Articles by "Sport"

Showing posts with label Sport. Show all posts

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 kamili za jioni.
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika  kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).
Viingilio vya mchezo huo,  VIP A sh. 40,000, VIP B sh. 30,000, VIP C sh. 20,000, Rangi ya Machungwa (Orange) sh. 10,000, huku Rangi ya Bluu na Kijani ikiwa ni sh. 7,000.
Tiketi zitaanza kuuzwa keso (jumamosi) saa 2 kamili asubuhi katika vituo vya,  Karume (Ofisi za TFF), Mgahawa wa Steers (Posta Mpya), Oilcom (Buguruni), BigBon (Kariakoo),  Olicom (Ubungo), Dar Live (Mbagala), Uwanja wa Uhuru, Kivukoni (Ferry) na Makumbusho (kituo cha mabasi).
Magari yenye vibali maalum ndiyo yatakayoruhusiwa kuingia ndani ya uwanja siku ya jumapili kwa kupitia barabara ya Mandela na Uwanja wa Uhuru, barabara ya Chang'ombe itafungwa kuanzia saa 12 kamili asubuhi.
TFF inawaomba, wapenzi, washabiki na wadau wa mchezo kununua tiketi katika vituo vilivyotajwa ili kuepuka kuuziwa tiketi bandia, ili kuimarisha ulinzi na usalama wa mchezo, mashabiki wenye mabegi, silaha, vilevi na chupa za maji hawataruhusiwa kuingia navyo uwanjani.
Aidha katika mchezo huo TFF itatoa ujumbe maalum kupitia kwa wachezaji kuhamasisha juhudi za Taifa za kuzuia mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).

Real Madrid and Portugal forward Cristiano Ronaldo has won the FIFA Ballon d'Or award for player of the year.
 
Ronaldo scored a staggering 69 goals in 59 matches for club and country in 2013 and was hot favourite to claim the prestigious award which he last held in 2008.


Barcelona and Argentina's Lionel Messi has claimed the honours over the past three years but had to make way for his La Liga rival, despite his 43 goals in as many matches last year.

Bayern Munich winger Franck Ribery was the other player in the running but the France international was also to be disappointed.

Pele's place in football history was also recognised after he won the inaugural Ballon d'Or Prix d'honnneur award.

The Brazilian master was ineligible for the award during his playing career, which at the time was limited to players plying their trade in Europe.

FIFA inaugurated the world footballer of the year award in 1991 and with world football's governing body amalgamating their award with the Ballon d'or in 2010, the decision was made to honour Pele.
Nadine Angerer was named Women's player of the year for her part in Germany's 2013 European Championship wining side.

The 35-year-old saved two penalties in the final on 28 July 28 and was named player of the match following her side's 1-0 win over Norway.

source by www1.skysports.com

Operations Controller role in Tanzania

Job title: Operations Controller role in Tanzania
Job code: 52841_3625_1371740041
Salary Type: Competitive
Job type: Full-Time
Location: Africa, International
Category: Accountancy & Finance
Description:
Change International have been appointed exclusively by a leading international Oil & Gas firm based in Tanzania, to recruit for an Operations Controller.

Role:


  • Responsible for the overall financial management and profitability of the Segment within a GeoMkt.

  • Responsible for monitoring the working capital within the Segment by keeping DSO, Capex, Invenotries and Liquidity indicators at optimal levels.

  • Works closely with the Operations to ensure that the operations within the GeoMarket is conducted in compliance with the local laws.

  • Ensures that all financial transactions are recorded in compliance with the SLB policies and procedures. Ensure adherence to corporate ethical policies and internal controls. Organize periodic audits internally and assist in external audits.

Key competencies:


  • Finance or Accounting Degree & Professional Accounting/Finance certificate (CPA, MBA, CA)

  • Competencies to be kept current:

  • 5 years in a financial role

  • Big 4 background ideal but not essential

  • Must be committed to Tanzania

About our client:

One of the world's largest oilfield services company based in over 80 countries worldwide. Our client offers excellent career progression and development.

Why Tanzania?

This East African country covers a territory of 364,898 sq mi (945,087 km²), with a population of over 37 million people belonging to over 100 different ethnic groups. There is no official language in Tanzania, although Swahili is used for business and formal communications. English is also widely used. The main city, Dar es Salaam, is a bustling metropolis with busy streets, markets and tree-lined boulevards. Tanzania is home to several major national safari parks as well as the majestic Mount Kilimanjaro. Because Tanzania has not suffered the impact of other, more industrialised nations, many of its natural and historical treasures remain undiscovered.

Applying for the role:

To apply for this role please send your CV to laurie.pook@changeinternational

Due to the high volume of applications we are only able to respond to successful applicants.

Publish date: 20 June 2013
Expiry date: 20 July 2013

Jana usiku mchezaji toka Uingereza aliweka rekodi kwa kuwa muuingereza wa kwanza kushinda mataji manne katika nchi nne tofauti mara baada ya timu yake ya sasa Paris Saint Germany kushinda kwa goli moja kwa bila 1-0 dhidi ya timu ya Lyon katika ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1

 Itakumbukwa mchezaji huo amefanya hivyo akiwa na timu za Manchester United, Real Madrid ya uhispania na LA Galaxy ya marekani.
 
 Goli lililohihakikishia St German kunyakua kombe hilo lilifungwa katika dakika ya 53 na mchezaji Jeremy Mendez. Hata hivyo timu hiyo itabidi kusubiria hatima yao kutoka kamati ya nidhamu ya ligi hiyo dhidi ya kupokonywa pointi kutokana na  madai ya mkurugenzi wao Ufundi, Leornado kumsumbua  mwamuzi.


BECK TO WINNING WAYS ... The midfielder has won trophies in four countries




































Kocha mpya wa Mabingwa wa Uingereza aliyetangazwa jana kuchukua mikoba ya kocha wa sasa Sir Alex Ferguson ambaye ametangaza kungatuka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huukapo mwisho wa msimu huu.

David Moyes ametanabaisha nia yake ya kuwaleta Old Trafford wachezaji aliokuwa anafanya nao kazi akiwa Everton , Leighton Baines na kiungo mchezaji Maroune Fellain ,kwa wale wanaofuatilia ligi ya Uingereza mchezaji mwenye nywele ndefu kuliko wote katika ligi hiyo.

 David Moyes with Marouane Fellaini
 David Moyes akiwa na Maroune Fellain

 BAI WINDOW ... Moyes could pounce for Leighton Baines in the summer transfer period
 David Moyes akiwa na Leighton Baines




































Gareth Bale jana alifunga goli lingine zuri sana na kuzidi kuhuhidhirishia ulimwengu wa wapenda kabumbu duniani ya kwamba tuzo alizozipata msimu huu hazikuwa za kubahatisha na kama kuna mtu anahisi kapendelewa ajaribu kufikiria tena wazo lake hilo kabla ajajipa majibu ya jumla.

Mchezaji huyo jana aliifungia timu bao muhimu katika mchezo wao na timu ya Southampton na kufanya mbio za kuwania nafasi ya nne kushika kasi dhidi yao wao na Chelsea na Arsenal.

Gareth Bale
Gareth Bale akiwa ndani ya jezi ya timu yake ya Taifa, Wales


GOLDEN BALES ... Gareth Bale celebrates his winner





















































Kocha mtarajiwa na anayetajwa kurudi katika klabu ya Chelsea mwezi wa saba, Jose Mourinho amesikika akitanabaisha ya kwamba angependelea kuwaona wachezaji wawili  wakongwe wa klabu hiyo, Frank Lampard  34 na John Terry mwenye miaka 32 wakibakia katika timu hiyo.

Itakumbukwa ya kwamba  wakati wa ukocha wake akiwa na timu hiyo Mourinho almaarufu kama "The Special One" alifanikiwa kupata mafanikio makubwa akiwa kama mengi kuliko kocha mwingine yule aliyewahi kuingoza timu hiyo. Mourinho alifanikiwa kuchukua makombe 2 ya Ligi kuu, makombe 2 ya FA and makombe matatu ya kombe la Ligi (League Cups), mbali na kuwahitaji wakongwe hao pia Mourinho anawahitaji wachezaji Ramadel Falcao kutoka kwa mahasimu wake wakuu wa sasa  timu ya  Athletico  Madrid na Xavi Alonso kutoka timu yake ya sasa ya Real Madrid.

Itakumbukwa usiku wa Alhamisi mara baada ya timu ya Chelsea kufanikiwa kuingia fainali ya kombe la Europa mashabiki wa Chelsea waliliibuka tena na jina Mourinho tena na hii inaonyesha ni kwa jinsi gani kocha huyu anayopendwa Stamford Bridge.




OLD PALS ACT ... Jose Mourinho celebrates with Frank Lampard and John Terry
Mourinho enzi ya utawala wake akiwa na wakongwe wa klabu hiyo kwa sasa Frank and John.


Je kwani Mashabiki wa Timu ya Chelsea hawamsahau Mourinho?????



NOTABLE CHELSEA MANAGERS, BY WIN PERCENTAGE
Manager
Games Played
Win Percentage
Trophies Won
Guus Hiddink
22
73
One FA Cup
Jose Mourinho
185
67
Two League Titles, Two FA Cups, Three League Cups
Avram Grant
54
67
None
Carlo Ancelotti
109
61
One League Title, One FA Cup
Roberto Di Matteo
42
57
One Champions League, One FA Cup
Gianluca Vialli
142
53
One FA Cup, One Cup Winners' Cup, One League Cup, One Super Cup
Rafa Benitez
38
53
None (In the Europa League final)
Dave Sexton
373
44
One FA Cup, One Cup Winners' Cup
Ted Drake
424
37
One League Title


Opposition: Chelsea fans in the game after Mourinho was sacked in 2007


Still loved: Chelsea fans unveil a banner in support of Mourinho at the game against West Brom

The final word: Is Roman Abramovich (right) prepared to let Mourinho back into Stamford Bridge?


End of days: Mourinho's reighn at Real Madrid seems to be coming to an end

Jose akiwa Jukwaani kwenye mchezo baina yao na Borrusia, sura inaonyesha siku zake zinakaribia ukingoni na Real Madrid


Antics: Mourinho's off-the-field actions, such as throwing his title-winning medal into the crowd, endeared him to the Chelsea faithful
Mashabiki wakichangamkia medali ya ushindi ya Jose aliyowarushia mara baada ya kushinda taji la Ligi kuu ya Uingereza.


Simply the best: Nobody has been as successful as Jose Mourinho (centre) at Chelsea


















































































Mabingwa wa msimu uliopita wa Uhispania timu ya Real Madrid wametangaza nia yao ya kumtaka Mchezaji machachari wa Mancester United mzaliwa wa Mexico , Javier Hernandz kwa dau lolote kama njia mbadala ya kubalishana na Cristiano Ronaldo alionyesha nia ya kurudi Uingereza.

Itakumbukwa ya kwamba kulingana na tetesi zilizogaa kwa sasa ulimwenguni ni kuwa tim u ya Manchester United inataka kumrudisha mchezaji wao Crsitiano Ronaldio na Real kwa ada ya Paundi milioni 65.

 Javier Hernandez

Wakati Dunia ikiwa ikishuhudia ufalme wa soka wa klabu za Uhispania ukifikia ukingoni kwa timu zao maarufu na iliyokuwa inatajwa kama timu bora kabisa ulimwenguni  timu ya FC Barcelona ikitolewa nje ya mashindano ya klabu bingwa ya ulaya kwa kipigo cha aibu cha mabao  7-0 katika michezo yote miwili ya nyumbani na ugenini na Mabingwa wapya wa Ujerumani, timu ya Bayern Munich .

Sasa dunia inasubiria kuona kama kweli ufalme huu wa soka wa timu za uhispania na timu yake ya taifa kama ndio umefikia tamati hii ni kutokana na timu ya taifa ya nchi hiyo huwa imesheneni wachezaji wengi sana kutoka katika timu hizi kubwa mbili ya Real Madrid na Fc Barcelona.

Na si hayo tuu maswali yamebakia pia maswali ya jee Messi ndio ukali wake katika soka umefikia tamati ? itakumbukwa mchezaji huu ambaye ameweza kufunga kila mchezo katika msimu hu wa ligi ya Uhispani ameshindwa kupata hata bao moja katika michezo hii ya nusu fainali hata bao la kuotea tuu imekuwa vigumu kwake.

Mchezaji huu aliyekuwa na msimu bora kabisa msimu uliopita na kushuhudia kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara ya nne mfufulizo achilia mbali makombe ya ubingwa wa ulaya mara tatu na kombe la ubingwa wa Uhispania La Liga mara tano na hivi karibuni atatwaa la sita.

  
Can Messi improve any further at Barcelona? (©GettyImages)
Lionel Messi , Mchezaji bora wa dunia mara nne mfufulizo, Mara 3 ubinwa wa Ulaya na tano kombe la ligi ya uhispania (La Liga na karibuni atakjitaliwa la sita) ndio mwisho wake wa ukali wa soka umefikia tamati???



























































1. Neymar | Santos
Sorry folks, but Neymar tops the wonderkid list for me.
Neymar is expected to star at the 2014 World Cup finals (©GettyImages)
Neymar, Brazil


Compared to the likes of Lionel Messi for his instinctive dribbling, creativity, technical skill and explosive finishing, Neymar is a player that could provide a boost of electricity into any team.
Recently rejecting a new deal at Santos, the thought is terrifying should he be playing on the same team as the Argentine wonder after the summer transfer window. With his ability to play either on the wings or middle of the park in an attacking midfielder role, Neymar provides the complete forward package.


2. Mario Gotze | Borussia Dortmund
Despite sensationally securing a move to rivals Bayern Munich in the summer, the 20-year-old was making headlines for all the right reasons well before the announcement.
With his technical ability, speed and playmaking vision, it's clear for all to see that Gotze is already claiming stakes to be a world-class player in the near future. Experienced in playing in the false 9 role, Pep Guardiola may well have found the Lionel Messi for his Bayern side.


3. Stephan El Shaarawy | AC Milan
The 20-year-old was left to fill the void left by Zlatan Ibrahimovic's move to PSG - and didn't he do it well. El Shaarawy has established himself as an ever-present player for AC Milan, with his outstanding dribbling ability and immaculate first touch. Not only that, he's quite prone to have a pop at goal as well from outside the box, showcasing his powerful striking prowess.
With a few more seasons under his belt, he may well be leading the line for Milan for years to come.

4. Lucas Moura | Paris Saint-Germain
20-year-old Lucas Moura has been a revelation since signing for Ligue 1 side Paris Saint-Germain. Initially rejecting a chance to move to the Premier League champions Manchester United, Moura has exceeded expectations at PSG and shown his class with some mesmerising performances in Europe.
With fantastic vision, slick flair and a creative mindset, Moura is set to become one of the next Brazilian magicians of the game for both club and country.



5. Jack Wilshere | Arsenal
There isn't much that can be said about the 21-year-old Englishman other than he brings nothing but class to the pitch.
Wilshere brings movement, vision, passing and, above all, the determination and leadership qualities that could well see him captain club and country in the future.
Praised by veterans such as Wayne Rooney, Steven Gerrard and Frank Lampard, the future of Wilshere looks bright if he can recover successfully from his persistent injury problems.


6. Thibaut Courtois | Chelsea
20-year-old Belgium international Courtois has been hitting all the right notes while on loan at Atletico Madrid in La Liga.
Standing at a towering 6ft 6in, Courtois is commanding, powerful in the air and an absolute hit with the fans. Making his debut for Genk at the tender age of 16, he has gone on to impress for club and country and will no doubt have many suitors who are willing to spend big on his services.


7. Raheem Sterling | Liverpool
Having only just turned 18 a few months ago, capped for England and regularly appearing in the Liverpool starting 11, Sterling has been touted as an England star of the future.
With his blistering pace and skill to beat his opposite number, Liverpool would do well to tie down their young star with Arsenal and Manchester United waiting on the sidelines for a chance to grab him. If he can just develop the killer instinct to get into the box and score goals, Sterling has the potential to go all the way and develop into a world-class player.



8. Lucas Ocampos | AS Monaco
With clubs such as Barcelona and Juventus trailing him shortly after the Under-17 World Cup, Lucas shocked the football world when he decided to move to AS Monaco.
He is the complete forward package, capable of playing on both wings as well as the role of striker. Standing at 6ft 2in tall, he is quick with the ball at his feet, strong and has that special something on the pitch that gives his team an extra attacking edge.
It's no wonder he has been compared to Real Madrid star Cristiano Ronaldo. Oh, I almost forgot, he's only 18



9. Raphael Varane | Real Madrid
The 20-year-old Real Madrid star has broken through the youth ranks and established himself as a senior squad member. Calm and collected on the ball, Varane is comfortable tactically on the pitch and is one of Europe's best young central defenders.
Strong and with a bit of pace on him as well, it would strike as no surprise if Varane was one of the hottest properties in European football in the coming years with his current form and clinical defending capabilities.



10. Christian Eriksen | Ajax
Eriksen is a player of sharpness and quality. A fantastic dribbler of the ball, overshadowed only by his instinctive vision and ability to know where his team-mates are and where the ball should be played.

Not only capable of setting up goals, he's rather prone to scoring them as well.
Add to this the wealth of experience he brings to the table: appearances at the World Cup and European Championships for Denmark, as well as almost 200 senior appearances to his name at the age of 21.









Source by http://www.givemefootball.com/343131-top-10-wonderkids




































































Timu ya Aston Villa jana usiku ilifanikiwa kulikimbia janga la kushuka daraja mara baada ya kuifunga timu ya Sunderalnd kwa jumla ya mabao 6-1. Itakumbukwa ya kwamba timu ya Sunderland tokea kumfukuza kocha wake na kumuajiri kocha mpya mwenye   matata na vituko vingi tokea akiwa mchezaji hadi kocha, Paul Di Canio ilishajipatia ushindi mfufulizo katika michezo yote miwili iliyokuwa imecheza chini ya kocha huyo.

Alikuwa ni mchezaji toka Ubelgiji , Christian Benteke aliyeifungia Astona Villa mabao matatu, " Hatrick" na kuishusha timu ya Newcastle hadi nafasi ya tatu kutoka mkia kwa kufikisha jumla ya pinti 37 sawa na Newcastle ila ikiwa na tofauti kubwa ya magoli ya kufunga na kufungwa.

Naye kocha Di Canio asiyekosa maneno alisema," Wakati mwingine unapokuwa na chagula cha kutosha unapumzika" akiwa na maana ya kwamba timu yake ilibweteaka na ushindi mfufulizo katika michezo yake miwili iliyopita.


THE CLOCK STRIKES FOUR ... Big Ben rises highest to seal the win





























Kocha mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger amesema ya kuwa kwake yeye mchezaji bora wa mwaka huu ni Michael Carrick na sio Robin Van Persie.

Kocha huyo hakuishia hapo kusema tuu kuwa Michael Carick ndiye anyefaa kuwa mchezaji bora wa mwaka bali pia alisema ya kuwa uwa anaweza pia kuingizwa kwenye kikosi cha timu ya Barcelona na kuendana vyema na mfumo wa timu hi inayotegemea muda wowote kutangazwa mabingwa wa Ligi kuu ya Uhispania.

Manchester United's Michael Carrick
Kiungo wa Mancheter United, Michael Carick

Pamoja na kwamba magoli 24 aliyoyafunga Robin Van Persie katika msimu huu yaliyachangiwa kwa kiasi kikubwa kuwapatia Manchester United ubingwa wao wa 20 wa Ligi kuu ya Uingereza, kocha huyo amesema angependelea kuona Chama cha muungano wa wachezaji wa kulipwa (PFA) wakichamchangua kama mchezaji bora katika mwishoni mwa msimu.

Bingwa wa kupiga pasi (Pass Master) , Michael Carick katika mojawapo wa shughuli zake dimbani
Key man: Carrick (right) has started 47 of United's last 48 league games




Michael Carrick of Manchester United





















Timu ya Manchester United ya mjini Manchester jana usiku ilifanikiwa kutwaa ubingwa  wa Engalnda kwa msimu wa 2012/2013 ikiwa kama kombe lake la 20 tangia kuanzishwa kwa ligi ya nchi hiyo. Ushindi huo mwanana ulichagizwa na mabao matatu maarufu kama "Hatrick" yaliofungwa na mchezaji wa kidachi Robin Van Persie, itakumbukwa mchezaji huyu alitokea Arsenal ambapo aliichezea timu hiyo ya Emirates kwa takribani miaka minane na hakuwahi kufanikiwa kuchukua kikombe chochote na timu hivyo kombe hilo litakuwa ni la kwanza kuchukua katika maisha yake ya soka.


Robin van Persie

Mchezaji wa Machester United, Robin Van Persie akishangilia moja ya mabao yake aliyoyafunga jana yalioiwezesha Manchester United kutangaza ubingwa wake wa 20 kwa msimu wa 2012/2013


View image on Twitter

Wachezaji Rio Ferdinand na Rafael Da Silva wakishindwa kuzuia furaha zao



Rio Ferdinand

Wachezaji wa Man United wakianza kushereheka  ubingwa ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo, picha na www.thesun.co.uk
































































































Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.