| Mwezeshaji,Dams Debwa,akitoa mada yake kwenye kongamano la usafi wa afya na mazingira lililoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae hotel mjini hapa. |
| Baadhi ya wawakilishi wa sekretarieti za mikoa,serikali za mitaa na mashirika yasiyo ya kiserikali ya SEMA na DMDD kutoka mikoa ya Manyara na Singida |
| Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA,mjini hapa,Ivo Manyanku,akitoa ufafanuzi juu ya namna watakavyotekeleza mradi wa usafi wa afya na mazingira |
| katika shule za msingi 36 za mikoa ya Singida na Manyara.Picha zote na Nathaniel Limu. |
Post a Comment