Articles by "Latest Sports News"

Showing posts with label Latest Sports News. Show all posts

To Manchester United:
I write this note to thank all the Manchester United family for the great support received during the year I've been part of this Club.
 
When Manchester United chose me as part of their team I felt extremely honoured because I knew what this Club means and how it trusted me.
 
Nevertheless, I'm aware things didn't work as we all expected and believe me, I feel really sorry about it. However in the career of a football player sometimes the unexpected and unwanted may happen.

Angel Di Maria
"I'm really sorry about it": Di Maria penned an open letter to fans


ENGLAND manager Roy Hodgson has recalled Rio Ferdinand to the Three Lions squad.

England squad to face San Marino and Montenegro

Keepers: Ben Foster, Joe Hart, Fraser Forster
Defenders: Leighton Baines, Gary Cahill, Ashley Cole, Michael Dawson, Rio Ferdinand , Glen Johnson, Chris Smalling, Kyle Walker.
Midfielders: Michael Carrick, Tom Cleverley, Steven Gerrard, Frank Lampard, Aaron Lennon, James Milner, Leon Osman, Scott Parker , Alex Oxlade-Chamberlain, Theo Walcott, Ashley Young.
Forwards: Jermain Defoe, Wayne Rooney, Daniel Sturridge, Daniel Welbeck.


Rio Ferdinand




































Picture
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balopzi Seif Iddi, akiangalia waya wa umeme aina ya shaba ambao amezuia mauzo yake hadi uongozi wa kiwanda cha sukari utapokaa pamoja na Wizara ya fedha kufikia maamuzi, kutokana na waya huo kuuzwa chini ya thamani na baadhi ya maafisa wa Serikali. Thamani halisi ya waya huo inakadiriwa kuwa ni Tsh 300 millioni lakini umeuzwa kwa Tsh 2.5 millioni tu.
Tukio hilo limebainika mara baada ya Makamu huyo kutembelea kwenye kiwanda cha Sukari kilichopo Mahonda mjini Zanzibar na kuzungumza na uongozi wa kiwanda hicho ambacho kiliuziwa waya huo kwa bei ya chee.

Balozi Seif alisema zipo hitilafu zinazotumiwa na baadhi ya maafisa wa Serikali katika mauzo ya mali za Serikali na matokeo yake kusababisha kuitia hasara kubwa Serikali Kuu.

Amesema mali za Serikali zimekuwa zikinunuliwa kwa gharama kubwa lakini uuzwaji wake baada ya matumizi hayalingani na thamani ya mali zenyewe jambo ambalo hutoa mwanya kwa mali hizo kuuzwa kwa bei ya chini kabisa.

Utashangaa kuona mali za Serikali hununuliwa kwa gharama kubwa lakini baadhi ya maafisa na watendaji wa serikali hutumia mwanya wa kujenga hoja ya kuuzwa mali hizo kwa kisingizio cha kuchakaa na badala yake baadhi yao kujiuzia wenyewe kwa bei wanayoitaka wao wenyewe bila ya kuzingatia taratibu zilizopo za tenda na mnada”. alionya Balozi Seif.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliuagiza Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo kukaa pamoja na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari kuangalia nanma ya matumizi ya waya huo ambao ulikuwa ukitumiwa na Kiwanda hicho.

Waya huo ulilazimika kufukuliwa na Uongozi wa Kiwanda hicho baada ya kubainika kuanza kuhujumiwa kwa kukatwa katwa na baadhi ya wezi kufuatia kutambulikana thamani yake katika masoko ya Kimataifa.   

Mapema Mshauri wa Kiwanda cha Sukari Mahonda, Dk Hamza Hussein Sabri alisema Zanzibar inatarajiwa kujitosheleza kwa sukari ifikapo mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu kufuatia uongozi wa kiwanda cha sukari cha Mahonda kufanikiwa kupata washirika zaidi katika kuongeza nguvu ya kuanza uzalishaji wa bidhaa hiyo muhimu kwa jamii.

Source: www.wavuti.comhttp://www.wavuti.com/#axzz2MgA1xDsC

Nahodha na mchezaji wa timu ya Chelsea aliyefungiwa kucheza baadhi ya michezo ya Ligi kuu ya Uingereza mara baada ya kupatikana na hatia ya kumbagua mchezaji mwenzake wa Queen Park Rangers (QPR), Antoni Ferdinand leo usiku anategemewa kuwaongoza wachezaji wenzake akiwa amevaa kitambaa cha kupinga nakukemea ubaguzi wa rangi michezon kwa kuvaa kitambaa cha kupinga ubaguzi (Unite against Racism) dhidi ya mchezo wao na Shakhtar Donetsk.

Shirikisho la soka barani uilaya (UEFA) wiki hii linawata manahodha wote kuvaa kitambaa hicho katika michezo yao itakayochezwa  ikiwa watakuwa wanongozwa na watoto waliovaa kitambaa hicho na pia manahodha wote pia kufanya hivyo na John Terry kama nahodha imekuwa kama bahati kwani itakumbukwa mchezaji huyo alikuwa kwenye vichwa vya magazeti kwa kumtolea maneno ya kibaguzi mchezaji mwenzake Anton Ferdinand dhidi yamchezo wao katika uwanja wa Loftus mnamo mwezi wa kumi..
.
John amefungiwa kucheza michezo minne ya ligi kuu na kupigwa faini inakadiriwa kufikia Paundi za kiingereza  £220,000.


John Terry




































Robin van Persie


Summer signings Robin van Persie and Shinji Kagawa are fit for the Barclays Premier League visit of Wigan Athletic on Saturday, but Phil Jones could be sidelined for up to 10 more weeks.

There was speculation that van Persie and Kagawa could miss the game after picking up strains on international duty in midweek, but Sir Alex confirmed at his Friday press conference they will be available to face the Latics.


Vipi wabongo mpo wapi.....Wenzenu wapongezwa kwa kazi waliyotumwa kuifanya na kuitimiza

Delirious ... thousands pack Trafalgar Square for Games celebrations
umati wa watu waliojitokeza kuwapongeza washindi wa medali za Olympic.

Mo Farah does the 'Mo-bot' in on the streets of a celebrating London


Bingwa wa medali mbili za Olympic kwa 5,000m and 10,000m ,Mo Farah


Paralympic swimmer Ellie Simmonds waves to crowds in London
Bingwa wa Medali ya Dhahabu, Ellie Simmonds


British singer Katherine Jenkins, center, sings the national anthem as she stands with British Olympic and Paralympic athletes.

Washindi wa medali za Olympic wakiongozwa na Katherine Jenkins kuimbwa wimbo wa Taifa.



Victoria Pendleton waves to fans during London Olympic and Paralympic parade
Victoria Pendleton akiwapungia watazamaji waliojitokeza kuwalaki Mabingwa wa Olympic

Laura Robson poses with her Mixed Doubles tennis silver medal

Bingwa wa medali kwa upande wa Tennis, Laura Robson

Zara Phillips and Tom Daley beam during London parade

Washindi wa medali wakiwa kwenye nyuso za furaha Zara Phillips and Tom Daley



Gold medalists Jessica Ennis and Mo Farah embrace during London parade


Muda wa Furaha ... Jessica Ennis and Mo Farah wakifurahia kwa kumbatiana


source by the sun































































Raheem SterlingKinda anayekuja juu kisoka juu mzaliwa wa Jamaica Raheem Sterling ameitwa kwenye timu ya wakubwa ya Uingereza kuchukua nafasi ya Theo Walcott wa Asrenal mara baada ya kuumia dhidi ya timu ya Taifa ya Ukraine kwenye mchezo wa kuwania nafasi aya  kucheza Fainali za Kombe la Dunia.

Pamoja na Sterling wengine walioitwa kuichezea Uingereza kwenye mchezo huo wa kesho ni Jake Livermore wa  Tottenham Hospurs na mchezaji wa kiungo wa  Southampton  Adam Lallana pi ni miongoni mwa wachezaji watakaokuwa ni mara yao yao ya kwanza kuitwa  kuchezea timu ya wakubwa.

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.