasa uko hivi:- 

Paul Scholes, 39
- Utajiri wake ni wa Dhamani £19million

- Anayependela kuanza kazi ya ukocha 

Phil Nevile, 37
- utajiri wake ni wa dhamni ya  £12million

- Kwa sasa ni kocha wa kwanza wa Man United chini ya David Moyes

- Amefanikiwa kuongeza kiasi cha £20million baada ya kujenga hospiotali ya

   watoto 

Ryan Giggs, 40
- Ana utajiri wenye dhamani ya £34million

- Anamiliki moja ya dhamani ya GG hospitali na rafiki yake Gary Neville

- Anasemakana pia anataka kuinunua timu ya  Salford FC

Nicky Butt, 39
- Ana utajiri wenye dhamani y £14million

 -Kwa sasa ni kocha wa timu ya wachezaji wa akiba wa Man United.

David Beckham, 38
- Ana utajiri wenye dhamani ya £165million

- Ni mmoja wa wataomiliki mradi wa Miami MLS unaosemakana utakuwa  wenye dhamani ya  £15million

- Footwork Productions grossed £16.5m from endorsements in 2012

- Beckham pia anamiliki Ventures Ltd (Victoria's fashion range) iliongeza hadi  

   kufikia dhamani ya  £15.4m mnamo mwaka 2012

- Brand Beckham mradi mwingine uliokuwa na dhamani ya £3.2m mwaka 201.

Gary Neville, 39
- Ana utajiri wenye dhamani ya £20million

-  Anamiliki pia Café Football pamoja na Ryan Giggs

-  Ana mpango pia wa kufungu Hotel Football nyuma
    ya Old Trafford 



Chanzo cha Habari na GUY PATRICK na SIMON ENGLISH wa City Editor kutoka Gazeti la The Sun.

















































































































































































ACCOUNTS PAYABLE SUPERVISOR

Employment Type: Full Time.

JOB DESCRIPTION
One of our Client is seeking an Accounts Payable Supervisor who will play an integral role in the smooth functioning of the organization’s daily business and financial operation and the relationships of its constituent organizations, vendors and partners.

POSITION RESPONSIBILITIES:
-           Responsible for accurately record through payable accounting module entries to establish liabilities as approved and process payments in a timely manner.

-           Timely and accurate invoice processing and payment.

-           Maintenance of withholding tax schedule.

-           The processing and approval of invoices, payment vouchers, capital expenditure request and check request

-           The reconciling of purchase orders and stock receipts to vendor invoices and responsibility of working with the purchasing and receiving departments to rectify any discrepancies.

-           Reconcile General ledger accounts and transactions by comparing and correcting data.

-           Provides information to management by assembling and summarizing data, preparing reports or analysis and recommendations if needed.

-           Maintain highest standards of quality control in processing and reporting financial information given time and resources.          

EDUCATION.
-          Bachelor’s degree in Accounting from a recognized university or college

EXPERIENCE
-          A candidate with 2 years minimum experience in accounting.

technical skills
-           Qualified accountant.
-           A candidate who has an audit experience.
OTHER SKILLS
-           Ability to perform tasks and interact with people at all levels within and outside the organization; must determine which items require referral to supervisor or others.
-           Strong understanding of fundamental accounting concept and systems in a multi-location/entity environment
-           Strong organizational skills, ability to prioritize work and meet deadlines
-           Maintain positive professional attitude in stressful situation
-           Self-starter with ability to work both independently and within a team.

NOTE: If you fit for the above requirements, kindly send you CV through hrtanzania@globalcareerscompany.net

POSITION DESCRIPTION:

From Mwananchi of 26th March 26, 2014

Lindi and Mtwara Agribusiness Support project (LIMAS)is a bilateral development project, funded jointly by the Governments of Tanzania and Finland. The purpose of LIMAS is to assist rural population generate increased income through developing agriculture and forestry production, processing and marketing. LIMAS has a technical team of five national and international senior consultants and four junior experts, and an administrative team of three staff. The project has its main office is in Mtwara and additional offices in Newala and in Uwale.

Administrative Assistant (ADA)
LIMAS is looking for an Administrative Assistant to join the project team in Mtwara office. If you are principled, have relevant work experience, are willing to learn new things and are able to operate in an international team, you could be our new 'ADA'.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Please Send your CV to ssh@niras.com, cc: RKi@niras.dk .
Check for more information at www.limas.or.tz . The deadline for applications is Wednesday 9th of April 2014 at 16 hrs.



The University of Bath Faculty of Engineering and Design have 15 full-fee scholarships available for Tanzanian nationals who are working in industry to study the MSc International Construction Management (ICM) or MSc Integrated Environmental Management (IEM) programmes by distance learning starting in 2014.

This is an exceptional opportunity for suitably qualified Tanzanians to further their career while at the same time staying in full-time employment.  The programme is designed to be completed over three years, during which students will attend two six-day residential workshops in Dar es Salaam, Tanzania.

I have attached our advert and full information can be found on our website 'Scholarships' tab:
MSc International Construction Management www.bath.ac.uk/engineering/distance-learning/icm/msc

MSc Integrated Environmental Management www.bath.ac.uk/engineering/distance-learning/iem/msc 

Majogoo wa jiji la  Liverpool wamendelea na kampeni yao ya kuunyatia ubingwa wa ligi  kuu ya Uingereza kwa kuzidi kuikandamizia chini timu iliyo katika janga la kushuka daraja ya Sunderland kwa jumla ya mabao mawili kwa bila 2-0 katika mchezo wa ligi hiyo uliochezwa jana usiku.
kwa ushind huo timu hiyo imeweza kujinyakulia pointi tatu muhimu katika mbio za kusaka ubingwa huo na kuiwezesha kufikisha jumla ya pointi 68 ikiwa ni poiny moja nyuma ya vinara wa wa ligi hiyo  timu ya Chelsea ambayo mpaka sasa hivi inaongoza ikiwa na jumla ya ya pointi 69 baada ya timu zote mbili kuwa zimecheza jumla ya michezo 31 ya ligi hiyo mpaka sasa.

Alikuwa ni nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard na Daniel Sturridge waliopelekea timu hiyo kuendelea kuwa katika mbio za kuusaka ubingwa huo ikiwa ni miaka ishirini na moja (21) tangia timu ilipotwaa ubingwa huo kwa mara ya mwisho.

Na katika mchezo mwingine wa ligi uliochezwa jana mbali na ile iliyochezwa juzi usiku ilishuhudia timu za West han ikifanikiwa kuchukua point tatu zote muhuimu dhidi ya timu ya Hull City kwa jumla ya nmagoli 2-1.

Msimamo wa ligi hiyo nia kama ufuatavyo:-













Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko akiwakilisha mada yake wakati wa kikao cha kamati Elimu Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, lengo la kikao hicho ni kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo ( kushoto), Diwani kata ya Chanjale pia Mwenyekiti wa Elimu ya Afya ya Jamii Marima Maiko, kikao hicho kimefanyika Machi 26, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo.

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory  akichangia mada katika kikao hicho

Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo

Mjumbe akitaka kusisitiza jambo kwa kunyoosha kidole

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma  za Sheria Tamisemi,Triphonia Kisiga (katikati), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo. wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho.

Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia ratiba katika ubao wa matangazo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo kabla ya kuanza kwa kikao hicho

Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya  Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),  Gabriel Gregory  (katikati), wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo baada ya mapumziko (watatu), Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo.

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.