RIPOTI YA MAUAJI YA ALBINO - 1: NILIPAMBANA, NIKASIKIA PA! KICHWANI, NILIPOZINDUKA KIGANJA CHA BARAKA KILIKUWA KIMEKATWA
PRISCA Shaaban Mpesya (29), mkazi wa Kitongoji cha Kikonde, Kijiji cha Kaoze katika Kata na Tarafa ya Kipeta wilayani Sumbawanga mkoani Ru...