Mwalimu  wa  Ujasiriamali  kutoka  katika  Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation, Mama  Ashankira  Lupembe  , akifundisha  kwa  vitendo  namna  ya  kutengeneza  sabuni   ya  maji. 
Mwanafunzi  wa  ujasiriamali  akitengeneza  sabuni  ya  unga  mwenyewe  mara  baada  ya  kupata  maelekezo  kutoka  kwa   waalimu  wa  ujasiriamali  kutoka  RafikiELIMU  Foundation. 
Mwanafunzi  wa  ujasiriamali  akitengeneza  sabuni  ya  maji  kwa  vitendo   mara  baada  ya  kupata  maelekezo  kutoka  kwa   waalimu  wa  Ujasiriamali  kutoka  katika  Asasi  ya  RafikiElimu  Foundation. 
Wajasiriamali  wakifanya  "  practical "  ya  kutengeneza  sabuni  ya  maji  kwa  vitendo  mara  baada  ya  kupokea  maelekezo  kutoka  kwa  waalimu  wa  ujasiriamali  kutoka  katika  Asasi  ya  RafikiElimu   Foundation. 
Mwalimu  wa  Ujasiriamali  kutoka  Taasisi  ya  RafikiElimu   Foundation, Mama  Hellen  Mbise  akielekeza  kwa  vitendo  namna  ya  kutengeneza  sabuni   za  maji. 
Mwalimu  Ashankira  Lupembe  akiwaonyesha  wanamfunzo  kitambaa  kilcho  fuliwa  kwa  kutumia   sabuni  aliyo  itengeneza  mwenyewe  wakati  wa  uzinduzi  wa  EUMIVI  PROJECT. 
Mwalimu  wa  Ujasiriamali  kutoka  Taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation, Mama  Ashankira  Lupembe  akifua  kitambaa  kwa  kutumia  sabuni  iliyo  tengenezwa  wakati  wa  mafunzo  ya  utengenezaji  sabuni   ya  wakati  katika  uzinduzi  wa  mradi  wa  Elimu  ya  Ujasiriamali Mijini  &   Vijijini. 
Mama  Ashankira  Lupembe, Mtaalamu  na  Mwalimu  wa  Ujasiriamali  kutoka  RafikiElimu  Foundation  akitoa  maelekezo  ya  namna  ya  kutengeneza  sabuni  ya  maji  kwa   vitendo. 
Mradi uliolenga  kupunguza  tatizo  la  ajira  nchini  kwa  kutroa  elimu  ya  ujasiriamali  kwa  maelfu  vijana  wa  kitanzania  waishio  mijini  na  vijijini  ifikapo  mwezi  Novemba  2014   umezinduliwa  rasmi  leo  jijini  Dar Es  salaam.  Uzinduzi  huo   ulio  fanyika  mapema  leo  katika  eneo  la  Shule  Ya  Msingi  Mlimani  iliyopo  katika  Chuo  Kikuu  Cha  Dar Es  salaam  na  kuhudhuriwa  na  makumi  ya  vijana  wa  kada  mbalimbali  jijini  Dar  es  salaam   uliambatana  na  mafunzo  ya  ujasiriamali   ambapo  wahudhuriaji  walipata  nafasi  ya  kujifunza  kutengeneza  sabuni  za  aina  mbalimbali  kutoka  kwa  wataalamu  wa   kutoka  katika  taasisi  ya  RafikiElimu  Foundation, taasisi  inayo  jihusisha  na  maendeleo  ya  jamii.

Baadhi  ya  wajasiriamali  walio  hudhuria  katika   Uzinduzi  wa Mradi  wa  Elimu  Ya  Ujasiriamali  Mijini  &  Vijijini  uliofanyika   leo  jijini  Dar  Es  salaam. 
Akiulezea  mradi  huu,   mratibu  msaidizi  wa  mradi  huo   alisema   kuwa  mradi  huu  upo    katika  awamu  kuu  mbili.  Awamu  ya  kwanza   itafanyika  kuanzia  tarehe  01  Septemba  2012 hadi  tarehe  29 Septemba  2012, na  utafanyika  katika  mikoa   ya  Dar Es  salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Morogoro,  Dodoma  na Kilimanjaro, ambapo  mbali  na  kutoa  mafunzo  ya  ujasiriamali, asasi  itatafuta   vijana  kumi  na  wawili  kutoka  katika   hiyo  mikoa  saba   kwa  ajili   ya  kufanya  kazi  kama  wajitoleaji " volunteers"  katika  awamu  ya  pili  ya  mradi  itakayo  anza  rasmi  tarehe 01  Novemba  2012  na   kuchukua  miaka  miwili  hadi    Novemba  2014   ambapo  ndipo  itakapo  kuwa  tamati  ya  mradi  huu.

Awamu  ya  kwanza  ya  mradi  huu  inafanyika  katika  mikoa  ya  Dar  Es  salaam,  Arusha, Morogoro, Kilimanjaro, Dodoma, Mwanza  na  Mbeya.  Jijini  Dar  Es  salaam, mafunzo  yanafanyika  kwa  siku  tatu  kuanzia  tarehe 01  Septemba  2012  hadi  tarehe  04  Septemba  2012  katika  Shule  ya  Msingi  Mlimani  , iliyopo  katika  Chuo  Kikuu  Cha  Dar  Es  salaam...  Ratiba  kamili  ya  awamu  ya  kwanza  ya  mafunzo  haya  ni  kama  ifuatavyo :
1. ARUSHA, MOSHI  & MOROGORO :  Mafunzo  yatafanyika  kuanzia  tarehe  17 hadi  19 Septemba 2012..  Mwisho  wa  kujiandikisha  katika  " programme  hii " kwa  wakaazi  wa  ARUSHA, MOSHI  na  MOROGORO  ni  tarehe  15  Septemba  2012.
Baadhi  ya  wanafunzi  wa  ujasiriamali  waliohudhuria  katika  mafunzo  haya  wakifuatilia  darasa  kwa  makini. 
2. MWANZA, MBEYA   &  DODOMA :  Mafunzo  yatafanyika  kuanzia  tarehe  27 hadi  29 Septemba  2012.
Mwisho  wa  kujiandikisha  katika  programme  hii  kwa  wakaazi  wa  DODOMA, MBEYA  & MWANZA ni  tarehe  25  Septemba 2012.

Brendan RodgersBaada ya kipigo cha mabao 2-0 toka kwa Aresnal jana meneja mkuu wa timu ya Liverpool, Brendan Rodgers ana mpango wa kuwakimbilia Didier Drogba na Michael Owen ili kuongeza makali ya safu yake ya ushambuliaji iliyoanza ligi kwa kusuasua.

Hali hiyo imechangiwa zaidi mara baada ya timu hiyo kubakiwa na washambuliaji wachache baada ya kumuuza Andy Caroll kwa West Ham United., uwezekano wa kumpata Drogba ni mkubwa kutokana na mchezaji huyo kuwa huru kwa sasa mara baada ya timu yake Shanghai Shenhua kumuacha rasmi jana na Owen kwa sasa ni mchezaji huru na kuwasajili kwa sasa pia inawezekana kwa sababu hawana timu zozote kwa sasa.

Tatizo pekee linaloweza kuikabilia Liverpool kushindwa kumsajili Drogba kwa sasa ni mshahara mkubwa itakayolazimika kumlipa mchezaji huo.


Chama Cha Mapinduzi nchini Uingereza jana kilisuka upya safu yake ya uongozi kwa kuchagua viongozi wapya na kuongeza nafasi mpya za manaibu katika Sekretarieti ili kuboresha utendaji. Aidha kikao kilikaa kwa utaratibu maalum na kuridhia kwa pamoja kuongeza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Tawi kutoka Zanzibar.

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Tawi ilijazwa na Ndugu Sukwa Said Sukwa aliyepita bila kupingwa ili kuleta uwiano wa kitaifa.

Safu mpya za uongozi wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Tawi UK na miji watokayo kwenye mabano ni kama ifuatavyo:

         1.0 Katibu wa CCM wa Tawi ni Bi. Mariam Mungula. (East London)

         1.1.Naibu Katibu wa CCM Tawi ni Ndugu Albert Ntemi. (Luton)

         2.0 Katibu wa Siasa na Uenezi Tawi ni Ndugu Leybab Mdegela (Northampton)

         2.1 Naibu Katibu wa Siasa na uenezi Tawi ni Ndugu Abraham Sangiwa (Luton)

         3.0 Katibu wa Uchumi na Fedha wa Tawi ni Ndugu John Lyimo (Manchester)

         3.1 Naibu Katibu wa Uchumi na Fedha ni Ndugu Mohamed Upete (Reading)
Picture: CCM UK safu mpya 2012 Septemba

4. Kikao hicho vilevile kilimteua Ndugu Haruna Mbeyu maarufu kama “Meya wa London” kuchukua wadhifa wa kuwa “Mshauri Maalum” au “Special Advisor” wa Tawi La Uingereza kutokana na mchango wake mkubwa kwa Watanzania UK.

Kikao kiliridhia pingamizi lililowekwa na wengi wa wajumbe kwa Ndugu Moses Katega kutetea nafasi yake ya Katibu wa Siasa na Uenezi kwa kuzingitia sifa, maadili na miiko ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Tawi itaendelea kuwa na Viongozi wa Tawi na Wenyeviti wa mashina. Aidha Kamati ya Usalama na Maadili sasa itakuwa na wajumbe wafuatao:

  1. Lilian Barongo - Mwenyekiti.
  2. Mashamba Mashaka
  3. Kapinga Kangoma
  4. Frank Mukiza
  5. Victor Mgoya
  6. Joseph Gobbos

Kabla ya uchaguzi ambao uliendeshwa kwa demokrasia ya hali ya juu, Mwenyekiti wa Tawi Ndugu Maina Owino aliwaasa wajumbe kuzingatia haki na wajibu wa uwanachama na sifa na miiko ya uongozi kama ilivyoainishwa katika miongozo na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi.

Kikao kilipokea taarifa muhimu ya Kamati Maalum, kilibariki marekebisho ya mwisho ya Website ya kisasa ya CCM UK na kilipitisha mipango mipya ya kuendeleza Chama kwa manufaa ya Watanzania na Wanadiaspora.

Picture

Mariam Mungula
Katibu wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi, Uingereza
CHAMA CHA MAPINDUZI -UK.

Imetolewa na Idara ya Siasa na Uenezi, Tawi la CCM ,Uingereza.

Tarehe : 02 Septemba 2012.  

Source: wavuti


All the big Premier League ins and outs


ARSENAL 

TOTAL SPENDING £40m 

IN: Santi Cazorla (Malaga, right, £16m), Olivier Giroud (Montpellier, £13m), Lukas Podolski (Cologne, £11m). 

OUT: Robin van Persie (Man Utd, £22m), Alex Song (Barcelona, £15m), Kyle Bartley (Swansea, £1m), Henri Lansbury (Nottm Forest, £1m), Gavin Hoyte (Dag & Red, free), Manuel Almunia (Watford, free), Joel Campbell (Real Betis, loan), Denilson (Sao Paulo, loan), Ryo Miyaichi (Wigan, loan), Nicklas Bendtner (Juventus, loan), Ju Young Park (Celta Vigo, loan). 

ASTON VILLA 

TOTAL SPENDING £20.2m 

IN: Christian Benteke (Genk, £7m), Matthew Lowton (Sheff Utd, £3m), Ron Vlaar (Feyenoord, right, £3.2m), Ashley Westwood (Crewe, £2m), Karim El Ahmadi (Feyenoord, £2m), Brett Holman (AZ Alkmaar, free), Joe Bennett (Middlesbrough, £2.5m), Jordan Bowery (Huddersfield, £500,000). 

OUT: James Collins (W Ham, £2.5m), Carlos Cuellar (Sunderland, free), Nathan Delfouenso (Blackpool, loan), Emile Heskey (released), Brad Guzan (released). 

CHELSEA 

TOTAL SPENDING £83m 

IN: Eden Hazard (Lille, right, £32m), Oscar (Internacional, £25m), Victor Moses (Wigan, £9m), Cesar Azpilicueta (Marseille, £8m), Marko Marin (Werder Bremen, £6m), Thorgan Hazard (Lens, £3m). 

OUT: Didier Drogba (Shanghai Shenhua, free), Jacob Mellis (Barnsley, free), Salomon Kalou (Lille, free) Jose Bosingwa (QPR, free), Thibaut Courtous (Atletico Madrid, loan), Romelu Lukaku (West Brom, loan), Kevin De Bruyne (Werder Bremen, loan), Sam Hutchinson (Nottingham Forest, loan), Josh McEachran (Middlesbrough, loan), Thorgan Hazard (Zulte Waregem, loan), Gael Kakuta (Vitesse Arnhem, loan), Yossi Benayoun (West Ham, loan), Michael Essien (R Madrid, loan). 

EVERTON 

TOTAL SPENDING £11.6m 

IN: Kevin Mirallas (Olympiakos, right, £5.3m), Steven Pienaar (Tottenham, £4.5m), Bryan Oviedo (Copenhagen, £1.6m), Matthew Kennedy (Kilmarnock, £200,000), Steven Naismith (Rangers, free). 

OUT: Jack Rodwell (Man City, £15m), Tim Cahill (NY Red Bulls, £1m), Adam Forshaw (Brentford, undis), James Wallace (Tranmere undis), Joao Silva (Levski Sofia, undis), Joseph Yobo (Fenerbahce, undis), James McFadden, Marcus Hahnemann (both released). 

FULHAM 

TOTAL SPENDING £6m 

IN: Dimitar Berbatov (Man Utd, £4m), Kieran Richardson (Sunderland, right, £2m), Hugo Rodallega (Wigan, free), Mladen Petric (Hamburg, free), George Williams (MK Dons, free), Sascha Riether (Cologne, loan), Ashkan Dejagah (Wolfsburg, undis). 

OUT: Mousa Dembele (Spurs, £15m), Clint Dempsey (Spurs, £6m), Dickson Etuhu (Blackburn, £1.5m), Andrew Johnson (QPR, free), Danny Murphy (Blackburn, free), Pavel Pogrebnyak (Reading, free), Bjorn Helge Riise, Orlando Sa (both released). 

LIVERPOOL 

TOTAL SPENDING £27.8m 

IN: Joe Allen (Swansea, right, £14m), Fabio Borini (Roma, £11m), Oussama Assaidi (Heerenveen, £2.8m), Nuri Sahin (Real Madrid, loan). 

OUT: Dirk Kuyt (Fenerbahce, £1m), Charlie Adam (Stoke, £4m), Craig Bellamy (Cardiff, undis), Alberto Aquilani (Fiorentina, undis), Fabio Aurelio (Gremio, free), David Amoo (Preston, free), Stephen Darby (Bradford, free), Maxi Rodriguez (Newell’s Old Boys, undis), Andy Carroll (West Ham, loan), Nathan Eccleston (Blackpool, undis). 

MANCHESTER CITY 

 Maicon

TOTAL SPENDING £52m 

IN: Javi Garcia (Benfica, £16m), Jack Rodwell (Everton, right, £15m), Matija Nastasic (Fiorentina, £12m plus Stefan Savic), Scott Sinclair (Swansea, £6m), Maicon (Inter, £3m), Richard Wright (free). 

OUT: Adam Johnson (S’land, £10m), Emmanuel Adebayor (Spurs, £5m), Nigel De Jong (AC Milan, £5m), Roque Santa Cruz (Malaga, loan), Vladimir Weiss (Pescara, undis), Owen Hargreaves (released), Stuart Taylor (Reading, free), Wayne Bridge (Brighton, loan), Dedryck Boyata (Twente, loan). 

MANCHESTER UNITED 

TOTAL SPENDING £46m 

 RIGHT VAN MAN ... Robin van Persie's move to Manchester United wowed the Premier League

IN: Robin van Persie (Arsenal, right, £22m), Shinji Kagawa (Dortmund, £12m), Angelo Henriquez (Universidad de Chile, £4m), Nick Powell (Crewe, £4m), Alexander Buttner (Vitesse Arnhem, £4m). 

OUT: Ji-Sung Park (QPR, £2m), Dimitar Berbatov (Fulham, £4m), Richie De Laet (Leicester, undis), Matty James (Leicester undis), Paul Pogba (Juventus, free), Tomasz Kuszczak (Brighton, free), Michael Owen (released), Fabio (QPR, loan), Ben Amos (Hull, loan). 

NEWCASTLE 

TOTAL SPENDING £7.85m 

IN: Vurnon Anita (Ajax, right, £6.7m), Gael Bigirimana (Coventry, £750,000), Curtis Good (Melbourne, £400,000), Roman Amalfitano (Reims, Free). 

OUT: Leon Best (Blackburn, £3m), Fraser Forster (Celtic, £2m), Danny Guthrie (Reading, free), Peter Lovenkrands (Birmingham, free), Alan Smith (MK Dons, free), Ryan Donaldson (released), Tamas Kadar (Roda JC, free). 

NORWICH 

TOTAL SPENDING £8.5m 

IN: Sebastien Bassong (Tottenham, below, £4m), Robert Snodgrass (Leeds, £3m), Michael Turner (Sunderland, £1.5m), Steven Whittaker (Rangers, free), Jacob Butterfield (Barnsley, free), Javier Garrido (Lazio, loan), Alexander Tettey (Rennes, undis), Mark Bunn (Blackburn, undis), Harry Kane (Tottenham, loan). 

OUT: Andrew Crofts (Brighton, undis), Adam Drury (Leeds, free), Aaron Wilbraham (Crystal Palace, free), Zak Whitbread (Leicester, free), Josh Dawkin (released), Daniel Ayala (Nottingham Forest, loan), James Vaughan (Huddersfield, loan). 

QPR 

TOTAL SPENDING £18.8m 

IN: Esteban Granero (Real Madrid, £9m), Stephane Mbia (Marseille £4.5m), Samba Diakite (Nancy, £3.5m), Ji-Sung Park (Man U, £2m), Julio Cesar (Inter, right, free) Junior Hoilett (Blackburn, trib), Rob Green (W Ham, free), Ryan Nelsen (Spurs, free), Andrew Johnson (Fulham, free), Jose Bosingwa (Chelsea, free), Fabio (Man Utd, loan), Sam Magri (Portsmouth, undis). 

OUT: Tommy Smith (Cardiff, £300,000), Paddy Kenny (Leeds, £400,000), Heidar Helguson, Matt Connolly (both Cardiff, undis), Rowan Vine (St Johnstone, free), Peter Ramage (Palace, free), Danny Gabbidon, Danny Shittu, Fitz Hall, Akos Buzsaky (released), Jay Bothroyd (Sheff Wed, loan), Joey Barton (Marseille, loan). 

READING 

TOTAL SPENDING £5.25m 

IN: Chris Gunter (Nottm Forest, £2.5m), Adrian Mariappa (Watford, £2.5m), Pierce Sweeney (Bray, £250,000), Pavel Pogrebynak (Fulham, right, free), Danny Guthrie (Newcastle, free), Garath McCleary (Nottm Forest, free), Nicky Shorey (West Brom, free), Stuart Taylor (Man City, free). 

OUT: Michail Antonio (Sheff Wed, undis), Tomasz Cywka (Barnsley, free), Brian Howard (released), Andy Griffin (released), Jack Mills (released), Joseph Mills (Burnley, loan).

SOUTHAMPTON 

TOTAL SPENDING £18m

IN: Gaston Ramirez (Bologna, £12m), Jay Rodriguez (Burnley, £6m), Paulo Gazzaniga (Gillingham, undisc), Steven Davis (Rangers, free), Emmanuel Mayuka (Young Boys, undis), Nathaniel Clyne (Crystal Palace, right, £2.8m). 

OUT: Dan Harding (Forest, undis), Bartosz Bialkowski (Notts Co, free), Lee Holmes (Preston, free), Ryan Doble (Shrewsbury, free), David Connolly (released), Radhi Jaidi (retired), Aaron Martin (C Palace, loan), Tommy Forecast (Gillingham, loan), Billy Sharp (Forest, loan), Dean Hammond (Brighton, loan).

STOKE

TOTAL SPENDING £10m 

IN: Charlie Adam (Liverpool, right, £4m), Steven Nzonzi (Blackburn, £4m), Michael Kightly (Wolves, £2m), Geoff Cameron Houston Dynamo, undis), Jamie Ness (Rangers, free), Maurice Edu (Rangers, free).
OUT: Danny Collins (Nottm Forest, undis), Jonathan Woodgate (Middlesbrough, free), Andrew Davies (Bradford, free), Salif Diao (released), Ricardo Fuller (Charlton, free).

SUNDERLAND 

TOTAL SPENDING £25m 

IN: Steven Fletcher (Wolves, £15m), Adam Johnson (Man City, right, £10m), Louis Saha (Tottenham, free), Carlos Cuellar (Aston Villa, free), Danny Rose (Spurs, loan) 

OUT: Asamoah Gyan (Al-Ain, £6m), Kieran Richardson (Fulham, £2m), Michael Turner (Norwich, £1.5m), Marcos Angeleri (Estudiantes, undis), George McCartney (West Ham, free), Jordan Cook (Charlton, free), Michael Liddle (Accrington, undis), Ahmed Elmohamady (Hull, loan). 

SWANSEA 

TOTAL SPENDING £16.5m 

IN: Ki-Sung Yeung (Celtic, right, £6m), Pablo Hernandez (Valencia, £5.5m), Michu (Rayo Vallecano, £2m), Jose Manuel Flores (Genoa, £2m), Kyle Bartley (Arsenal, £1m), Jonathan de Guzman (Villarreal, loan), James Proctor (Preston, undis). 

OUT: Joe Allen (Liverpool, £14m), Scott Sinclair (Manchester City, £6m), Scott Donnelly (released), Joe Walsh (released), Ferrie Bodde (released), Stephen Dobbie (Brighton, undis).

TOTTENHAM

TOTAL SPENDING £54.7m 
 HOT SPUR ... Hugo Lloris has joined Andre Villas-Boas' outfit


IN: Hugo Lloris (Lyon, £12m), Mousa Dembele (Fulham, right, £15m), Gylfi Sigurdsson (Hoffenheim, £8.7m), Jan Vertonghen (Ajax, £8m), Clint Dempsey (Fulham, £6m), Emmanuel Adebayor (Manchester City, £5m). 

OUT: Luka Modric (Real Madrid, £30m), Vedran Corluka (Lokomotiv, £5m), Steven Pienaar (Everton, 4.5m), Sebastien Bassong (Norwich, £4m), Niko Kranjcar (Dynamo Kiev, £2m), Rafael van der Vaart (Hamburg, undis), Giovanni Dos Santos (Real Mallorca, undis), (Ryan Nelsen (QPR, free), Ben Alnwick (Barnsley, free), Louis Saha (Sunderland, free), Massimo Luongo (Ipswich, loan), Ryan Fredericks (Brentford, loan), Danny Rose (Sunderland, loan), Harry Kane (Norwich, loan). 

WEST BROM 

TOTAL SPENDING £4m 

IN: Ben Foster (B’ham, £4m), Markus Rosenborg (Werder Bremen, free), Claudio Yacob (Racing Club, right, free), Romelu Lukaku (Chelsea, loan), Yassine El Ghanassy (AA Gent, loan), Goran Popov (Dynamo Kiev, loan). 

OUT: Keith Andrews (Bolton), Joe Mattlock (Sheff Wed), Nicky Shorey (Reading, all free), Somen Tchoyi, Paul Scharner (both released), Simon Cox (Nottm For, undis). 

WEST HAM 

TOTAL SPENDING £20.5m 

IN: Matt Jarvis (Wolves, £10.75m), Modibo Maiga (Sochaux, £5m), Alou Diarra (Marseille, £2m), James Collins (Villa, £2.5m), Stephen Henderson (Pompey, £250,000), Raphael Spiegel (Grasshoppers, undis), Jussi Jaaskelainen (Bolton, free), George McCartney (Sunderland, free), Mohamed Diame (Wigan, free), Andy Carroll (Liverpool, right, loan), Yossi Benayoun (Chelsea, loan). 

OUT: Nicky Maynard (Cardiff, £2.5m), Sam Baldock (Bristol C, £1m), Rob Green (QPR), Julien Faubert (Elazigspor), Frank Nouble (Wolves), Freddie Sears (Colchester), Abdoulaye Faye (Hull — all free), John Carew, Papa Bouba Diop (both released), Ravel Morrison (Birmingham, loan). 

WIGAN 

TOTAL SPENDING £7.2m 

IN: Ivan Ramis (Real Mallorca, £4m), Arouna Kone (Levante, right, £2.7m), Fraser Fyvie (Aberdeen, £500,000). 

OUT: Victor Moses (Chelsea, £9m), Roman Golobart (Tranmere, loan), Chris Kirkland (Sheff W, free), Mohamed Diame (W Ham, free), Hugo Rodallega (Fulham, free), Steve Gohouri, Jordan Robinson (both released). 



Radamel Falcao

Timu ya Chelsea ya mjini London haitamsahau Ramadal Falcao nyota wa Kicolombia ambaye ameshafunga jumla ya mabao 111 hadi kufikia mchezo wa jana katika misimu yake mitatu  barani Ulaya.


Mabingwa wapya wa Supa Cup 2012 Atletico Madrid wakisheherekea Ubingwa wao wakiwa na kombe walilolitwaaa dhidi ya Chelsea Jana Usiku

Atletico Madrid celebrate with the trophy


wachezaji wa Chelsea wakitafakari kipigo



Fernando Torres, skipper Frank Lampard and John Obi Mikel reflect on a disappointing night

ROBERTO MANCINI was still moaning after Manchester City’s £52m transfer-window splash.

City landed £16m Javi Garcia, £12m Matija Nastasic, £6m Scott Sinclair and £3m Maicon yesterday to go with earlier £15m buy Jack Rodwell.
But boss Mancini admitted the champions failed to secure any of his first-choice targets — missing out on Robin van Persie, Eden Hazard, Javi Martinez and Daniele De Rossi.
Mancini said: “I was frustrated, as it is difficult to do everything in one week or 10 days.
“When you finish the season, you have a meeting with the club. You talk about players but sometimes it is not possible to take all the players you want.
“You should have a different choice. But getting these players we have bought, I am happy.”
Mancini has spent most of the summer criticising City’s football administrator Brian Marwood over the failure to bring in the men at the top of his list.
In the end, Arsenal’s Van Persie ended up at Manchester United for £22m, Hazard joined Chelsea in a £32m deal from Lille, Martinez completed a £32m move from Athletic Bilbao to Bayern Munich and De Rossi opted to stay at Roma.
City captured Benfica’s defensive midfielder Garcia, 25, in the last hour before the window closed at 11pm. He will replace Nigel de Jong, who has gone to AC Milan for £5m.
Serbia defender Nastasic, 19, tagged the ‘new Nemanja Vidic’, has arrived from Fiorentina, while wideman Sinclair, 23, finally signed from Swansea and Brazilian full-back Maicon, 31, moved from Inter Milan.
City also snapped up ex-England keeper Richard Wright, 34, on a free.

 Roberto Mancini and Scott Sinclair


Iringa -- Siku moja baada ya Waziri wa Afrika Mashariki na Mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki, Samuel Sitta kumrushia kombora mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, katibu mkuu wa CHADEMA Dkt. Willbroad Slaa amemtuhumu Sitta na kumwita msaliti.

Dkt. Slaa amedai kuwa Sitta ndiye alikuwa katika makubaliano ya kuja kugombea Uspika kupitia CHADEMA ila alisaliti pamoja na kukubaliana vizuri kuwa angekihama chama chake CCM.

Dkt. Slaa alitoa tuhuma hizo leo (Ijumaa, Agosti 31, 2012) mjini Iringa alipozungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya M.R alisema ilikuwa Mei mwaka 2010, Sitta alikutana na viongozi wa CHADEMA na kuonesha dhamira ya kujitoa CCM na kujiunga na chama chao.

Dkt. Slaa alisema Sitta ni mmoja wa waanzilishi wa chama cha CCJ katika nchi hii wakiwa na Waziri wa Uchukuzi wa sasa, Dkt. Harrison Mwakyembe  kwa  lengo la kuhama CCM na kwamba waliandika katiba inayofanana na ya CHADEMA wakiwa na dhamira ya kujaribu upinzani huku wakisema wakishindwa watajiunga na CHADEMA.  


Alisema kuwa katika mazungumzo hayo yaliyoendelea kufanywa katika kipindi chote cha bunge la bajeti lililokuwa la mwisho kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, katika masharti yake ya kujiunga na CHADEMA, Sitta ambaye kwa wakati huo alikuwa Spika, alitaka apewe nafasi ya kuwania urais kupitia chama hicho na vikao vilikuwa vikifanyika ofisini kwake Dodoma.

Alisema ameamua kutoa siri hiyo baada ya Sitta kunukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari juzi akidai kwamba Dkt. Slaa ndiye mtu pekee ndani ya CHADEMA ambaye ni tishio kwa Urais katika uchaguzi ujao, huku akimponda Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwamba ni mchezesha disco.

Alidai kushangazwa na Sitta kuanza kuzungumzia mambo ya watu badala yakujibu hoja. Dkt. Slaa akasema CHADEMA haipendi kuzungumza habari za watu bali maendeleo, "Kwa muda mrefu tumemhifadhi Sitta, lakini baada ya kupeleka mashambulizi sehemu isiyohusika sasa tunampiga ngumi za tumbo na uso" alisema Dkt. Slaa.

Dkt. Slaa akaendelea kusema kuwa, wakati akitaka aandaliwe mazingira ya kujiunga na CHADEMA na kupewa nafasi ya kuwania urais, Sitta alidai ana kundi la wabunge zaidi ya 55 waadilifu kutoka katika chama hicho ambao angetoka nao CCM na kuhamia CHADEMA kabla ya Bunge kuvunjwa.

Slaa akasema, kwa kuwa CHADEMA haina ubinafsi, ilihadi kuyafanyia kazi maombi yake ya kuwania Urais kwa uzito mkubwa, hata hivyo katika mazingira ya kushangaza, Sitta aliwatelekeza.

Dkt. Slaa alisema Sitta ambaye uzoefu wake katika siasa na umakini wake katika kushughulikia maendeleo ya nchi umeanza kuwatia shaka Watanzania, alisahau jinsi alivyowatelekeza kabla ya Uchaguzi Mkuu na baada ya uchaguzi huo akaja na hoja mpya kitaka CHADEMA wampe nafasi ya kuwania Uspika kwa kile alichodai kuwepo kwa mizengwe ndani ya CCM.

Dkt. Slaa akadai kuwa CCM walipobadili utaratibu na kumtaka mgombea Mwanamke yeye (Sitta) alichukizwa na suala hilo.

Lakini badala ya kufikia uamuzi wake wa kuhamia CHADEMA kama dhamira yake ilivyomtuma, Sitta aliwatelekeza tena akidai kwamba hatajiunga na chama hicho mpaka pale atakapokwenda jimboni kwake Urambo na kutangaza rasmi kujiondoa CCM.

Alisema Sitta aliyekuwa akitaka msaada wa viongozi wa CHADEMA ili afanikiwe kujiunga na chama hicho na hatimaye kupewa nafasi ya kuwania nyadhifa alizokuwa akitaka, ameanza kuwatusi hadharani viongozi hao akiwemo Menyekiti wake Mbowe.

Kwamba Mbowe ni mchezesha disco, Dkt. Slaa alisema kauli inayotolewa na Sitta inadhihirisha jinsi asivyo makini jambo linalowafanya waanze kuitilia shaka elimu na uzoefu alionao katika kuendesha shughuli za Serikali, “Sita anataka kutuambia kwamba watu wanaocheza disco wakiwemo Mawaziri wengi tu wanaokutwa kwenye kumbi za burudani wanatenda dhambi na ni uhalifu kufanya hivyo?” alihoji na kuendeleea, "...kama biashara ya Mbowe inafanywa kinyume na sheria za nchi, serikali inasubiri nini kufuta leseni yake?"

Kuhusu uongozi na namna ya kupata viongozi ndani ya chama hicho, Dkt. Slaa alisema sio kazi ya Sitta akuwapangia utaratibu,
“Sitta hajui kwamba duniani hakuna chuo cha kusomea Uwaziri, Ukatibu Mkuu na hajui kwamba Mwalimu Julius Nyerere hakuwa na uzoefu wakati akipewa madaraka ya kuongoza taifa hili na kwamba hata wasaidizi wake nao walipata uzoefu baada ya kupata madaraka,” alisema.

Alisema Sitta ni kiongozi mnafiki na atakumbukwa zaidi alipokuwa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu kuna hoja mbalimbali zilizowasilishwa na Wabunge wa upinzani kuhusu ufisadi alizizima.  Alitolea mfano wa Sitta kuzuia muswada uliopelekwa Bungeni na Mh. Zito Kabwe (Mb, Kigoma Kaskazini - CHADEMA) unaohusu Ufisadi katika Makampuni ya umma, wakamfukuza Mh. Zitto kutoka Bungeni kwa kipindi cha miezi sita na kisha kumrudisha kimyakimya.

Alisema kuzimwa kwa hoja hizo ikiwemo ya Mkataba uliogubikwa na utata wa Kampuni za Meremeta, Buzwagi, unadhihirisha jinsi naye alivyotumia madaraka yake vibaya kwa kujenga ofisi ndogo ya Spika ambayo yeye aliita ya mbunge jimbo kwake Urambo.

Alisema wakati Serikali imeridhia Ofisi za Wabunge zijengwe kwa kiasi cha fedha kisichozidi Shilingi Milioni 40 kwa kuzingatia upatikanaji wa fedha, ofisi hiyo ya Urambo ilijengwa kwa Shilingi Milioni 350, “Kauli zinazotolewa na Sitta kuhusu chama chetu zinadhihirisha jinsi alivyomnafiki na asivyofaa jambo lililosababisha hata CCM wamemnyima nafasi ya kuwania kugombea kwa mara nyingine tena nafasi ya Uspika,” alisema.

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.