Mchezaji mpya wa Arsenal , Carzola amewaomba wapenzi wa Arsenal wasimfananishe na kumwona kama mbadala sahihi wa Cesc Fabregas. Mchezaji huyo mwenye kipaji alisema nawaombeni sana msinifanishe na Cesc Fabreags kwa sababu mimi ni Santi Carzola and na sio Cesc Fabregas.

Alizidi kutabanaisha ya kuwa mimi na tabia zangu za uchezaji na yeye ana zake na tangu nitue hapa nimegundua ya kwamba pamoja na kuondoka kwa Cesc Fabreagas katika timu bado ameendelea kubaki alama ndani ya klabu.

Santi Cazorla
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.