Mmoja kati ya wanasayansi
maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi
katika tendo la ndoa ukilinganisha na wtu wembamba. Mwanasayansi huyo
aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa
ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa
watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko
wembemba.
Watu wanene wanazo
sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo
tendo la ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye
wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali
iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha.
Kwa
watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha
ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu
wa raha katika tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa
na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa.
Ukweli
ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene
wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na
msingi wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima
itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.
Ukosefu
wa ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu, na hata kiasi kidogo tu
cha hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa
ufanisi na hivyo kushindwa kupata raha kamili. Dr. Helen singer ambaye
ni mwanasaikolojia maarufu anasema “kama
mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu
ya uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa
kumridhisha mwanamke huyo. Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume
wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz (kumwanga shahawa) bila
kufikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni".
Wanawake
wengi wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi ya
kudharauliwa na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na
wasiwasi kuwa uhenda wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa.
Utawaone wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta mvuto
kwa wanaume kwa sababu imani kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki.
Wanawake wengine wapatapo wapenzi wakati wa kufanya mapenzi hupendelea
kufanya mapenzi baada ya taa kuzimwa, wanaona giza litaficha ubaya wa
unene wao, jambo ambalo huondoa kujiamini na kupunguza mvuto kwa
mwanaume yeyote.
Wanawake
wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene
wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa
sababu ya unene wao, bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na
hali ya kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya
kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya apoteze matumaini.
Hali
ya kutokuwa na matumaini humpunguzia nguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe
na kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa
wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu
lenye huzuni na msikitiko tele.
Chanzo cha habari toka katika mtandao wa www.lindiyetu.com
Post a Comment