Timu ya Chelsea ya mjini London jana ilimsaiduia kocha wao wenye vituko kedekede, Jose Mourinho kuzidi kukalia kuti kavu mara ilipopata ushindi wake wa mabo 2-0 dhidi ya timu ya Fulaham na kufanikiwa kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi kwa masaa huku ikisubiria michezo itakayochezwa leo.

Cheslea ilifanikiwa kukwea kileleni kuchukua nafasi ya Liverpool mara baada ya kupotezsa mchezo wake uliochezwa mapema dhidi ya timu ya Southampot kwa bao moja kwa bila.

Magoli ya Chelsea yalifungwa na Oscara na Obi Mikel  ambaye ni goli lake baada ya michezo takribani 250 kwenye klabu hiyo.

Na leo katika mji wa Manchster mahasimu wawili wa jadi Manchester United na Manchester City zinategemewa kushuka dimbani katika mtanange ambao utaleta upinzani mkubwa ukichukulia kila timu ikitaka kuonyesha ubabe wake ndani ya jiji hilo na mara baada ya timu zote mbili msimu kujikuta mikononi mwa makocha wageni hii ni baada ya Sir Alex Ferguson kutangaza kujiuzulu mwishoni mwa msimu uliopita kwa upandea wa mabingwa watetezi na Roberto Mancini kutimuliwa kwa upande wa Manchester City na nafasi zao kunyakuliwa na David Moyes na Manuel Pellegrini.











































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.