Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWizara ya Mifugo na Uvuvi, Ubalozi wa Uholanzi Tanzania na wadau wa ufugaji wa kuku kwa pamoja wamezindua mradi wa kutathmini mtaala wa mafunzo ya ufugaji wa kuku...
Afisa
masoko wa kampini ya Gf Trucks & equipments, Gerald William
Akiwaelezea uwezo na ubora wa Mitambo mipya ya kutengenezea Barabara
(Excavator) aina ya Doosan baadhi ya wahandisi walotembelea banda lao
wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo uliofanyika katika mkutano mkuu wa
Mwaka wa ERB jijini Dar es Salaa.
Afisa
masoko wa kampini ya Gf Trucks & equipments, Gerald William
Akiwaelezea uwezo na ubora wa Mitambo mipya ya kutengenezea Barabara
(Wheel Loader) aina ya Doosan baadhi ya wahandisi
walotembelea banda lao wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo uliofanyika
katika mkutano mkuu wa Mwaka wa ERB jijini Dar es Salaa.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.