Hali ya jiji la Dar Es Salaam majira ya jioni ya leo imegeuka tete na kusababisganjia kushindwa kupitia kwa waendao kwa miguu na vyombo vyote vya usafiri, hali ilikuwa mbaya sana kwa maeneo mengi ya jiji la Dar Es Salaam.

Hadi tunakwenda mitamboni hapa ni maeneo ya posta mpya ambapo barabara hiyo ya Azikiwe ilijaa maji na kusababisha foleni kubwa sana na hadi muda huu wa  majira ya saa tano kasorobo usiku  bado foleni ya kutoka mjini ni kubwa sana.







Mikocheni maeneo ya Mayfair Plaza




























































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.