Barcelona 2 Real Madrid 2
 |
| Mahasimu wawili katika soka ya Uhispania kabla ya mtanange wa jana, photo by thesun.co.uk |
 |
| "Special One, Jose Mourinho akikaribishwa na mwenyeji wake Tito Vilanova, photo by thesun.co.uk |
 |
| Ronaldo akimtangulia Messi katika kufunga |
 |
| Alichofanya Ronaldo kilifanywa pia na Messi hapa akiisawazishia Barcelona, photo by thesun.co.uk |
 |
| Lionel Messi akishangilia kwa furaha, photo by thesun.co.uk |
 |
| Nahodha na kipa wa Madrid akiwa chini hoi baada ya kutunguliwa goli na Messi, photo by thesun.co.uk |
 |
| Messi akishangilia goli la pili, photo by thesun.co.uk |
 |
| Vijana tulieni mimi ndiye Ronaldo unaweza kusema ndivyo asemavyo hivyo Ronaldo kusawazisha goli la pili na kufanya mchezo kuisha kwa sare ya bao 2-2, photo by thesun.co.uk |
Newcastle 0 Man Utd 3
 |
| CABAYE akimlalamikia Refarii juu ya kiwiko alichopigwa na Robin Van Persie, photo by thesun.co.uk |
 |
| Jonny Evans akishangilia goli lak kuongoza, photo by thesun.co.uk |
 |
| Jonny Evans akiruka juu kuwazidi akili mabeki wa Newcastle United na kuifanya Mancehster United kuongoza kwa goli moja, photo by thesun.co.uk |
 |
| Patrcie Evra akiiandikia Manchester United goli la Pili kwa kichwa, photo by thesun.co.uk |
 |
| Goli lililozia mtafaruku kwa Newcatle kudai kichwa cha Papiss Cisse lilivuka mstari wa goli na lilipaswa kuwa goli, picha kwa hiasni ya thesun.co.uk |
 |
| Tom Cleverley akishangilia goli lake na la tatu kwa Manchester United dhidi ya Newcatle katika ushindi wa 3-0, ni goli lililowacha wengi mdomo wazi akiwemo Sir Alex Ferguson mwenyewe aliyedhani ni krosi na wengine wakizania ni mkwaju.Photo by thesun.co.uk |
Liverpool 0 Stoke 0
 |
| Nohodha Steven Gerrad akiwa amechukizwa na maamuzi ya Refa Lee Mason, photo by thesun.co.uk |
 |
| kazi katika viungo Steven N' Zonzi akipambana na Nuri Sahin, ambapo mchezo uliishiwa kwa droo ya 0-0, photo by thesun.co.uk |
Southampton 2 Fulham 2
 |
| Shujaa wa mabao ya Fonte akishangilia, photo by thesun.co.uk |
 |
Jose Fonte akiifungia Southampton bao kwa njia ya kichwa, Photo by thesun.co.uk
|
 |
| Rickie Lambert akshindwa kuamini mara baada ya mkwaji wake kukataliwa na kipa wa Fulham Mark Schwarzer, picha kwa hisani ya thesun.co.uk |
 |
| John Arne Riise akishangilia mara baada ya mkwaju wake kusindikizwa wavuni kwa msaada wa by Jos Hooiveld, picha kwa hisani ya thesun.co.uk |
Tottenham 2 Aston Villa 0
 |
| Aaron Lennon akishangilia goli lake, Picha kwa hisani ya thesun.co.uk |
 |
| Kipa mpya wa SPurs, Hugo Lloris akiokoa moja ya michomo liyoelekezwa langoni mwake. Photo by thesun.co.uk |
 |
| Spurs wakishangilia ushindi wa 2-0, Picha kwa hisani ya thesun.co.uk |
 |
| Aaron Lennon Akiifungia Spurs goli la pili nala ushindi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Aston Villa |
Chelsea 4 Norwich 1
Eden Hazard akiifungia Cheslea goli la tatu na kufanya matoke yasomeke 3-1 dhidi ya Norwich City
 |
| Torres akiifungia Cheslea goli, photo by thesun.co.uk |
 |
| Grant Holtakiwa amezungwa na wachezaji wenzake mara baada ya kuipatia goli la kufutia machozi, photo by thesun.co.uk |
Manchester City 3 Sunderland 0
Aleksandar Kolarov akiifungulia Manchester Cuity akaunti ya mabao, picha kwa msaada wa thesun.co.uk
Aleksandar Kolarov akikunjua kwa mkwaju wa adhabu, Free-kiki na kufunga goli la kuongoza, Photo by thesun.co.uk
 |
| Aleksandar Kolarov akishangilia goli pamoja Mario Balotelli, picha na thesun.co.uk |
 |
| Sergio Aguero akiipatia City goli la pili |
Source by thesun.co.uk
Post a Comment