Michezo ya klabu bingwa ya Ulaya ilianza rasmi jana kwa timu mbalimbalimbali kuijpatia ushindi kwa magoli mengi ya kufunga. jkatika michezo yote iliyochezwa jana ilishuhudiwa jumla ya  magoli  30 yakifungwa na timu mbalimbali.

Timu ya Real MAdridi iliyoweka rekodi katika kufanya usajili msimu huu iliwaonyesha timu ya Galatasary kwa nini wao ni matajiri kwa kuipa kisago cha mabao 6-1 huku mchezaji aliyekuwa akishikilia taji la mchezaji ghali zaidi duniani, Cristiano akifunga magoli matatu pekee yake.

Nao mabingwa watetezi, Bayern Munich walianza kampeni yao ya kutetea taji lao kwa kuifunga timu ya  CSKA Moscow kwa mabo 3- 0, mabao ya mabingwa hao wa Ujerumani yalifungwa na mshambuliaji wao hatari Mario Mandzukic , David Alaba na Arjen Robben.

Muhtsari ya michezo iliyochezwa jana usiku na matokeo yake

  1. Manchester United  4-  Leverkusen 2 
  2. R Sociedad 0- Shakhtar D 2
  3. Copenhagen 1 – Juventus -
  4. Galatasaray 1-  Real Madrid 6 
  5. Benfica 2 Anderlecht -0
  6. Olympiakos 1 – PSG -4
  7. Bayern Munich 3 - CSKA Moscow 0
  8. Plzen 0 – Manchester City 3






FC Copenhagen 1 Juventus 1





Mario Mandzukic akishangilia moja ya mabao ya Bayern Munich dhidi ya CSKA Mosco













































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.