Juhudi
za Askari wa Jeshi la Wananchi wakishirikiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji
zilifanikisha kumnasua kutoka kwenye mchanga dereva wa gari dogo mendo wa saa moja u nusu hivi asubuhi baada ya kuwemo ndani ya gari
hilo tangu saa 11 afajiri.
Dereva
huyo alipelekwa hospitalini kwa uchunguzi na matibabu zaidi.

Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari.




![]() |
Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari. |
![]() |

Source by www.wavuti.com
Post a Comment