Baadhi ni picha mbambali za matukio yaliokuwa yakiendelea katika kupambana na magadi wanaosemakana ni wa kikundi cha Al Shabab nchini kwenye ukanda wa maduka wa "Westgate Mall". 

Picha hizi zinaonyesha hatua mbambali katika kupambana na magaidi pamoja na picha za wafiwa walipoteza ndungu na jama zao katika tukio hilo baya lilisababisha vifo vipatavyo vya watu 69 na wengine 175 kujeruhiwa vibaya.


Samahani picha hizi si nzuri sana kuziangalia kutokana na matukio yake yanavyotia huzuni ila naomba watakaoweza kuzingalia wazingalie pasipo kuwahusisha watoto.

Muonekano wa jengo la Westgate kabla ya tukio la utekwaji














Mabegi ya utoajia wa damu kuwasaidia waliofikwa na janga





Waandishi wa habari wakijitoa muhanga katika kuhahakisha jamii wanapata picha na matukio ya kujua hatima ya ndugu zao

Kila mtu akitafuta namna ya kuyaokoa maisha yake

miili ya ndugu zetu wasiokuwa na hatia ikiwa imetapakaa chini



Ndugu waliopoteza ndugu na jamaa wakiwa katika huzuni kubwa














wachunguzi watukio la westgate wakiwa kazini

wachunguzi zaidi wakiwasili eneo la tukio




Askari wakiwa katika jitihada za kupambana na magaidi



Wanajeshi wakiondoka eneo la tukio mara baada ya kufanikiwa kuliokoa jengo la Westgate



Uharibifu wa mali uliosababishwa na tukio la kutekwa kwa Westgate
















Picha zote kwa hisani wa mtandao wa www.yahoo.com