Mtoto wa mfalme, Prince Harry ameonekana akiwa ameambata na mpenzi wake mrembo Meghan Markle kwa mara ya kwanza mtaa ulio na harakati nyingi sana za kibiashara duniani wa Shaftesbury Avenue wakiwa wanaelekea kwenda kwenye maonyesho ya West End show Peter Pan Goes Wrong.
 Prince Harry and Meghan Markle are pictured together for the first time in London
Kwa taarfia zilizoko ni kwamba Prince Harry amekuwa kwenye mahusiano na nyota huyu wa mchezo wa Suits kwa takribani mienzi mitano ila ilikuwa ni siri sana hadi hapo jana waliponekana hadharani wakiwa pamoja .
Meghan has been staying with Harry at his two-bedroom Nottingham Cottage
Muigizaji, Meghan Markel

Inavyodaiwa ni kwa mrembo huyo Meghani mwenye makazi yake Canada alisafiri alfariji ya Jumatatu kuja nchini Uingereza kuungana na mpenzi wake katika maandalizi ya sikukuu ya krismasi.

Habari hii imetafririwa kutoka gazeti la the sun  https://www.thesun.co.uk
Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.