Kila mmoja wa wapenda soka duniani walikuwa na imani ya kwamba kwa mchezo ulionyeshwa na timu ya Manchester United msimu hali ingekuwa mbaya sana katika mchezo wao wa kwansa wa robo fainali ila hali imekuwa tofauti na kuna kila dalili ambazo zinaonekana maajabu yanaweza kutokea katika mchezo wa amrudiano mjini Alianze Arena katika mchezo wa marudiano.

Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.