ukaguzi wa kulipekua basi la Sai Baba ukianza



ukaguzi ukiendelea

Madumu yanayosadikika yakiwa yamebeba pombe haramu

Baada ya ukaguzi abiria wakiruhusiwa kuendeleana safari na kondakta kubaki na Polisi
Katika hali ya kumtafuta mmiliki wa mizigo haramu iliyokuwa inasafirishwa kupitia basi la Sai Baba lilikuwa linafanya safari zake za kila siku toka Arusha kuja Dar es Salaam, Polisi wa mkoani Tanga ilibidi kumshikilia Kondakta wa basi hilo ili kumpata mmiliki wa Bangi, Pombe haramu ijulikanayo kama Gongo na mirungi.

Katika msako huo uliosababisha foleni kubwa ya mabasi yalikuwa yanafanya safari zake hizo jana  kati ya Arusha na Dar es Salaam katika , polisi walibaini mizigo hiyo ila mmiliki wa aliyekuwa anaisafirisha alishindwa kujitokeza mara alipohitajika kujitokeza na ndipo Polisi  ikabidi kumshikilia kondakta wa basi hilo kama inavyoonekana pichani na kulingana na mtoa habari hizi.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.