Articles by "Premier League"

Showing posts with label Premier League. Show all posts

Usain BoltBingwa wa Olympic, Usain Bolt huenda akatimiza ndoto zake za kuichezea timu ya Manchester United  , habari za kutoka timu hiyo zimeeleza ya kwamba Usain Bolt anaweza akajumuishwa katika mechi ya hisani dhid ya Real Madrid.

Bolt mwenye umri wa miaka 25  alikuwa mgeni rasmi katika mechi ya nyumbani ya ufunguzi ya Mashetani hao wekundu  mwishoni mwa mwezi uliopita ni inaelezwa ya kwamba ni  mshabiki mkubwa wa Manchester United na mechi hiyo inaweza ikawa kigezo kikubwa kwake ya kuunyesha uhodari wake katika njanja ya kusakata kabumbu  tofauti na ilivyozoeleka ya kukimbiza upepo na pia kumshawishi Sir Alex kuweza kumsajili katika timu yake.

Imefahamika ya kuwa Bingwa huyo mwenye mapenzi luluki na Mashetani hao wekundu anaweza pia kumshawishi Sir Alex Ferguson kama taweza kumshwishi mzee huyo wa Kiscotch katika mechi na kutimiza taminio lake la kuwa mcheza ji kamili wa Machester united.

Mwenyewe amekiri, " ni furaha iliyoje na kuweza kupangwa na kucheza mechi hiyo" mwisho wa kunukuu. Itakuwa vizuri sana kucheza na Real MAdrid hapo mwakani na pia kuunyesha umma uwezo wake wa kucheza mpira wa miguu. 

Chanzo the Sun


ALEX FERGUSON is trying to hijack Liverpool’s attempt to sign Mexican star Hector Herrera.


Hector Herrera The Manchester United boss is ready to match a Liverpool offer of £10million for the Pachuca midfielder, nicknamed Zorro.
He was the inspiration behind Mexico’s gold-medal triumph at the Olympics earlier this month when they shocked Brazil in the final.
Andres Fassi, Pachuca’s sporting director, said: “There is official interest. We have a document.
“We know he’s going to emigrate to England. Manchester United and Liverpool have talked to us.
“We want him to continue with Pachuca. But when he decides to leave, the club will give him the opportunity to do so.”
Herrera, 22, is sidelined with an ankle injury picked up at London 2012

source by Thesun

Watu wasiopungua 48 wameuawa huko Tana River Kenya na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mapigano ya kikabila.
Taarifa zaidi zinasema, mapigano hayo yaliyotokea kusini mashariki mwa Kenya yamezihusisha jamii za Pomoko na Orma. Polisi ya eneo yalipotokea mapigano imetangaza kuwa, mapigano hayo yalianza baada ya wanachama wa jamii ya Pomoko kuwashambulia wenzao wa jamii ya Orma. Kamishna Msaidizi wa Polisi Angelus Karuru ambaye anaongoza kikosi cha usalama katika eneo yalipozuka mapigano amesema kwamba,  juhudi za kiusalama zinafanyika ili kumaliza mapigano hayo. Taarifa zaidi zinasema, ngombe wasiopungua 60 pia wameteketezwa katika mapigano hayo. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya limetangaza kuwa, watu waliouawa katika mapigano hayo ni kati ya 30 na 50. Aidha watu 30 kati ya waliouawa ni wanawake na watoto wadogo. Baadhi ya watu wametoweka na hawajulikani waliko.
Source: kwetubongo

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.