Kurt Zouma 

Kuna habari ambazo hazijadhitibishwa na Manchester United club wala Sir Alex Ferguson mwenyewe ya kwamba Klabu ya Mancherster United inajiandaa kutoa paundi za Kiingereza milioni 9 kwa ajili ya kumtwaa Mlinzi Kinda wa St Etienne,  Kurt Zouma umri miaka 17, kinda huyu anasadikika kama mmoja wa walinzi hodari wanaochipukia kwa sasa barani Ulaya.

Post a Comment

Post a Comment

Powered by Blogger.