Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWizara ya Mifugo na Uvuvi, Ubalozi wa Uholanzi Tanzania na wadau wa ufugaji wa kuku kwa pamoja wamezindua mradi wa kutathmini mtaala wa mafunzo ya ufugaji wa kuku...
Mkuu
wa Idara ya Bima wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Bi. Kemibaro
Omuteku (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo
wakionyesha vipeperushi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya
Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni;
Mkuu wa Idara ya Mikopo, Andrew Lyimo, Meneja Bima ya Maisha, William
Mapela na Mkuu wa Idara ya Mauzo, Mongateko Makongoro.
Mkuu
wa Idara ya Mikopo wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo,
(kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya Bima ya Bure
ya Mkopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Bima wa
NBC, Bi. Kemibaro Omuteku.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.