Matukioa mbalimbali ya michezo ilitochezwa jana katika Ligi kuu ya Uingereza katika mzunguko wa nne wa ligi hiyo.
| Dimitar Berbatov akishangilia moja ya magoli yake ya jana |
|
Luis Suarez na Sterling wakishangilia
kuzawishwa kwa goli lililofungwa na Suarez
|
Javi Garcia akishangilia goli lake la kwanza toka atue kwenye klabu ya MAnchester City
| Nick Powell akimwomba Fergie azidi kumpanga mechi nyingi aendelee kufunga |
| Kocha Arsene Wenger akishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yake jana katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Southampton |
Peter Odemwingie akijutia kadi yake nyekundu kwa kujifunika usoni
| Mchezaji mpya wa Aston Villa , Matt Lowton akishangilia mara baada ya kufungua ukurasa wa mabao yaliyofungwa na Aston Villa jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Swansea |
Peter Crouch akifunga goli lake lililolamikiwa na wengi
| Matt Lowton akifunga goli lake jana |
| Christian Benteke akifungua goli lake la kwanza |
Post a Comment