Arsenal 3 Olympiakos 1

Magoli ya Arsenal katika mchezo huo yalifungwa na Aaron Ramsey dakika  90' +4,
Lukas Podolski 56' na Gervinho 42
Lukas Podolski
Lukas Podolski akishangilia goli lake






TACKLE ... Giannis Maniatis and Kieran Gibbs


DEADLOCK BROKEN ... Gervinho scores




IVORY TOAST ... Gervinho celebrates his goal
Nyota wa mchezo wa jana Gevinho




GET HIM TO THE GREEK ... Kostas Mitroglou celebrates
 Kostas Mitroglou akishangilia na wenzake picha kwa msaada wa thesun.co.uk



Manchester City 1 Dortmund 1

Mario Balotelli jana usiku alifanikiwa kuiondoloa Manchester City kipigo mjini Dortmungd kwa kuipatia goli la kuzawazisha katika dakika za mwisho kwa njia ya mkwaju wa penati, katika mchezo huo kipa namba moja wa uingereza Joe ndiye aliyekuwa shujaa baada ya kuokoa michomo kibao katika droo ya 1-1 dhidi ya Borussia Dortmund.
SPOT ON ... Mario Balotelli levels for Manchester City
Mario Balottelli akiipatia Manchester City goli la kusawazisha kwa njia ya tuta




Manchester City Joe Hart makes one of many saves against Borussia Dortmund
Joe Hart  akiokoa moja ya mashambulizi yalioelekezwa langoni mwake.


BANG ... Marco Reus shocks City with the opener
Marco Reus akiifungia Borussia bao la kuongoza




ON THE MOVE ... Robert Lewandowski gets past Vincent Kompany
Moja ya hekaheka katika mchezo wa jana





GET IN ... Marco Reus celebrates with Robert Lewandowski
Marco Reus akishangilia pamoja na Robert Lewandowski



ITALIAN JOB DONE ... Mario Balotelli celebrates his equaliser
Nshamaliza kazi ni kama anasema hivyo Mario Balotteli mara baada ya kuipatia Manchester City bao la kusawazisha



Ronaldo afunga hat-trick Klabu binga ya Ulaya katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Ajax.


Wakati Cristiano akipiga hat-trich , mchezaji mwingine nyota wa dunia Kaka naye pia alikuwa na usiku mzuri mjini Amsterdam jana usiku kwa kucheza mchezo mzuri.

Hii ndio madrid tunayoijua na tuliyoipenda msimu uliopita , timu iliyopelekea kuchuka ubingwa wa Uhispania chini ya Cristiano na wachezaji waliotokea bench kama vile Mesut Ozil, Angel di Maria na Sami Khedira.
Real Madrid player Karim Benzema scores with a bicycle kick against Ajax
Hapa LKarim Benzema akifunga moja ya goli alilotengenewa na Kaka






























































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.