Ujenzi wa babarara unaendelea jijini Dar es Salaam unategemewa kubadilisho muonekano wa jiji hilo mara utakapomalizika. Kulingana na ujenzi huu unaombatana na baraba za mwendo kasi na barabara nyingine ndogongogo tunatemea muonekano wa jiji kufafana na majiji mwengine duniana kama si Africa na mashariki.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za mafundi wakiwa mzigoni katika barabara mbalimbali zinazoendelea na ujenzi.

Namna ya jinsi Jiji la Dar es Salaam litakavyoonekana kwenye muonekano mpya mara baada ya ujenzi wa magari ya mwenod kasi kumalizika




















Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.