April 7, 202505:06:37 PM

Mchezaji wa timu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil, Dani Alves jana usiku alijibu kwa aina yake ubaguzi wa rangi uliolekezwa dhidi yake kwa kuila ndizi iliyokuwa amerushiwa wakati akijiandaa kupiga mpira wa kona katika mchezo ulioshirikisha timu yake ya Barcelona na Villareal na kutoa washindi wa mabao 3-2.

Katika kuelezea tukio hilo mchezaji huo alitabanaisha ya kuwa anamshukuru sana mtu huyo aliyerusha ndizi hiyo kwa kusema ya kwamba ilimpa nguvu zilizomsaidia kupiga mipira niwili ya krosi zilizoisaidia timu yake kupata mabao.


Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.