Articles by "sports"

Showing posts with label sports. Show all posts


Watu wengi wanaweza wasinielewe endapo jina la Mchezaji na  nahodha wa zamani wa klabu ya Manchester United kama halitakuwa la kwanza katika orodha hii.

1.Roy Kean- Republic of Ireland
Roy Keane, Alf Inge Haaland
The Irish midfielder even went to the extent of ending Alf Inge Haaland's career as a result of an ongoing altercation.

2. Pepe- Ureno

FBL-WC-2014-MATCH13-GER-POR
Pepe has a notorious name for himself in La Liga, having spent the last seven years kicking ankles whilst defending the Real Madrid goal.


3. Mario Balotelli- Italia


Arsenal v Manchester City - Premier League
Mario Balotelli is simply failing to mature. The Italian striker continues to act like a petulant child when things don't go his way and that has seen him get into a lot of trouble both on and off the pitch.


4.Zinedine Zidane
FBL-WC2006-FRA-ITA-ZIDANE-MATERAZZI
Zinedine Zidane's headbutt to Marco Materazzi, which earned the Frenchman a red card in the 2006 World Cup final



5. Joey Barton- England

Newcastle United's English midfielder Jo
The notorious midfielder has played for four different Premier League clubs, as well as short stints in France and Scotland with Marseille and Rangers respectively, and he has managed to raise a storm at each and every team he's featured at.

6. Zlatan Ibrahimovic

FBL-EUR-C1-PSG-CHELSEA
Zlatan is not one to be messed with, just ask Rafael van der Vaart, Mido, Antonio Cassano, Oguchi Onyewu, Pep Guardiola, Salvatore Aronica, Rodney Strasser, Stephane Ruffier, Andres Guardado and Christian Wilhelmsson.

7. El Hadji Diouf

Blackburn Rovers v Tottenham Hotspur - Premier League
Another one with an entire category on his Wikipedia page dedicated to "controversies", the former Senegalese international seemed to have an obsession with spitting after being caught doing so against opposing players and opposing fans!!


8. Patrick Vieria


Arsenal v Newcastle United
Arsenal fans still miss Patrick Vieira. The former captain at Highbury was a ruthless midfielder and often dominated games due to his sheer physique, yet, he was also known for having a terribly short fuse which led to the Frenchman often having to explain his actions to the FA.



9.Gennaro Gattuso


CORRECTING BYLINE + ADDING INFOSAC Mila
Which club captain would dare to grab former hard man Joe Jordan by the throat? Gennaro Gattuso, that's who. The former AC Milan stalwart took on Spurs' assistant manager at the time after the Rossoneri were defeated 1-0 at home in the Champions League.


































































Inawezekana Manchester United ikatangazwa mabingwa leo usiku endapo itaifunga timu ya Aston Villa katika uwanja wake wa Old Trafford hii ni baada uya mahasimu wake wakubwa timu ya Manchester City kukubali kipigo cha mabao 3-1 toka kwa Tottenham Hospursd jana jumapili.

Endapo Manchester United itashinda katika pambano lake la leo usiku katika majira ya nn usiku 4;00pm dhidi ya Ston Villa timu ya manchester itafikisha jumla ya pointi themanini na nne (84) ikiwa ni mbele ya pint 16 dhidi ya Man City ambayo hata kama mechi zake zote zilizosalia itafanikiwa kufikisha jumla ya point 83 ambazo zitakuwa zimeshapitwa na Man united. Kwa sasa Man City wana jumla ya point 68 mara baada ya mchezo wao wa jana.

Wakati huo huo meneja wa Mashetani hao wekundu, Sir Alex Ferguson ametabanaisha ya kwamba kikosi hiki cha sasa ni bora zaidi kati alivyojaliwa kuwa navyo itakumbukwa mwaka 1999 walivyofanikiwa kushinda mataji matatu (Trebble) walifanikiwa kukusanya point 79 kushinda ligi, na mwaka 1997 walishinda kwa point 75 na pia point 91 na kama wakishinda michezo iliyobakia watakuwa na jumla ya pointi 96 ndio maana anachukulia kama kikosi bora kabisa.  


Liverpool 2 Chelsea 2

 Luis Suarez equalises in the dying seconds



Tottenham 3 Manchester City 1

 Gareth Bale bags Tottenham's third goal


Fulham 0 Arsenal 1


Per Mertesacker celebrates


Queen Park Rangers 0 Stoke City 2

 Peter Crouch celebrates



Sunderland 1 Everton 0

 Paolo Di Canio celebrates as a dejected David Moyes turns away after Stephane Sessegnon's goal















































 

Kombe la UEFA Championship msimu huu huenda likaelekea Nchini Ujerumani au Uhispania mara baada ya Nchi hizo kufanikiwa kuingiza timu mbili katika michezo ya Nusu Fainali ya michuano inayokaribia ukingoni na kama timu hizo na itajulikana zaidi mara ya droo ya michezo ya nusu fainali kuchezeshwa kesho.

Matokeo ya jana usiku yamehitimisha mbio za timu kumi na sita na kutoa timu nne za Borrusia Dortmund na Bayern Munich kutoka ujerumani na Real Madrid na Fc Barcelona kutoka Uhispania kutinga nusu fainali.


Barcelona 1 Paris Saint-Germain 1 

 HAMMER BLOW ... Pedro smashes in the decider

 Magoli ya mchezo huo yalifungwa na Javier Pastore kwa upande wa PSG na Pedro Rodriguez kwa upande wa Barcelona.

Juventus 0 Bayern Munich 2

 SUPER MARIO ... Mandzukic celebrates his 64th-minute opener for Bayern Munich

 Super Mario Mandzukic akishangilia mara baada ya kuipatia Bayern munich goli la kuongoza.

 BATTLE ... Pogba is kept under close watch by Bayern ace Alaba

 magoli ya Bayern Munich katika mchezo wa jana yalifungwa na Mario Mandzukic na Claudio Pizarro.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Jana usiku Beckham aliuhiurishia umma ya kuwa yeye ni zaidi ya mchezaji mwenzake wa Kiingereza anayeichezea Olympic Marseille kwa kuisaidia timu yake mpya kutoka kifua mbele kwa mabao 2-0.

Beckkham aliyesajiliwa katika dirisha dogo la usajili la mwezi Januari aliingia katika dakika ya 76 uwanjani ikiwa ndio mechi yake ya kwanza tangia asajiliwe na matajiri hao wa Ufaransa itakumbukwa Bechkam kuanzia mwezi Desemba alikuwa hana timu mara baada ya mkataba wake na LA Galaxy ya marekani kufikia kikomo.

Alikuwa ni Beckkham  ambaye kila akigusa mpira mashabiki wakiwa wanamshabikia kila mara aliyetoa pasi kwa mchezaji Jermy Menez ambaye mara baaday kupokea pasi ya Beckham akapiga krosi iliyomfikia Zlatan Ibrahimovic ambaye bila ajizi akaukwamisha mpira kimian na kumwacha Joe Barton akishangaa pasipo kuamini kilichokuwa kinatokea.


David Beckham
David Beckham akishangilia na mchezaji mwenzake Ibrahimovi mara baaday ya kufunga goli la pili.

ZING TIME IN PARIS ... Becks and Barton exchange digs

Joe Barton na David ?Beckham wakibadilishana maneno katika mchezo wa jana.

JOE NO ... Barton is left reeling as Becks hails Ibrahimovic

Mchezaji mtukutu Muingereza, Joe Barton anayeichezea Marseille akiwa haamini kilichokuwa kikiendelea mara baada ya timu kukubali kufungwa goli la pili







































































Timu ya Barcelona ya Uhispania jana usiku iliangukia pua  mara baada ya kukubali kipigo cha mabo mawili kwa bila toka kwa timu ya Ac Milan toka Italia.
Kevin-Prince Boateng and Sulley Muntari
Wauaji wa Barcelona, Kevin-Prince Boateng na Sulley Muntari wakishangilia, picha na EUFA.com

Walikuwa ni wachezaji wawili wa timu iliyoshuka mpaka daraja la kwanza ya nchini Uingereza, Portsmounth na wazaliwa wa Ghana , Kevi- Prince Boateng na mwenzake Sulley Muntari wailopeleka kilio kwa magwiji hao wa soka wanaowania kutwa taji hilo kwa mara ta tatu katika kipindi cha ndani ya miaka mitano.

Ilimchukua dakika 57 kwa mzaliwa huyo wa Ghana mwenye Uraia wa Ujerumani kuipatia goli lenye utata timu yake ya Ac Milan na kufanya ubao usomeke 1-0.
Sulley Muntari
Sulley Muntari akijikunjuatayari kuleta madhara langoni mwa Barcelon, Picha na Reuters




Katika ukurasa huu tunawaletea picha za matokea ya michezo mbalimbali iliyochezwa mwishoni mwa Juma.

Manchester United mwishoni mwa juma ilijipatia ushindi wa mabo 2-0 na kutanua wigo wake na timu nyingine has mahasimu wake Manchester City kwa pointi kumi na mbili mara baada ya City kupoteza mchezo wake siku ya Jumamosi.

Barcelona ya Uhispania pia jana iliwatandika Getafe kwa mabao sita kwa moja na kuendelea kuongoza kwa tofauti ya pointi  kumi na sita  dhidi ya mahasimu wao wa jijini Madrid ya Athletico Madrid kwa pointi kumi nambili ikiwa imejikusanyia point 62 dhidi ya 52 za Athletico Madrid na 46 za Real Madrid. 

Katika ligi kuu ya Ujerumani al maarufu kama Bundelsiga ilishuhudia timu ya Bayern Munich ikizidi kupaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo mara baada ya timu ya Borussia Dortumnd kukubali kipigo cha mabao 4-1 katika uwanja wake wa nyumbani wa Siganl Iduna Park toka kwa timu ya Hamburg SV. Na huku Bayern Munich ikiichambua Schalke 04 kwa mabao 4-0 na kufanya iendelee kuongoza kwa jumla ya tofauti ya pointi 15.

Bayern Munich hadi hivi sasa imefanikiwa kujikusanyia jumla ya pointi 54 dhidi ya 39 za Borussia Dortmund.

Na  






Ryan Giggs akishangilia pamoja na Robin Van Persie mara baada ya kuandikia Manchester United bao la kuongoza na kwa kufanya hivyo anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli kila msimu wa Ligi kuu ya Uingereza kwa misimu takriban ishirini na saba 27.




Robin van Persie rounds Tim Howard
Robin Van Persie akiipatia Manchester United goli la pili na la ushindi katika mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa Old Trafford.


Manchester United Ryan Giggs group celeb v Everton




POWER SERG ... Ramos with Real pal Ronaldo

Mchezaji SErgio Ramos wakishangilia kwa pamoja na Christiano Ronaldo katika ushindi wao wa mabao 4-1 dhidi yaSevilla FC


Alexis Sanchez celebrates giving Barcelona the early lead against Getafe

Mchezaji wa Barcelona Alexis Sanchez akiruka kwa furaha katika kushangilia goli lake likiwa ni la kwanza kwa msimu huu katika ushindi wao 6-1 dhidi ya timu ya Getafe katika ligi kuu ya Uhispania, La Liga.

OWN GOAL WOE ... Gareth Barry reacts after scoring Southampton's third
Wachezaji wa Manchester City wakiongozwa na Joe Hart wakitoka vichwa chini mara baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Southampton kwa jumla ya mabao 3-1

SUCKER PUNCHEON ... Southampton break the deadlock
Gareth Barry akijifunga na kuisaidi Southampton kujipatia goli la  tatu.



DOUBLE TROUBLE ... Steven Davis pokes home a second for Saints
Kipa Joe Hart wa MAnchester City akifungwa goli la pili na Steven Davis

FRANKS A BUNCH ... Lampard celebrates with Eden Hazard and Juan Mata
Wachezaji wa timu yaChelsea wakishangilia kwa pamoja ushindi wa mabo 4-1 dhidi ya Wigan


RAM RAID ... Brazilian Ramires fires Chelsea in front

Mchezaji Ramirez akiipatia timu yake goli la kuongoza katika ushidni wa mabao 4-1 dhidi ya Wigan Athletic.

David Alaba celebrates after putting Bayern in front against Schalke
David Alaba wa Bayern Munich akishangilia mara baada ya kuifungia Bayern Munich.


Cameron Jerome

Mchezaji toka Cameroon, Jerome akiifungia Stoke City goli la pili katika ushindi wo wa 2-1 dhidi ya REading








































































Timu ya Nigeria al maarufu kama Super Eagles jana walitangazwa kama mabingwa wapya wa Africa katika mashindano yaliyojulinana kama Orange AFRICON 2013 katika uwanja wa  jijini  Johannesburg , Africa kusini mara baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Burkina Faso kwa bao moja kwa bila (1-0).

Iliwachukua mabingwa hao wa dakika 40 katika kujiandikia historia mpya mara baada ya kujaribu kwa takribani miaka 20 ili kuweza kuwa mabingwa wapya licha ya taifa hilo la Africa magharibi kubarikiwa kutoa moja ya vipaji bora kabisa katika ulimwengu wa kandanda. Alikuwa ni mchezaji Sunday Mba aliwezeza kufunga bao hilo katika moja ya mpira uliopigwa na mshambuliaji Victor Mosses kuwababatiza moja ya mabeki wa Burkina Faso na kumkuta katoka  nafasi ambayo aliweza kuuutuliza na kupiga moja kwa moja na kuiandikia Nigeria bao hilo lililuudumu mpaka mwisho wa  mchezo.

Kwa ushindi huo unamfanya Stephen Keshi kuwa kocha wa pili katika historia ya mashindano hayo kuchukua ubingwa akiwa kama mchezaji mnamo mwaka 1994 na mwaka 2013 kama kocha mara baada ya Mohamoud Al Gohary kufanya hivyo mwaka 1958.



Chelsea's John Obi Mikel and Victor Moses led Nigeria's celebrations
 Mchezaji wa Nigeria na Chelsea ya Uingereza, Vitor Mosses akiwa na wenzake katika kushangilia ushindi






Victoria akinyanyua kombe la ushindi juu kwa furaha na kutabanaisha ya kuwa anafurahia kuwa Mnigeria.













































Jamie Caragger beki mahiri wa Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza alizaliwa tarehe 28 January mnamo mwaka 1978 na amedumu ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa miaka 17 akiwa kama mmoja wa wachezaji wakongwe na waliodumu na timu hiyo kwa muda mrefu kuliko wote waliokwisha wahi kuichezea timu hiyo yenye ushindani mkubwa na timu ya Manchester United.

Majuzi mchezaji huyo alitangaza ya kuwa mwishoni mwa msimu huu ndio utakuwa mwisho wake wa kukichezea kikosi hicho, Caragger ambaye pia ametumikia pia nafasi ya nahodha msaidizi tangia mwaka 2003.

Zaidi ya Jamie Caragger wafutayo pia ni baadhi ya wachezaji waliowahi au bado wanazitumikia klabu zao zaidi ya miaaka mitano.

10. Darren Fletcher

Manchester United, 2002-present ( Miaka 11 na ...)

GREAT SCOT ... Darren Fletcher made his Manchester United debut in 2002
 Darren Fletcher alianza kuichezea s Manchester United kuanzia mwaka 2002

9. Gary Kelly

Leeds United, 1991-2007 (Miaka 16)

HARD LUCK OF THE IRISH ... Kelly went from Champions League football to Championship
Kelly

8. Ledley King

Tottenham, 1998-2012 (Miaka 14)

THE KING ... Tottenham ace Ledley in action before injury forced his retirement
 Ledley King akiwa kazini kabla ya majeruhi kufupisha safari ya ya uchezaji

7. Jamie Carragher

Liverpool, 1996-present (Miaka 17)
.
I WON'T CARRA ON ... Jamie Carragher announced his retirement yesterday
 Jamie Carragher ametangaza kujiuzulu mwishoni mwa msimu huu

6. Gary Neville

Manchester United, 1992-2011 (Miaka 19)
.
LIONHEART ... Neville is now a coach in the England set-up after 85 caps as a player
LIONHEART ... Neville is now a coach in the England set-up after 85 caps as a player

5. Tony Adams

Arsenal, 1983-2002 ( Miaka 19)

MR ARSENAL .. Tony Adams with Lee Dixon after Arsenal won the Premier League title
Tony Adams akiwa na  Lee Dixon mara baada ya The  Gunners kushinda kombe la ligi kuu

4. Paul Scholes

Manchester United, 1994-present ( Miaka 19)

IN FOR THE LONG PAUL ... United legend Scholes against former team-mate Carlos Tevez
Paul Scholes

3. Steven Gerrard

Liverpool, 1998-present ( Miaka 19 na..)

CAPTAIN FANTASTIC ... Liverpool hero Steven Gerrard celebrates yet another stunning strike

2. Matt Le Tissier

Southampton, 1986-2002 (Miaka  18)

SAINT NOT A SINNER ... Matt Le Tissier is a Southampton legend but only got eight England caps
 Matt Le Tissier

1. Ryan Giggs

Manchester United, 1990-present (Miaka 23 na..)

GOLDEN OLDIE ... Ryan Giggs, here with Wayne Rooney, is still going strong at United Ryan Giggs akiwa na  Wayne Rooney,  amechezea Manchester United miaka 23 na bado anaendelea































































































































































Ilimchukua dakika 25 tuu kwa mchezaji mpya wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italia aliyehamia hivi karibuni tokea klabu bingwa ya Uingereza, Manchester City Mario Balotelli kuaindikia timu yake mpya hiyo bao la kwanza na kuongeza lingine la pili kwa njia ya mkwaju wa penati katika dakika za lala salama (94) na kuipa ushindi timu yake hiyo mpya ushindi wa mabao  2-1 dhidi ya Udinese katika ligi kuu ya Italia almaaarufu kama Serie A.

Mario akuacha vituko alisema goli moja ni kwa ajili ya familia yake na goli ni kwa ajili ya wakala wake na liwalenge wale wote waliosema ya kuwa ya kuwa mimi si mchezaji wa Milan


 Balotelli in Milan-Udinese (Getty Images)




 WHY ALWAYS ME-LAN ... Balotelli celebrates after scoring twice on his Milan debut

 Mariao Balotelli akishangilia moja ya mabao yake na mchezaji mwezake





























































Polisi wa mjini Milani walililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki waliokuwa wanasherekea kwa pamoja na Mchezaji mpya aliyejiunga na timu ya Ac Milan, Mario Balotelli.

Fujo hizo zilianzia kwenye mgahawa wa alipokuwa anakula Mario pamoja na viongozi wa klabu hiyo na mashabikki walikuwa wamezunguka nje na mara tuu ya kutoka nje Mario akiwa ameambatana na mwenyekiti wa Ac Milan,  Adriano Galliani walipotoka nje na kujiunga nao na kuanza kuimba wimbo ujulikanao kama"“He who doesn’t jump is nerazzurro," ukiwa kama kebehi kwa majiani zao wa Inter Milani.

Itakumbukwa watani wakuu wa Ac Milan ni Inter Milan na wana utani mkubwa kama ulivyo wa klabu kongwe za hapa nchini za Yanga na Simba.


Mario Balotelli with fans
Mchezaji mwenye vituko nMario Balotelli akiwa pamoja na mashabiki wa timu yake mpya ya Ac Milan.
















































Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.