Human Resource and Administrative Officer II POSITION DESCRIPTION:
 
From the Daily News of 18th September
The Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) is a Public Service Broadcaster established by Government Order in 2007 and became operational on the 1stof July 2007 replacing the then Tanzania Broadcasting Services – Taasisi ya Utangazaji Tanzania (TUT). TUT was established in the year 2002 pursuant to Public Corporation Act No 2 of 1992, Government Notice No 23 of 14th June 2002. Its formation was a result of a merger of Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) which was established in 1972 and Televisheni ya Taifa (TVT) which was established in 1999.

Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) invite applications from suitably qualified Tanzanians to fill the post;
GENERAL CONDITIONS:
All applicants must be citizens of Tanzania and not above 45 years old.
Applicants must attach an up-to-date current curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.

Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.
The title of the position applied for should be written clearly in the subject of the application letter and also marked on the envelope; short of which will make the application invalid.

Applicants must attach their detailed relevant certified copies of all required academic certificates:
Postgraduate/Degree/Advance Diploma/Diploma/Certificates.
Postgraduate/Degree/Advance Diploma/Diploma/Transcripts.
Form IV and Form VI National Examination Certificates.
Computer Certificates.
Professional certificates from respective boards.
One recent passport size picture and birth certificate.

FORM IV AND FORM VI RESULT SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.
Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.

Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
Certificates from foreign examination bodies for Ordinary or Advanced level Education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA).

Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
Deadline for application is two weeks from the 1st day of advertisement.
Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
Women are highly encouraged to apply
Only short listed candidates will be informed of a date for interview
Application letters should be written in English.


Human Resource and Administrative Officer II - 1 POST
QUALIFICATIONS:
Holder of Bachelor Degree in Human Resources Management, Public Administration, Business Administration, Sociology or its equivalent from a recognized Institution. Computer Skills are essential. DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Assist in salary administration, remuneration scheme and management of Pension and terminal benefits,
- Assist in the preparation of staff records regarding, staff leave and staff welfare,
- Keep an update registers for staff position, disposition, engagements, confirmations and promotions,
- Promote good industrial relations in the workplace,
- Assist in management of the Pension scheme,
- Participate on assessing training needs of personnel,
- Collecting, keeping and updating personnel data and information.
- Interpreting and implementing Scheme of Service.
- Collecting, analysing and planning proper statistics records for human resources plans.
- Preparing and handling seniority list.
- Drafting internal circulars, letters and internal memorandum for official use.
- Perform any otherrelated duties as may be assigned by the supervisor. Salary:
Within the Salary Scale of PGSS 10-11


APPLICATION INSTRUCTIONS:

APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS.
Director General,
Tanzania Broadcasting Corporation,
P.O. Box 9191,
Dar es Salaam.


if you are qualified for this position
Please Follow the Application Instructions


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya "USIKU WA JAKAYA" leo jioni.




Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia.


















































































Huwa nakumbuka sana wakati tunasoma shule zetu za Kayumba na pengine hata za sekondari kwamba kulikuwa kuna kufaulu na kufeli, kuwa wa kwanza au kuwa wa mwisho yote haya yalikuwa ni matokeo tu.


 
 Darasani kwetu kulikuwa na wanafunzi waliokuwa wakisoma sana ili waweze kuwa wa kwanza lakini kuna waliokuwa wakifanikiwa katika hilo wengine hawakuwai kufanikiwa ila wote walikuwa wakifaulu.

Sasa tatizo ni wivu ulikuwa kwa hawa "magenius", wakati sisi tukihangaika kuparangana na makaratasi wao walikuwa nje wakivuna karanga na kucheza mpira wa makaratasi (Chandimu) ila shughuli yao utaiona  kwenye mtihani wa mwisho huwakosi nafasi kumi bora wakati mimi na wewe wasomaji hata hatujakaribia nafasi hizo japo tulijihesabia kuwa tumefaulu.


Huwa nikikumbuka na kuwaza hivyo ndipo ninapoona kuwa kila kitu kina "genius" wake na hata soka nalo lina genius wake na ndani yake kuna watu tofauti katika vitengo tofauti.

Watu kama Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Diego Costa na Luis Suarez ndiyo "magenius" wa magoli hivi sasa. Hawa jamaa wanalijua sana goli yani hata ukiwaamsha usingizini wakacheze mpira lazima watakufunga tu.


Na hivi Sasa katika ulimwengu wa soka magoli hayatimii bila pasi za akili na upendo na katika hili huwezi kupingana na mimi kama kuna "genius" wake na huyu si mwingine ni ANGEL DI MARIA japo najua wako "magenius" wengi ila hata magenius wana madarasa tofauti nami naamini kwa sasa Di maria ni genius wa daraja la juu.

Tusiende mbali sana lakini tujaribu kukumbuka utamu wa huyu jamaa na Mesuit Ozil wakati wako Real Madrid au utamu wa huyu jamaa na mchezaji bora wa dunia kwa sasa ndo utajua kwa nini Di maria ni mpiga pasi wa daraja la kwanza "genius".


Binafsi na huenda ikawa kweli kwamba ukiwa darasa moja na genius lazima utafaulu au utanukia kufaulu maana atakupa hasira ya kusoma japo huwezi kumfikia.

Pale Manchester United neema imewafikia,upendo na baraka uko kati yao sasa yani hata watu ambao walishasahau kufunga sasa neema imewatembelea na watafunga tu. Hivi ulilitazama vizuri goli alilofunga Juan mata,lile goli lingeweza kufungwa kwa staili nyingi tofauti za kiufundi lakini Mata alichagua ufundi ule kutupia nyavu.


Sasa kila akishika mpira Di maria mabeki huwa wanawaza pasi zake za upendo atapewa nani, maana kwa huyu jamaa kila mtu yuko katika nafasi ya kufunga,  sikatai Cristian Ronaldo ndo mchezaji bora wa sasa japo ana uwezo binafsi ila hatokaa asahau pasi za fundi huyu.

Kwa sasa ni zamu ya darasa la mashetani wekundu kusoma na kumtumia genius huyu naamini watafaulu tu na kuingia katika nafasi bora. 


Tabasamu la mwalimu wake Van gaal liliashiria mengi ikiwemo kufurahia kumuona mtu mwenye hasira za miguu lakini mpole wa sura na hata jina, sasa mashetani hao  wana kazi moja tu ya kustahimili maelewano ya timu yao na kuhakikisha di maria anapumzika tu uwanjani akifikiria kumpa pasi Radamel Falcao au Robin Van persie.

Katika fainali za kombe la dunia mjermani alistahili kombe lile japo katika mechi ya fainali hakucheza vizuri katika ubora wake, huwa nawaza kwamba di maria angekuwepo pengine tungekuwa na hadithi tofauti midomoni mwetu. 


Kwa pasi zake za upendo,jinsi anavyounyonga na kuukokota mpira kwa mbwembwe zake kwanini usimshukuru na kwanini usimhifadhi ili kumtumia na kesho, hapa naamini mwalimu Van gaal amepata mwanafunzi bora katika somo lake na sasa ni juhudi za shule na mwalimu huyo wa darasa kubembeleza na kutafuta wanafunzi wengine bora katika masomo mengine.

Asante mpiga pasi wa daraja la kwanza na "genius" Di maria.

Source by www.wapendasoka.blogspot.com

The Centre for Virtual Learning (CVL) will conduct data analysis training using
Nvivo 7 and SPSS software.

When and Where?

UDSM Kijitonyama Campus (Former TTCL Staff College), Dar es Salaam. The training
will take place from October 14th to 24th, 2014.

How much does it cost?

The fee for this training is 500,000/= Tshs only. This cost includes refreshment and
material

How to make Payment

The fees Paid by cash should be deposited to NBC Bank, Account Name: Centre for
Virtual Learning, Account Number: 040103002088 and by Cheque should be made payable
to the Director, Centre for Virtual Learning (CVL), and University of Dar es Salaam.
Come with deposit(s) slip.

 

To register online, go to Centre for Virtual Learning (CVL) website
http://cvl.udsm.ac.tz: You will see UPCOMING COURSES (SPSS 20 and Nvivo)

Ratiba ya Bunge Maalum la katiba kuanzia Septemba 16 hadi Oktoba 4, 2014
Mwenyekiti wa bunge Maalum la Katiba mh. Samuel Sitta amesema Oktoba 4 bunge maalum la Katiba litakamilisha rasmi kazi ya kutoa rasimu ya Pili ya Katiba itakayokabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar itakayopigiwa kura na wananchi katika Serikali ya awamu ya 5.
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba

Amesema kamati ya uandishi wa KATIBA itaendelea kuanzia leo Septemba 16 hadi jumatatu Septemba 22 ambapo rasimu ya pili ya katiba itawasilishwa bungeni ambapo Septemba 23, 24 na 25 wajumbe wa bunge Maalum la KATIBA watahakiki rasimu hiyo kuangalia Kama masuala yote yaliyopendekezwa na wabunge hao yameingizwa Kama walivyokubaliana.

Kamati ya uandishi itaendelea kufanya marekebisho ya rasimu ya KATIBA hiyo Septemba 26 na 27 na Septemba 28 wajumbe wote wanatakiwa kukutana katika kamati zao kujielimisha kuhusu rasimu ya pili ya KATIBA mpya.

Septemba 29 ni siku ya wajumbe hao kupiga kura kuipitisha rasimu ya KATIBA hiyo ambayo itakabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar tayari kwa hatua ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura katika serikali ya awamu ya Tano baada ya uchaguzi Mkuu 2015.

As you’re reading this post on facebook, you must be aware that to log into Facebook you need an email account. But have you ever wondered about the origins of email?

 
Email turned 32 yesterday. But how many of us know that, VA Shiva Ayyadurai an Indian-American scientist invented Email when he was just 14.

Ayyadurai was born to a Tamil Family in Bombay. At the age of seven, he left with his family to live in the US. In 1978, aged 14, he developed a full-scale emulation of the interoffice mail system which he called "E-mail". It replicated all the functions of the interoffice mail system: Inbox, Outbox, Folders, Memo,

Attachments, Address Book, etc. These features are now familiar parts of every email system.
Studying at Livingston High School in New Jersey, Ayyadurai began his work on the email system for the University of Medicine and Dentistry of New Jersey. He closely observed that the desktop of each secretary, in addition to the typewriter, had an Inbox, Outbox, Drafts, Carbon Copy Paper, Folders, Address Book, Paper Clips (for attachments), etc, which they used each day to create and process incoming and outgoing mail.

Then he conceived an electronic version of this system. He created a computer programme of over 50,000 lines of code, which electronically replicated all the features of the interoffice mail system.

On August 30, 1982, the US government officially recognized Ayyadurai as the inventor of email by awarding him the first US Copyright for Email for his 1978 invention.

Yet his name is nowhere in modern history of computer science. Whoever claims the invention, Ayyadurai will remain the father of E-mail. We hope he gets the name in history he deserves.

Source: CNN and Huffington Post

Na Happiness Katabazi

BAADHI ya vyombo vya habari leo vimemnukuu  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP- Ernest Mangu akisema jeshi lake limefanikiwa Kumtia nguvuni mtu mmoja  ambaye wanamhutumu alihusika moja kwa moja na tukio la uvamizi  Kituo cha Polisi kilichopo  Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Septemba 5 Mwaka huu ,usiku na kuua polisi wawili na kuiba silaha mbalimbali Mali za Jeshi Hilo.

Kwa mujibu wa IGP- Mangu, mtu huyo ambaye hakumtaja jina alikamatwa Septemba 6 Mwaka huu, usiku huko Mkoani Geita   akiwa na silaha mbalimbali yakiwamo mabomu ya machozi.

Mangu alisema baada ya kumkamata mtu Huyo ambaye hakutaka Kumtaja jina kwasababu bado wanaendelea na upelelezi, mtu Huyo aliwaonyesha mahali  zilipo bunduki sita aina ya SMG, pump action tatu na mabomu 11 ya machozi, kitendo ambacho kinaonyesha moja kwa moja  alihusika kwenye tukio la uvamizi wa Kituo hicho Polisi Bukombe na kuua Askari wale Polisi ambao hatakuwa na hatia.

“Jitihada za kumkamata mtu huyo zilifanywa na polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama,” alisema IGP-  Mangu

Jana Katika ukurasa wangu huu wa Facebook niliandika makala iliyokuwa na kichwa Cha Habari kisemacho ' POLISI MALIZANENI NA MAJAMBAZI WA AINA HII'.

Maudhuhi  ya makala hiyo  yalibeba ujumbe wa kulaani tukio la Mauji ya Polisi ndani ya Kituo Cha Polisi Bukombe baada ya watu wasiyojulikana kuvamia Kituo hicho wakiwa na silaha za kivita na kuua Askari Hao na Kisha kutokomeza na silaha mbalimbali.

Nikiwa muumini wa Amani  Narudia tena Kusema wazi Kuwa  nachukizwa na Uhalifu wa aina  yoyote.

Ndani ya makala ya Septemba 7 mwaka 2014 nilieleza wazi  kuwa binafsi  ninaliamini Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama pindi vinapoamua kuacha mzaa na kufanyia Kazi kikamilifu jambo Fulani.Vikiamua kulivalia njuga  jambo Fulani ulifanya kwa haraka na mwisho wa siku ufanikiwa kutimiza adhima Yao.

Na mfano mzuri ni tamko la  IGP- Mangu kwa vyombo vya habari Leo ambapo Amedai  Katika Hatua za awali za wapelelezi toka vyombo mbalimbali Vya Ulinzi na Usalama wa kishirikina na Jeshi lake, juzi usiku walifanikiwa kumtia nguvuni mtu mmoja ambaye wanamshuku moja kwa moja alihusika kutenda unyama ule ambao siyo tu umekatisha uhai wa askari polisi wawili wa siyo na hatia lakini tu  naweza Kusema tukio Hilo limelidhalilisha pia jeshi la Polisi.

Kwa sasa  ' watoto wa mjini' tunasema  haiwezekani kupigwa au kufanyiwa uhuni ' Viwanja Vya nyumbani'.

Sasa wahuni / majambazi ambao watoto wa mjini tumewapachika jina Kuwa ' hawana dini',  kwa jeuri wameweza kuwafanyia uhuni   Polisi Katika 'Viwanja vyao Vya nyumbani' yaani ndani ya Kituo Cha Polisi Bukombe. Inatisha sana.

Narudia tena tukio Hilo na matukio mengi ya Uhalifu yananikera, naamini huo ni mwanzo mzuri tena Katika muda mchache  tu tangu wahuni Hao wafanye mauaji hayo na vyombo Vya Ulinzi na Usalama vikafanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja ambaye aliwapa ushirikiano polisi akaenda kuwaonyesha silaha alikokuwa ameziifadhi.

Naamini mtuhumiwa Huyo  hakuwa  peke yake Katika tukio lile la kinyama kwasababu kwa mujibu wa   maelezo ya Jeshi la Polisi kuhusu tukio lile, yanadhiirisha wazi waliotenda tukio ile ni zaidi ya mtu mmoja.

Hivyo  navitia moyo vyombo vyote Vya Ulinzi na Usalama kuakikisha wanakamata bila kuonea mtu, mhalifu yoyote aliyeshiriki Kutenda tukio lile  kwasababu Uhalifu huu wa kuvamia Vituo Vya Polisi sasa umeanza kuonekana ni Fashion mpya ya majambazi kujipatia silaha.

Kwani tungali tukikumbuka tukio Kama Hilo lilitokea Juni 11 Mwaka huu, Katika Kituo Cha Polisi Mkamba Wilaya Ya Mkuranga  Mkoani Pwani, ambapo majambazi Hao walimua Askari Polisi mmoja Joseph Mbilinyi na kuondoka na silaha lakini hata HIvyo siku Chache baadae wahalifu Hao walikamatwa na kufikishwa mahakamani.

Na ninawasikitikia sana Nyie wahalifu mtakao kamatwa na kuhusishwa na tukio Hilo Kwani ni lazima mtashitakiwa na  Kesi zaidi ya Moja.Kesi ya kwanza itakuwa  ni Kuua kwa kukusudia Askari Hao kinyume na Kifungu ha 196 Cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya Mwaka 2002, Kesi ya Polisi kukutwa na silaha Mali ya Jeshi la Polisi na makosa mengine ambayo Mwanasheria wa Kanda atawandalia Kesi nzuri sana 'iliyosimama' na kuwafikisha mahakamani.

Mkae mkijua  kosa la kuua bila kukusudia  halina  dhamana na wapelelezi wa Kesi hizo Zenu ni  Jeshi la Polisi  ambao mlienda kuwavamia na kuwaua Polisi wenzao kinyama na kuiba  silaha  kituo chao cha polisi Bukombe na kuwaua askari wenzao na kuiba silaha zao.

Nawaonea huruma sana Nyie wahalifu wote mtakao kamatwa na kushitakiwa kwa tukio la kuvamia, kuiba silaha na kuua askari Kituo  cha Polisi Bukombe, kwasababu uenda hamkufahamu madhara mtakayopata baadae baada ya Kutenda tukio Hilo.Kwa taarifa yenu Polisi ni ' wahuni' sana kushinda Nyie.Nawasikitikia sana.

Hongera  sana vyombo vyote Vya Ulinzi na Usalama vilivyoshirikiana na Jeshi la Polisi  kumkamata Mtu huyo Septemba 6 mwaka huu na silaha hizo ikiwa  ni siku Moja tu tangu tukio Hilo la Uhalifu litokee Septemba 5 mwaka huu, na ninaomba mzidishe kasi Katika upelelezi wa kuwasaka wahalifu wengine bila ya kumuonea ili mwisho wa siku wakakutane na mkono wa Sheria.

Uhalifu haupaswi kufumbiwa macho na wala wahalifu hawapaswi kuchekewa.

Waswahili wanasema ' Ukicheka na Nyani utavuna mabua'. Sasa vyombo Vya Ulinzi na Usalama iwe ni mwiko sasa kucheka Cheka na wahalifu Kwani mwisho wa siku ndiyo Kama HIvi wahalifu hawa wamevuka mstari na kwenda kuvamia Vituo Vya Polisi.


Msichana mwenye umri wa miaka 22 mkaazi wa Mjini Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba amefanyiwa kitendo cha kinyama cha kubakwa na kisha kutelekezwa na dereva wa gari lilikokuwa limempa msaada na kupitishwa sehemu ambayo alikusudia kwenda .

Tukio hilo limetokea juzi majira ya saa kumi za jioni katika eneo la Weni Wete ambapo msichana huyo (jina linahifadhiwa) kubakwa na kutelekezwa kutokana na dereva wa gari hiyo kumkimbia baada kutekeleza kitendo hicho .

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohammed Shekhan amesema tayari jeshi hilo linamshikilia kijana Mohammed Kaithar Ali (45) Mkaazi wa Wete ambaye anatuhumiwa kuhusika na kitendo hicho .

Amesema kuwa mtuhumiwa huyo ametekeleza kitendo hicho baada ya kutakiwa kumpa msaada (lift) kwenye gari lake na alipofika maeneo ya Weni kijana huyo alifunga vioo vya gari lake na kisha kumtia machepe mdomoni ili sauti yake isitoke .

Kamanda Shekhan amefahamisha kwamba msichana aliyefanyiwa kitendo hicho amepata maumivu sehemu zake za siri pamoja na kupata michubuko shingoni ambayo imetokana na harakati za kutaka kujinasua ili asifanyiwe kitendo hicho .

‘Kwa kweli mtuhumiwa anadaiwa kutekeleza kitendo hicho tayari yupo mikononi mwa jeshi la Polisi ,na msichana aliyebakwa yuko chini ya uangalizi wa daktari licha ya kwamba alitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani .

Aidha Kamanda Shekhan amewataka wananchi kuwa makini na madereva ambao sio waaminifu na kujiepusha kuomba msaada kwa madareva wasiowafahamu ili kuepusha kutokea kwa matenda ambayo yanaweza kuepukika.

Akizungumzia operesheni ya kamata kamata inayofanywa na jeshi hilo kwa madareva , Kamanda Shekhan amefahamisha kwamba zaidi ya magari 50 yamakamatwa na baada ya kufanyiwa uchunguzi magari 23 yamabainika kuwa hayafai kutembea barabarani .

Amesema kuwa madareva wa magari hayo wamefikishwa mahakamani ambapo wametozwa faini ya kati ya shilingi elfu 80 na lakai tatu kutokana na makosa yaliyobainika kwenye magari yao .

Amesema kuwa operesheni hiyo itakuwa ni endelevu na ina lengo la kuhakikisha kwamba madereva , abiria pamoja na wamiliki wa magari hizo wanatii sharia za usalama wa barabarani bila ya kushurutishwa.

Na Masanja Mabula –Pemba

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.