Latest Post

The Africa Research Excellence Fund (AREF) works to strengthen the health research capacity of scientists in Africa who are engaged in tackling the sub-region’s significant health challenges. AREF is calling for applications from scientists who are active, emerging biomedical/health researchers in African countries to participate in its Essential Grant Writing Skills Programme.

This fully on-line programme will be held during the weeks of June and July 2026.  There will be an eight-week break in between the two-part programme, where you will be expected to write a mini proposal and participate in an activity to review the proposals of your colleagues.  This is an intensive programme that is designed to produce tangible progress towards a grant proposal by the end of the programme series. Your commitment to the entire series and to the additional work outside of sessions will be necessary to achieve these outcomes.

 To fully benefit from this programme series, you will be at a stage in your research career where you are actively seeking independent funding, and perhaps have won smaller grants, but have yet to secure that big grant necessary to support your research independence.

The Programme series

Programme Aim

 The Programme aim is to enable talented early-career health- and health-related researchers from countries in Africa to build skills to develop their own research and fellowship proposals of the quality required to win competitive international, regional and national funding.

 

What the Programme will cover

1.   Developing and expressing your unique research niche,

2.   Formulating your compelling research question,

3.   Understanding funders’ requirements

4.   Writing in plain English

5.   Writing the different sections of a proposal

6.   Key parts of a typical Case for Support / Project

      Description

7.   Planning your proposal project plan and budget

8.   Principles of managing your collaboration and team

9.   Understanding and practicing peer review,

10.   Preparing for a Fellowship interview.

 

 What the Programme will not cover

The programme will not cover the following: how to get research ethics approval; how to complete individual funders’ application forms; the details of intellectual property management; practice in research communication.

 

The facilitators will use examples of real funding applications.  However, they will not be assisting participants directly with the participants’ own specific proposals.

 

Format of the Programme series

The Programme series will be held as:-

  • Monday 1st June to Friday 5th June 2026: daily 3-hour on-line sessions,08:30 – 11:30 GMT,
  • Wednesday 29th to Friday 31st July 2026: daily sessions 3-hour on-line sessions, 08:30 – 11:30 GMT.

Participants will be provided with appropriate learning materials including preparatory exercises before the first session and between sessions.  Each session will be delivered through Zoom.  Participants will work in on-line groups and offline subgroups. All sessions will be conducted in English. 

Expenses

AREF does not provide funding for participants to access equipment or internet services with which to participate nor do we reimburse you or your institution for any other expenses associated with the programme or any form of per diem payment. 

Our expectations of participants

Inputs

You MUST

·        Commit to all on-line sessions for the full duration of each sessionAttendance to all sessions is mandatory. Participants will not receive a certificate of completion otherwise.

·        Participate in all sessions. These sessions are interactive and will require your active participation. You gain the best when you fully participate in all activities and exercises.

·        Commit approximately an additional hour each day to prepare for each session through reading and pre-work assignments/reflections. 

·        Dedicate significant time during the six-week period in between programme sessions to write a draft of your own research proposal, which will then be utilised in the final three sessions. 


You SHOULD

·        have access to good bandwidth and a computer or laptop that is set up to use the Zoom platform (IT department may control your ability to use online platforms)

·        be able to use a smart phone simultaneously with the Zoom platform.

 

Outputs

You will also be expected to participate in AREF monitoring and evaluation surveys to track outcomes.

 

Scope 

AREF welcomes applications for this Programme from researchers who are actively working on challenges to human health and are trained and experienced in one or more of the following disciplines: biomedicine; physiology and pharmacology; clinical sciences; epidemiology; mathematics and statistics; environmental health; “one health” (veterinary science); behavioural, mental health, public health, data science for health, social and economic sciences; and health policy and systems research.

 

Eligibility

To be eligible, you need to provide evidence that:

·        You are a citizen of a country in Africa

·        You are in the early stages of your research career

EITHER 

·        you have been awarded a research doctorate (PhD/DPhil/MD) from a recognised academic institution normally within the previous 6 years, (i.e. awarded on or after 1 January 2020);

·        OR you have a medical/clinical qualification PLUS a research-relevant Master’s degree, both awarded normally within the previous 6 years (i.e. awarded on or after 1 January 2020). 

·        You are currently employed in Africa by a recognised university and/or specialist research institution. 

·        You have not participated already in equivalent proposal development / grant-writing training.

·        A significant part of your current employee role is to develop and conduct health research.

·        You do not already have a significant portfolio of international research grants (Combined value of £250,000 or more). 

 

Criteria for selection

Through your application, you will need to demonstrate that you are at a stage of your research career where this intensive training will support your future success as a researcher and you are highly likely to apply your learning to winning research funding. 

 

Capacity to benefit

Your application will be assessed in terms of your capacity to benefit from the training, using the following kinds of evidence:

  1. Your research experience, outputs and other achievements as an emerging researcher up to now.
  2. How you will use the training to achieve your personal vision for your development as a scientist who can address key health challenges important to Africa.
  3. How you will “cascade”, i.e. to pass on, the knowledge and skills you have gained from the programme,
  4. Adequate command of English.

Programme participants will be shortlisted from the eligible applicants using these criteria.  Only applicants who meet the capacity to benefit criteria will be on the shortlist from which the final selection will be made.

 

Diversity and inclusivity

To ensure equity across research organisations, no more than two shortlisted participants will be finally selected from any one employing institution and AREF aims to maintain a gender and language-balanced selection of participants across its programmes.

How to apply

To apply, please go to our portal (https://programmes.aref-africa.org.uk/) to access the application Form on our portal and complete the application form as directed. You must register an account on the portal before you can access the application form.

You can also find additional information in the Online Application Form Guidance and the FAQs guide to help you to complete the application form.


If you have any enquiries, contact AREF via the “Contact Us” section on the portal which can be found on the lefthand panel on your homepage with your enquiry and you will receive a response within 5 working days.

If your enquiry is related to registering on the portal, please email us at gtprogrammes@africaresearchexcellencefund.org.uk with the title “Portal Registration” in your email title bar.

Emails sent to any other AREF email related to the application will not receive a timely response.

Source by: The Essential Grant-Writing Skills Programme June/July 2026 - Africa Research Excellence Fund

... Wafanyakazi wake Wanawake wajengewa uwezo kupitia  Female Future Progamme

Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani  2026 yakiendelea,kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na serikali kupitiaa kampuni ya Twiga Minerals, imeendeleza dhamira yake ya kuhakikisha Wanawake wanapewa fursa sawa katika ushiriki wa mnyororo wa sekta ya madini ambapo imewawezesha wafanyakazi wake wanawake 5 kupata mafunzo uongozi kupitia programu ya Mwanamke wa Wakati Ujao (Female Future Progamme) yanayotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) inayolenga kuboresha ufanisi wa wafanyakazi wa kike mahali pa kazi.

Programu ya Mwanamke wa Wakati ujao ambayo ilianzishwa mwaka 2015  imefikia kundi (Cohort) la  11 ikiwa inajumuisha wanawake wasomi kutoka makampuni mbalimbali, ilianzishwa Chama cha Waajiri Tanzania(ATE) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Waajiri nchini Norway na katika kipindi cha muda mfupi imekuwa msaada mkubwa katika kuwajengea uwezo katika utawala katika sehemu zao za kazi.

Akihojiwa kuhusu ushiriki katika progamu hiyo mmoja wa wahitimu kutoka mgodi wa Barrick North Mara, Edith Biita, alisema anajivunia kuajiriwa na kampuni kubwa kama Barrick ambayo imekuwa mstari wa mbele kuwapatia wafanyakazi wanawake nafasi za uongozi na nafasi inayomuwezesha kutoa maamuzi ambayo yeye na wafanyakazi wenzake wanawake ndani ya kampuni wanayo fursa ya kutoa mawazo yao na yamekuwa yakiheshimiwa bila kujali jinsia na umri wao.

Wahitimu wa Programu ya Mwanamke wa wakati ujao ya ATE  (Female Future Program ) kutoka Barrick North Mara katika picha ya pamoja , kuanzia kushoto,  Patricia Vulla , Elda Mahenda, Sella Mwaigomole, Edith Dickson Biita na Noela Mataro katika mahafali yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City.

Akiwa ni msomi wa fani ya uhandisi wa madini akifanya kazi katika kitengo cha Uchimbaji na milipuko (Drill and Blast) alisema mafunzo  aliyopapata kupitia programu hiyo ni ya aina yake kwa kuwa yanawezesha kupata maarifa ya masuala mbalimbali hususani utawala kwa kuwa katika fani zote suala la utawala na uongozi lipo.

Naye Sella Mwangomole mtaalamu wa metolojia na maabara alisema mafunzo yanayotolewa na program hii yanawezesha kujiamini zaidi katika utawala na alitoa ushauri kuwa  kuna haja ya kuwa na programu nyingi za aina hii ili ziwafikie wanawake wengi popote walipo nchini ili wasibaki nyuma katika utawala kwenye sekta mbalimbali.

“Ili wanawake wengi kutobaki nyuma silaha pekee ya kuwakwamua ni elimu na ninaposema elimu simaanishi kupata shahada za juu  pekee bali ni kujifunza mambo mbalimbali na kupata maarifa, kuungana na kushirikiana ambapo watapata fursa ya kubadilishana uzoefu wa masuala mbalimbali,kupeana moyo na kupanga mikakati ya kutatua changamoto zinazowakabili”.Alisema Mwangomole.

Naye Noela Mataro alishukuru Barrick kupitia mgodi wa North Mara kwa kumpatia fursa ya kupata mafunzo haya ya utawala na kuongeza kuwa anavutiwa na sera ya kampuni ya kuwapatia nafasi za uongozi wanawake katika vitengo mbalimbali ambapo wanaendelea kufanya vizuri na kudhihirisha kuwa ujuzi hauna jinsia.

Mshiriki mwingine kutoka Barrick, Patricia Vullah, alisema Mpango wa kuwapatia wanawake mafunzo ya utawala ya Female Future Programme ni moja ya jukwaa la kuwanyanyua wanawake wa Tanzania na kuwafikisha kwenye nafasi za juu za uongozi na kutoa maamuzi.

Kwa upande wake Elda Mahenda alisema kupitia Programu hii alisema wanafundishwa masuala mengi hususani utawala wenye kuleta ufanisi kwa makampuni, kujiaamini na jinsi ya kushiriki na kuchangia mawazo katika vikao vya juu vya bodi za makampuni “Mtaala wa kufundishia unaotumika ni mzuri na ndani ya kipindi cha muda mfupi unaweza kumbadilisha mtu kuwa na maarifa na upeo mkubwa na kujiamini”, alisema.

Wahitmu  wa Barrick North Mara wakiwa wamepozi kwenye picha ya pamoja

Kampuni ya Barrick nchini imekuwa mstari wa mbele kutekeleza sera imara ya kukuza usawa wa kijinsia kwa kuwawezesha wanawake kushika nafasi za uongozi na kiufundi katika migodi yake ya Bulyanhulu,North Mara na Buzwagi ambao uko katika mchakato wa kufungwa pia inazingatia ushirikishwaji wa wanawake, mafunzo, na programu za ndani na nje zinazolenga kukuza vipaji vyao ili kuongeza uwakilishi katika ngazi za maamuzi.

Katika kuadhimisha Siku yaWanawake Duniani, Kampuni inatumia siku hii kama jukwaa la kutathmini na kuendeleza juhudi za wanawake kazini, kusaidia jamii zinayozunguka migodi na Kuchochea wanawake kuingia katika sekta ya madini ambayo awali ilitawaliwa na wanaume.

Baadhi ya wahitimu wakifuatilia hotuba mbalimbali katika siku hiyo ya mafahali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam

Juhudi hizi za uwezeshaji wanawake zinaendana na sera ya serikali ya kuongeza ushirikishwaji wa Watanzania (Local Content) na kuimarisha uwakilishi wa wanawake katika mnyororo wa sekta ya madini.

Mwisho

 -Awapa muda wa siku 90 wananchi ambao tayari wamelipwa fidia kupisha shughuli za upapanuzi wa mgodi.

Mkuu wa Mkoa  wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameeleza kuridhishwa na ujenzi wa makazi mapya ya wananchi walioguswa na upanuzi wa Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara pia amewapa siku 90 wananchi ambao tayari wamelipwa fidia ya maeneo yao  kuondoka ili kupisha shughuli za upanuzi wa mgodi.

Mkuu wa Mkoa wa Mara,Kanali Evans Mtambi akitembelea moja ya sehemu inapojengwa nyumba ya mwananchi ambaye amepatiwa fidia kupisha upanuzi wa mgodi wa Barrick North Mara,aliongozana na viongozi mbalimbali wa Serikali mkoani humo na maofisa waandamizi wa mgodi.

Akizungumza wakati alipokwenda kukagua ujenzi wa nyumba hizo katika eneo la Magena, Nyamongo wilayani Tarime karibuni, Kanali Mtambi aliupongeza mgodi huo kwa uwekezaji unaokwenda sambamba na ustawi wa wananchi.

Alitumia nafasi hiyo pia kusisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya mgodi huo na jamii inayouzunguka kwa maendeleo endelevu ya pande zote mbili na kuwataka wananchi ambao tayari wamelipwa fidia ya maeneo yao wawe wameondoka ndani ya siku 90 na wale waliogomea kulipwa fidia kukaa pamoja na wadau kutoka pande zozote kumaliza changamoto hiyo.

“Mkuu wa Wilaya na watu wa ardhi nawapa siku saba , mje kwa hawa wananchi, mkae nao muwaelimishe wakubali kufanyiwa uthamini na kupokea fidia kwa mujibu wa sheria,” alisema Kanali Mtambi.

Alionya kuwa kugomea uthamini na fidia kunakiuka sheria za nchi na kunachelewesha shughuli za mgodi huo pamoja na miradi ya maendeleo inayotegemea uwekezaji huo.

Baadaye, RC Mtambi alikwenda kuzindua moja ya nyumba za waguswa ambayo imejengwa na mgodi huo katika kijiji cha Mjini Kati.

Awali, Meneja Mkuu  wa mgodi huo, Apolinary Lyambiko, alimweleza Mkuu wa Mkoa kwamba kampuni inaendelea kulipa fidia kwa kaya 254 zinazotakiwa kupisha ekari 59 kwa upanuzi wa shimo Nyabirama,hatua inayolenga kuongeza uzalishaji na kuimarisha usalama.

Meneja Mkuu  wa mgodi wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko akieleza programu ya kulipa wananchi kwa ajili ya kupisha shughuli za mgodi inavyoendelea  wakati wa ziara ya Mkuu wa mkoa wa Mara alipofanya ziara ya kikazi karibuni.

 Lyambiko alisema waguswa 654 kati ya 728 walifanyiwa uthamini na kwamba hao tayari wamekwishapokea fidia zao ili kupisha upanuzi wa shimo la wazi la Nyabirama.

“Mradi huu unalenga si tu kuongeza ufanisi wa uzalishaji bali pia kuhakikisha usalama kwa kupata eneo la mita 200 la hifadhi kinga (buffer zone) kutoka kwenye shimo kama sheria inavyoelekeza,” alisema.

Aidha, Lyambiko alisema waguswa walipewa fursa ya kuchagua aina ya fidia wanayoitaka; kati ya fedha taslimu, kujengewa nyumba na ardhi mbadala.

“Wananchi 571 walichagua fedha taslimu, 36 walichagua ardhi na nyumba mbadala, 37 walichagua ardhi mbadala na 10 walichagua nyumba mbadala, na mchakato umezingatia ushirikishaji na hiari ya wananchi,” alifafanua.

Aliongeza kuwa ujenzi wa  nyumba 10 mbadala umeshakamilika, nyumba 24 ujenzi umefikia asilimia 70, 16 ziko katika hatua za awali na 18 ziko kwenye hatua za manunuzi.

Kwa mujibu wa Lyambiko, mradi huo wa ujenzi wa nyumba za waguswa unatekelezwa na wakandarasi watatu waliopitishwa na Tume ya Madini Tanzania.

“Tunaendelea kuhakikisha kuwa kasi inaongezwa ili wahusika wahamie kwenye makazi yao mapya kwa wakati na kuruhusu mgodi kuendelea na shughuli zake kwenye eneo la Nyabirama,” alisema.

Taarifa za Serikali kuhusiana na program hiyo zinabainisha kuwa wananchi 728 wa eneo hilo walifayiwa tathmini ya kulipwa fidia kwa ajili ya upanuzi wa eneo la mgodi ambapo hadi sasa wananchi 571 tayari wamelipwa fidia ya fedha taslimu na wengine 74 hawajasaini nyaraka za kulipwa fidia ambapo wananchi 11 wamegomea kufanyiwa tathmini.

Katika ziara hiyo, RC Mtambi aliambatana na Mkuu wa Wilaya, Meja Edward Gowele na Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, miongoni mwa viongozi wengine.

Mgodi wa Dhahabu wa North Mara unaendeshwa na Kampuni ya Barrick kwa ubia na Serikali ya Tanzania kupitia Kampuni ya Twiga Minerals na ni miongoni mwa uwekezaji mkubwa wa uchimbaji wa madini nchini, ambao unachangia utekelezaji wa miradi ya kijamii, mapato ya taifa na ajira kwa Watanzania.

Mgodi wa Barrick North Mara umefanikisha miradi mbalimbali ya kijamii katika eneo la vijiji vinanyozunguka mgodi hususani katika sekta ya elimu,afya,maji,ujenzi wa miundombinu ya barabara,uwezeshwaji wa vijana na kuongeza wigo wa ajira.

RC wa Mara akitembelea maeneo ambayo wakazi wake wamekataa kufanyiwa tathmini kwa ajili ya upanuzi wa shughuli za mgodi.




Demonstrations addressed security challenges in the Indian Ocean..

With an exclusive economic zone estimated at 160,000 square kilometers, the financial health of the Comoros Islands is linked to the water. However, all eyes were on the sky on January 23, when a contingent from the United States Navy arrived on two MV-22 Ospreys and a KC-130 Hercules transport aircraft for an exchange of military expertise.

Comorian Minister of Defense Youssoufa Mohamed Ali and Brig. Gen. Youssouf Idjihadi, chief of the Defense Staff of the National Development Army, were on hand in the capital, Moroni, to meet with U.S. Brig. Gen. Matthew W. Brown, commander of the Combined Joint Task Force-Horn of Africa, based in Djibouti.

Ali declared that the U.S. Navy’s visit was of major strategic significance “in a regional context marked by the rise of transnational threats and the growing importance of maritime security in the southern Indian Ocean.”

He praised the military exchange’s focus on interoperability and underscored his country’s growing partnership with the U.S., saying that the four-day collaboration will help raise the skill level of the Comorian military.

Two Comorian Soldiers demonstrate the use of an aerial drone during a military exchange between Comoros and the United States Navy on January 23-24, 2026. Combined Joint Task Force-Horn of Africa (CJTF-HOA)

“This exercise, based on the sharing of expertise, experiences and know-how, reflects the common desire of our two countries to strengthen their military cooperation and interoperability in a professional and structured framework,” he said to local media. “The skills acquired will sustainably strengthen the operational effectiveness of our forces, their ability to anticipate and their ability to fulfill the missions entrusted to them in the service of the nation.”

The two contingents gathered at Itsoundzou Training Center, the primary base for Comorian Soldiers, 15 kilometers from Moroni. The exchange focused on identifying the different systems operated by Comorian and U.S. units so that they can improve interoperability in common maritime security goals such as counternarcotics, countertrafficking, counterillegal migration and Comorian participation in multilateral security efforts on and around the continent.

Demonstrations included tactical combat casualty care, tactical drone operations, mortars, snipers, machine-gun firing, medical evacuations and aerial communications. Simulated intervention exercises occupied a significant portion of the four-day training session, which involved units of the Comorian National Gendarmerie, the Comorian Coast Guard and the General Directorate of Civil Security.

“We are very pleased to be here to express our willingness to work with the Comorian forces on several aspects related to maritime security and the fight against trafficking,” Brown said. “This willingness is not new. We have been working on this subject for years. But this time, we are taking another step in this willingness to work with all countries in the region to better address the various threats.”

Lt. Cmdr. Sephora Fortune, head of the U.S. military group in Madagascar and the Comoros, led the U.S. forces’ demonstrations and praised the partnership with Comoros, which focuses on combating drug, arms and human trafficking, and illegal fishing.

“Illegal maritime activities, including irregular migration and illegal fishing, weaken economies, fuel insecurity and threaten sovereignty,” she said. “They fuel criminal networks, destabilize coastal communities and erode public trust in governance.”

Ali said he was pleased with high-level discussions in Moroni on the prospects for military cooperation between Comoros and the U.S. Talks also addressed the strategic and operational role of Comorian forces in securing the southern Indian Ocean.

“The Union of the Comoros reaffirms its commitment to strengthen international cooperation, based on mutual respect, the sharing of expertise, and the building of sustainable capacities in the service of peace and security in the Indian Ocean,” he said.

“Discussions focused on assessing the priority needs of the Comorian defense and security forces, particularly in maritime surveillance, securing maritime borders and strengthening operational capacities adapted to the realities on the ground. We hope that this cooperation will continue and be further strengthened in the service of peace, security and the stability of our country and the region.”



Source: Africa Defense Forum

 Na Mwandishi Wetu, Tarime

Katika mwendelezo wa  utelekezaji wa mkakati endelevu wa kampuni ya Barrick,mgodi wake wa North Mara uliopo wilayani Tarime mkoani Mara umefanikisha upandaji wa miti zaidi ya 40,000  kando ya mto Tighite kwa ushirikiano na shirika lisilo la kiserikali la Jamii wa Watumiaji wa Maji Tigithe Chini (JWMTC)  kwa ajili ya kuhifadhi mazingira na kurejesha na uoto wa asili.

Mto Tighite ni moja ya vyanzo vikuu vya maji vya Mto Mara ambao unatiririsha maji yake katika  Ziwa Victoria upande wa Tanzania na  maelfu ya wakazi wa vijiji vilivyopo jirani na mgodi wa Barrick North Mara  wanategemea mto huo kupata maji ya matumizi ya nyumbani, kunywesha mifugo na shughuli za kilimo.

Akiongea kuhusu programu  hiyo ambayo inaendelea kupata mafanikio,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watumia Maji Tigithe Chini (JWMTC), Mwita Seri, ameeleza kuwa kutokana na uwezeshaji na ushirikiano wanaoupata kutoka mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara hadi kufikia sasa wamefanikiwa kupanda miche ya miti 42,700.

Upandaji wa miti ya asili ukliendelea kando kando ya mto Tighite katika kijiji cha Matongo

“Tangu progamu hii ya kupanda miti kando ya mto Tighite izinduliwe mwaka jana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani tumekuwa tukipata ushirikiano mkubwa kutoka Mgodi wa North Mara na lengo lililokusudiwa la kutunza mazingira katika eneo hili linaendelea kupata mafanikio na eneo hili la mto limebadilika kwa kiasi kikubwa sasa”alisema Mwita Seri.

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko alisema wakati wa uzinduzi wa progamu hiyo kuwa kuwa Dhamira ya mgodi ni kupanda miti ya asili 50,000  katika kingo za mto Tighite ili kuzuia mmomonyoko wa udongo kwa kushikilia udongo kwa mizizi yake ikiwemo na miti ya mbao itakayopandwa mita 60 za mto huo." Programu kama hizi ziliwahi kufanyika mto Mara . Dhumuni letu ndani ya mwaka mmoja tuwe tumekamilisha Programu hii “alisisitiza.

Mkazi wa kijiji cha Matongo akipanda mti wa asili kando kando ya mto Tighite

Kwa mujibu wa Seri, uharibifu mkubwa wa uoto wa asili wa mto Tighite ndio uliisukuma taasisi ya Jumuiya ya Watumia Maji Tigithe Chini (JWMTC),  kubuni wazo la kuwa na mpango endelevu wa kuhifandi mazingira ya chanzo hicho cha maji.

Alisema mgodi wa Barrick North Mara unagharimia ununuzi wa miche ya miti, uchimbaji mashimo na ulinzi wa miti iliyopandwa, miongoni mwa mambo mengine katika mradi huu.“Lengo kubwa ni kulinda mto Tighite kwa kurudisha uoto wa asili, na hata miti tunayopanda ni ya asili na rafiki kwa mazingira,” alisisitiza Mwenyekiti huyo wa JWMTC.

Seri alibainisha kuwa Jumuiya ya Watumia Maji Tighite Chini ambayo iko chini ya Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria, inasimamia kata nne zenye vijiji 12 jirani na mgodi wa Barrick North Mara. Alitaja vijiji hivyo na kata zake zikiwa kwenye mabano kuwa ni Matongo, Nyabichune, Nyangoto na Mjini Kati (Matongo), Nyamwaga na Komarera (Nyamwaga).

Sehemu ya miche ya miti ya asili iliyooteshwa kwenye kitalu cha Jumuiya ya Watumia Maji Tighite Chini kwa ajili ya kupandwa kando kando ya mto Tighite.

Vijiji vingine ni Nyakunguru, Nyarwana, Wegita na Keisaka (Kibasuka), Kewanja na Kerende (Kemambo).

Mbali na kuwezesha utekelezaji wa mradi huu wa mazingira na kulinda chanzo cha maji cha mto Tighete  Mgodi wa Barrick North Mara kupitia fedha za CSR umefanikisha mradi wa maji wenye thamani ya shilingi bilioni 2.665 kwa ajili ya upanuzi wa chanzo cha maji cha Nyamongo, wilayani Tarime vijijini kilichopo ndani ya eneo la Mgodi ambacho awali kilisanifiwa kuhudumia wananchi 27,742 wa vijiji vya Nyangoto, Matongo, Mjini Kati na Nyabichune na unasimamiwa na  Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na uko katika hatua za mwisho kukamilika.

Kutokana na ongezeko la mahitaji ya maji katika vijiji vingine saba vinavyozunguka mgodi. Chanzo hiki kimesanifiwa upya kwa lengo la kuhudumia wananchi 125,566 katika vijiji vingine sita vya Genkuru, Nyamwaga, nyakunguru, Kerende, Msege na Komarera.

Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara unaendeshwa na Kampuni ya Barrick kwa ubia na Serikali ya Tanzania kupitia Kampuni ya Twiga Minerals.

Kampuni ya Barrick kupitia utekelezaji wake wa mkakati endelevu imefanikisha miradi mbalimbali ya kijamii katika maeneo yanayozunguka migodi yake hususani katika kuboresha sekta ya elimu,upatikanaji wa maji salama,afya,mazingira na kuongea wigo kwa ajira.


Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara wakishirikiana na wananchi kupanda miti ya asili kando kando ya mto Tighite wakati wa maadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Juni 5, 2025.


Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.