.awaasa vijana kutotumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao
.ashangaa wajuzi walivyompachika jina la Ruksa enzi za miaka 1990s 


Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema kuna baadhi ya watu katika jamii kutumia elimu, ujuzi na maarifa yao kuangamiza, kubomoa na kudumaza ustawi wa jamii kwa maslahi binafsi na si ya umma. Mo blog inaripoti.
Mzee mwinyi amesema hayo leo asubuhi wakati wa kuadhimisha siku ya Kimataifa ya amani duniani inayoadhimishwa 21th Septemba kila mwaka katika ukumbi wa Don Bosco jijini Dar es Salaam, amesema kuna baadhi ya watu wanatumia elimu yao vibaya kwa kupanga kuua watu wengine kwa maslahi yao aidha ya kisiasa au ya kiuchumi.

“Elimu kwa kawaida kuleta matokeo mazuri kwa jamii husika endapo itatumika sawia kwa malengo yaliyokusudiwa na kwa maendeleo endelevu ya taifa kwa ujumla, ila kuna baadhi ya wanajamii kutumia ujuzi huu vibaya na kuangamiza ustawi wa jamii husika,” amesema. 

Mzee Mwinyi aliendelea kusema kwamba katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya amani duniani yenye kauli mbiu “education for peace” ni lazima elimu kwa ajili ya amani iwe endelevu hapa duniani ili iweze kuleta suluhu na utengamano katika jamii na mataifa yote duniani.

Amesema kwamba vijana nchini lazima waepuke kutumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao ya kisiasa na wajifunze kutatua matatizo yao kwa njia ya amani bila ya kuwa na mihemko, jazba, misongo na hasira ili kuendelea kudumisha amani na upendo katika nchi yetu ambayo ni kisiwa cha amani.

“nawaasa vijana wakitanzania wa leo hata kama mmenyimwa haki zenu ni bora kutumia njia ya kistaarabu na kutumia elimu mnayopata mashuleni bila kusahau macho, masikio na vipawa vyenu mlivyopewa na mwenyezi mungu katika kutafuta haki yenu kwa njia ya amani bila misukosuko,” aliongeza.

Mzee Mwinyi alitumia nafasi hiyo kuwashangaa baadhi ya watu kwa kutumia ujuzi na elimu yao kwa kumpachika jina la Ruksa bila yeye kujua wametumia muktha gani kumpa jina hilo, lakini Mzee Mwinyi alitumia jukwaa hilo pia kuwapa ruksa vijana kutumia elimu yao kuleta hali ya amani na utulivu ndani ya nchi.

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) Jama Gulaid amesema kwamba Umoja wa Mataifa uliweka maazimio siku ya kimataifa ya amani duniani ili watu wanaogombana na kupigana kwa shida mbalimbali kupata nafasi ya kuweka silaha zao chini katika siku hii adhimu.

Amesema kupitia azimio hilo ambalo lilizinduliwa mwaka 1982 kwa mara kwanza linatambua uwepo wa watu wanaoathirika na vita katika sehemu mbalimbali duniani na waliokwishapoteza maisha kutokana na matatizo vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Naye Mratibu na Mtathimini wa Mtandao wa watoto na vijana kutoka Imani Mbalimbali (GNRC) Bi, Joyce Mdachi amesema swala la amani na utulivu linaanzia kwenye kaya hadi ngazi ya taifa kwahiyo ni muhimu kwa jamii na vijana kuelewa amani inaanzia nyumbani.

“jamii iliyolelewa katika mazingira mazuri ina nafasi kubwa ya kuleta matokeo chanya kwenye mustakabali wa taifa kwa ujumla lakini jamii iliyolelewa vibaya haiwezi kubadilisha taifa kwa sababu ni zao la tunda baya,” alisema.

Mdachi alisisitiza kwamba kuporomoka kwa maadili ndani ya jamii ya leo swala hilo pia lilianzia kwenye kaya ya mtu mmoja mmoja hadi ngazi ya taifa ambapo leo hii taifa linashuhudia mambo ya kifisadi, rushwa na ubadhilifu wa mali za umma kunakofanywa na viongozi waandamizi.

Mwisho
 


Timu ya Chelsea ya mjini London jana ilimsaiduia kocha wao wenye vituko kedekede, Jose Mourinho kuzidi kukalia kuti kavu mara ilipopata ushindi wake wa mabo 2-0 dhidi ya timu ya Fulaham na kufanikiwa kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi kwa masaa huku ikisubiria michezo itakayochezwa leo.

Cheslea ilifanikiwa kukwea kileleni kuchukua nafasi ya Liverpool mara baada ya kupotezsa mchezo wake uliochezwa mapema dhidi ya timu ya Southampot kwa bao moja kwa bila.

Magoli ya Chelsea yalifungwa na Oscara na Obi Mikel


Manuel Pellegrini and David Moyes will meet in their first Manchester derby at the Etihad Stadium on Sunday after steady starts to their respective reigns.

  • Manchester CityvsManchester United
Manchester City boss Pellegrini has picked up two wins, a draw and a defeat in his four Premier League games since replacing Roberto Mancini, while United counterpart Moyes has an identical record since succeeding Sir Alex Ferguson.

Moyes will take his team across Manchester hoping to emulate last season's dramatic 3-2 win for United and also maintain his own excellent record at the Etihad Stadium.

The Scot won on four of his last six visits as Everton manager, losing just once, and victory on Sunday would continue a run of 'firsts' for Moyes.

Last week's 2-0 success over Crystal Palace was Moyes' first win at Old Trafford before he celebrated his first Champions League group game as a manager by beating Bayer Leverkusen 4-2 at home on Tuesday.
Wayne Rooney was a central figure in that game after scoring twice, and he also netted a brace in the corresponding Manchester derby last season.

Rooney, who was described by Moyes as 'world class' after the Leverkusen win, put United 2-0 up before Robin van Persie's deflected free-kick stole the points in stoppage-time after Yaya Toure and Pablo Zabaleta had drawn City level.

However, last season's goal-fest was a rarity as the previous six meetings at The Etihad had failed to produce a game containing more than one goal.

Pellegrini is familiar with low-scoring affairs against United as, in four encounters during his time as Villarreal coach, each game finished 0-0 in the Champions League.

City impressed in Europe in midweek after a 3-0 win over Viktoria Plzen and Pellegrini is seeking a hat-trick of home wins in the Premier League after beating Newcastle and Hull City 4-0 and 2-0 respectively.
And, despite injuries hitting City's defence, they have kept clean sheets in four of their five games so far this season.

Timu ya Chelsea ya mjini London jana ilimsaiduia kocha wao wenye vituko kedekede, Jose Mourinho kuzidi kukalia kuti kavu mara ilipopata ushindi wake wa mabo 2-0 dhidi ya timu ya Fulaham na kufanikiwa kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi kwa masaa huku ikisubiria michezo itakayochezwa leo.

Cheslea ilifanikiwa kukwea kileleni kuchukua nafasi ya Liverpool mara baada ya kupotezsa mchezo wake uliochezwa mapema dhidi ya timu ya Southampot kwa bao moja kwa bila.

Magoli ya Chelsea yalifungwa na Oscara na Obi Mikel  ambaye ni goli lake baada ya michezo takribani 250 kwenye klabu hiyo.

Na leo katika mji wa Manchster mahasimu wawili wa jadi Manchester United na Manchester City zinategemewa kushuka dimbani katika mtanange ambao utaleta upinzani mkubwa ukichukulia kila timu ikitaka kuonyesha ubabe wake ndani ya jiji hilo na mara baada ya timu zote mbili msimu kujikuta mikononi mwa makocha wageni hii ni baada ya Sir Alex Ferguson kutangaza kujiuzulu mwishoni mwa msimu uliopita kwa upandea wa mabingwa watetezi na Roberto Mancini kutimuliwa kwa upande wa Manchester City na nafasi zao kunyakuliwa na David Moyes na Manuel Pellegrini.












































































































TANGAZO LA KAZI

KADETFU inatangaza kazi zifuatazo:

KAZI:                         Afisa Ugani - Kilimo (Extension officer)
Kituo cha kazi:          Bukoba Mjini, (eneo ni Wilaya za Muleba, Misenyi na Bukoba)
Sifa:                            i) Stashahada/Cheti kutoka chuo cha Kilimo kinachotambuliwa na serikali
ii) Umri kati ya miaka 21-50
iii) Uwezo wa kutumia computer pamoja na internet
iv) Ujuzi wa kuendesha gari na pikipiki ni nyongeza ya sifa
v) Uwezo wa kuzungumza na kuandika taarifa za kazi kwa lugha
ya kiingereza na Kiswahili
Mshahara:                 Unaridhisha na si chini ya viwango vya serikali.
Shughuli:                    Kutoa huduma za ugani (extension services), katika Kilimo  katika eneo la mradi ikiwa ni pamoja na  kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia tope chujio (bio-slurry) inayotokana na baiogesi.
Uzoefu:                       i) Mwaka mmoja katika huduma za ugani kwa wenye stashahada na miaka miwili kwa wenye cheti.
Muda wa Ajira:         Mwka mmoja (unaweza kuongezwa iwapo utendaji kaazi utaridhisha)

Mwisho  wa maombi ni tarehe 25.09.2013 saa sita mchana (EAT) na
atakayekuwabliwwa ataanza kazi tarehe 01.10.2013.

MAOMBI YETUMWE KWA BARUA PEPE KWA:

Mkurugenzi Mtendaji - KADETFU.
P.O. Box 466, BUKOBA, Tanzania,
Tel: +255(028) 22 20717,
Mobile: 0754 740 267,
Website: www.kadetfu.or.tz   

 
 




PhD position: Plant Nutrition/Biogeochemistry

Date of publication: 15 September 2013

Employer: ETH Zurich (Swiss Federal Institute of Technology in Zurich, www.ethz.ch)

Affiliation:
Group of Plant Nutrition of the ETH (www.plantnutrition.ethz.ch)

Workplace:
ETH Research Station Lindau (www.ias.ethz.ch/researchstation/eschikon)

Research project:
This PhD position is part of the project "The phosphorus cycle in forest ecosystems as revealed by analysis of the isotopic composition of oxygen associated to phosphate” carried out in collaboration with Prof Y Oelmann (University of Tübingen) and Dr T Pütz (Jülich research center) in the framework of the SPP 1685 (ecosystem nutrition) of the German Research Foundation.

Thisposition is funded by the Swiss National Foundation.

Job description:
The PhD student will analyze processes controlling the transfer of phosphorus (P) between the soil and vegetationin selected beech forest ecosystems in Germany. This will include a characterization of P pools in the vegetation and soil, an analysis of the changes in P forms during degradation of leaf and root material, and the measurement of the turnover of organic P compounds in forest litter and soil. This research will be based on the analysis of oxygen isotopes associated to P, and on the use of P radioisotopes and of C stable isotopes.

Requirements:
Applicants must hold a Master of Sciences in forest, agricultural orenvironmental sciences with excellent grades. The MScmust entitle the candidate to start PhD studies at the ETH Zurich (see www.ethz.ch/doctorate/ for more information).
The candidate needs:
·         A good background in isotope techniques and experience in the laboratory (wet chemistry);
·         The willingness to conduct intensive lab work
·         Good statisticalbackground and experience with appropriate software;
·         Excellent skills in written andspoken English. Communication in German is a clear advantage.
·         A driving license;
·         To be team oriented, enthusiastic, innovative, and accurate.

Start: 1st November 2013

Duration: 3 years

Application deadline: 15thOctober 2013 or until the position is filled

Additional information:
The PhD student will be supervised by Prof Emmanuel Frossard, Dr Federica Tamburini and Dr EK Bünemann from theGroup of Plant Nutrition at ETH.
Salary will be according to ETH standards.
For further inquiries please contact Prof E. Frossard

How to apply:
Please send your application with 1) a letter ofmotivation, 2) your curriculum vitae includinglist of publications, 3) a copy of  your MSc thesis and of your MSc diploma, 4)the list of gradesyou obtained during your BSc and MSc (withtranslations of all documents unless they are in German, English or French), and 4) the contact information of two persons (including their current e-mail addresses) willing to provide aletter of recommendation.

Send application toEmmanuel Frossard (emmanuel.frossard@usys.ethz.ch) with “P im Wald application” as subject

Michezo ya klabu bingwa ya Ulaya ilianza rasmi jana kwa timu mbalimbalimbali kuijpatia ushindi kwa magoli mengi ya kufunga. jkatika michezo yote iliyochezwa jana ilishuhudiwa jumla ya  magoli  30 yakifungwa na timu mbalimbali.

Timu ya Real MAdridi iliyoweka rekodi katika kufanya usajili msimu huu iliwaonyesha timu ya Galatasary kwa nini wao ni matajiri kwa kuipa kisago cha mabao 6-1 huku mchezaji aliyekuwa akishikilia taji la mchezaji ghali zaidi duniani, Cristiano akifunga magoli matatu pekee yake.

Nao mabingwa watetezi, Bayern Munich walianza kampeni yao ya kutetea taji lao kwa kuifunga timu ya  CSKA Moscow kwa mabo 3- 0, mabao ya mabingwa hao wa Ujerumani yalifungwa na mshambuliaji wao hatari Mario Mandzukic , David Alaba na Arjen Robben.

Muhtsari ya michezo iliyochezwa jana usiku na matokeo yake

  1. Manchester United  4-  Leverkusen 2 
  2. R Sociedad 0- Shakhtar D 2
  3. Copenhagen 1 – Juventus -
  4. Galatasaray 1-  Real Madrid 6 
  5. Benfica 2 Anderlecht -0
  6. Olympiakos 1 – PSG -4
  7. Bayern Munich 3 - CSKA Moscow 0
  8. Plzen 0 – Manchester City 3






FC Copenhagen 1 Juventus 1





Mario Mandzukic akishangilia moja ya mabao ya Bayern Munich dhidi ya CSKA Mosco













































































































Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.