Polisi wa mjini Milani walililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki waliokuwa wanasherekea kwa pamoja na Mchezaji mpya aliyejiunga na timu ya Ac Milan, Mario Balotelli.

Fujo hizo zilianzia kwenye mgahawa wa alipokuwa anakula Mario pamoja na viongozi wa klabu hiyo na mashabikki walikuwa wamezunguka nje na mara tuu ya kutoka nje Mario akiwa ameambatana na mwenyekiti wa Ac Milan,  Adriano Galliani walipotoka nje na kujiunga nao na kuanza kuimba wimbo ujulikanao kama"“He who doesn’t jump is nerazzurro," ukiwa kama kebehi kwa majiani zao wa Inter Milani.

Itakumbukwa watani wakuu wa Ac Milan ni Inter Milan na wana utani mkubwa kama ulivyo wa klabu kongwe za hapa nchini za Yanga na Simba.


Mario Balotelli with fans
Mchezaji mwenye vituko nMario Balotelli akiwa pamoja na mashabiki wa timu yake mpya ya Ac Milan.
















































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.