Jack Wilshere hatimaye amerejea uwanjani rasmi  baada ya kuwa nje kwa kipindi cha miezi kumi na mitano (15), Wilshere mwenye umri wa miaka 20 alirejea jana katika mchezo uliojumisha wachezaji  wa chini ya miaka 21 na kusaidia kutoa pasi mbili zilizozaa mabao katika ushindi wa  4-1 dhidi ya Reading.

ON THE BALL ... Jack Wilshere bosses things in just second outing in 14 months
Wilshere akimiliki mpira
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.