Kocha mwenye vituko na mbwembwe nyingi , Jose Mourinho jana alikaribishwa vizuri kwenye ligi kuu ya Uingereza ikiwa ni mara yake ya pili kuja kufundisha hapo kwa kukubali kupokea kipigio cha bao moja bila majibu toka kwa timu ya Everton.

Alikuwa ni mchezaji Naismith alipelekea ukairbisho huo kwa kufung bao maridadi  la kichwa mara baaya ya kupokea pasi ya kichwa  toka kwa Nikica Jelatovic ambaye alipokea toka kwa  Leon Osman's.
Marouane Fellaini on for Anderson Man Utd v Palace
Marouane Felaaini akiingia kuchukua nafasi ya Anderson

Naye kocha wa zamani wa Everton, David Moyes jana alifurahia ushindi wake kwanza akiwa anacheza uwanja wa nyumbani wa Manchester United, Old Trafford dhidi ya timu iliypanda daraja msimu huu Crystal Palce.

Walikuwa ni Robin Van Persie na Wayne Rooney waliopelekea ushindi huo kwa mashetani hao wekundu na kumwezesha David Moyes atoke na furaha kwa mara ya kwanza ndani ya OT.

Matoke mengine ya michezo iliyochezwa jana katika ligi kuu hiyo ya Uingereza ni kama ifuatavyo:-

























































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.