Wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido wa Nigeria umechaguliwa kwenye category ya international collaboration.

![]() |
| Mashabiki wa Diamond kwenye showa ya Diamond Platnumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekan |
![]() |
| Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi akifanya vitu vyake California. |
![]() |
| Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California. |
Picha na: Abdul Majid, mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles California. Kuona picha zaidi bofya hapa.
Source by www.wavuti.com



Post a Comment