Mabingwa watetezi na mbingwa wa ligi kuu ya Ujeruman timu ya Bayern Munich jana usiku ilijutia ushiriki wake katika mashindano ya mwaka huu mara pale baada ya kukutana na kipigo kikali toka timu ya Real Madrid ya Uhispania mara baada ya kufungwa magoli 4-0 katika mchezo wa marudiania ya mashindano ya Klabu Bingwa ya Ulaya katika hatua ya Nusu Fainali.

Itakumbukwa juma moja lilipita mabingwa hao wa bavarian walikubali kipigo cha bao moja pasipo majibu katika mchezo wao wa kwanza wa mashindano hayo uliochezwa mjini madrid na hivyo kuhitimisha kwa kutolewa kwa jumla ya mabao 5-0.

Alikuwa ni mchezaji bora wa dunia na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo na Sergio Ramos beki toka Brazili waliopelekea kipigo hicho ambacho ni moja kati ya ushindi iliyoupata timu hiyo tokea mwaka 2002.

Iliwachukua dakika 34 Real Madrid kuandika bao lao tatu kupitia kwa nyota wake Christiano Ronaldo mara baada ya kupata pasi murua toka kwa Gareth Bale na kufanya kuongoza kwa mabao 3-0 mara baada ya beki Sergio Ramos kuwa tayari ameshaidakia timu hiyo mabao amwili kupitia kwa kichwa na kufanya mabingwa wao kulitazama taji lao la kumi ya mshindano hayo.


Ronaldo scored his 15th and 16th Champions League goals of the campaign


Ramos rises high to bullet a header past Neuer










































TIMU ZILIKUWA HIVI:
 
NYOTA WA MCHEZO— SERGIO RAMOS (Real Madrid)
Bayern Munich: Neuer 4, Dante 0, Ribéry 4 (Götze 72, 5), Mandzukic 5 (Martínez 46, 6), Robben 6, Boateng 3, Lahm 3, Müller (Pizarro 72, 5), Alaba 3, Schweinsteiger 5, Kroos 5.Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Van Buyten, Rafinha, Raeder, Hojbjerg.

Kadi ya njano: Dante.
Real Madrid: Casillas 7, Pepe 8, Ramos 9 (Varane 75, 6), Coentrão 8, Ronaldo 9, Benzema 8 (Isco 80, 6), Bale 9, Alonso 8, Carvajal 8, Modric 8, Di María 8 (Casemiro 84, 5). Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Diego López, Marcelo, Morata, Illarra.
Kadi ya njano: Alonso.
Ref: Pedro Proença (Portugal
















































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.