HOYCE TEMU AZUNGUMZA KUHUSU KUANDIKWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII (AUDIO) Makangale SATELLITE 1:49:00 AM Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu ametoa hisia zake kuhusu kuandikwa katika mitandao ya kijamii kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm. Unaweza kumsikiliza hapa chini wakati akizungumzia jambo hilo; Labels: Habari
Post a Comment
Post a Comment