April 6, 202504:45:50 PM

Mashabiki wapatao 2000 wa timu ya soka ya Cheslea ya jijini London walipambana na mwahuni wa soka wa timu ya PSG wakati wakieleka kwenye mpambano wao wa kwanza wa robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya ambapo walifungwa magoli 3-1 na timu hiyo ya Ufaransa.

Inasemekana mashabiki wa timu hiyo ya London waliokuwa wametanda katika eneo mmoja lenye mkusanyiko mkubwa wa twatalii.

Shuhuda mmoja na mabaye pia ni meneja wa bar mmoja bwana Mark Oge alidokeza ya kuwa aliwaona mapambanao yakizuka mara baada ya wahuni wanaosadikika ni wa timu ya PSG wakiwa na sura zilifunikwa na vinyago usoni wakiwa nje ya bar ya McBride’s Irish pub katika mtaa wa Rue St Denis. Ambapo mashabiki wa timu ya chelsea walipokuwepo na kuona chupa iliyorushwa dhidi yao na ndipo mashambulizi yalipoibuka  kabla ya polisi kuwasili eneo hilo  na magari ya kutuliza ghasia.



Chelsea fans in Paris
Polisi wa kutuliza ghasia walipowasili eneo la fujo



Picha kwa msaada wa mtandao wa www.thesun.co.uk





















































Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.