Matoke ya Kidato Cha sita yatoka... Makangale SATELLITE 2:10:00 AM Wanafunzi 38,853 wamefaulu mitihani yao ya kidato cha sita kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani huo mwaka huu, huku matokeo yakionyesha kuwa shule za Serikali na binafsi zimeenda sambamba. Bonyeza hapa kupata matokeo Labels: Announcement
Post a Comment
Post a Comment