Chama cha upinzani kili andaa mkutano katika bustani ya Uhuru Park mjini Nairobi ambao uli itwa Saba Saba. Lengo la mkutano huo ilikuwa kulazimisha serikali ya Kenya, kufanya mjadala waki taifa kuhusu maswala kadhaa yenye umuhimu waki taifa. Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ilizungumza na mwandishi wa habari mjini Nairobi, aliye hudhuria mkutano huo na haya ndiyo aliyo tueleza.

Post a Comment

Post a Comment

Powered by Blogger.