Everton 2 Liverpool 2

Luis Suarez akishangilia goli kwa mtindo wa kuruka mbele ya kocha wa Everton David Moyes ikiwa kama majibu kulingana na kocha huyo kumshutumu kwa vitendo vyake vyake vya kuruka.(Diving).

Kidiving diving mtindo unaolalamikiwa kwa sasa na baadhi ya waamuzi wengi walio kwenye kampeni ya kuukomesha mtindo huu, hapa Suarez akishangilia goli kwa mtindo huo anaolalamikiwa .

shuti la Luis Suarez likimbabatiza beki wa Everton, Leighton Baines na kujaa wavuni.

Luis Suarez akiipatia timu yake ya Liverpool goli la pili

Luis Suarez akishangilia goli akiwa na mchezaji mwenzake Martin Skrtel

Everton nao hawakua nyuma hapa Leon Osman akiipatia pia goli

Leon Osman akishangilia mbele ya Luis Suarez lkama alivyofanya kushangilia mbele ya kocha wake David Moyes.

Steven Naismith akishangilia kwa kuisawazishia Everton goli la pili.

Javier Hernandez maarufu kama Chicharito akishangilia mara baada ya kuipatia Manchester United goli la pili na la ushindi katika mchezo wa jana ambapo Manchester United ilitoka kifua mbele wa magoli 3-2

Baadhi ya matukioa yasiokuwa ya kiuanamichezo hapa ni kiti na makopo yaliorushwa uwanjani na mashabiki wa Chelsea kuelekzwa kwa wachezaji wa Manchester walipokuwa wanashangilia goli la Chicharito pamoja na waamuzi wa mchezo.

Rio akionyesha uanamichezo kwa kushikana mikono na Ashley Cole aliyekuwa anamtetea John Terry

Manchester wakijipatia goli la kuongoza kwa kupitia David Luiz aliyejifunga mwenyewe katika harakati za kuokoa mchomo wa Robin Van Persie hayupo pichani.

Robin van Persie akiifungia Mancgester s United goli la pili

Nyota wa Mchezo wa jana Robin Van Akishangilia mara baada ya kufunga.

Juan Mata akkipatia goli la kwanza timu ya Chelsea katika mchezo waliopoteza kwa magoli 3-2 dhidi ya Manchester United

Ramires akishangilia mara baada ya kuisawazishia Chelsea goli la pili na kufanya matokeo kusomeka 2-2 kwa wakati huo.

Branislav Ivanovic akitoka mara baada ya kuonyeshwa nyekundu kwa kumcheza visivyo Ashley Young.

Kadi iliyozua mtafaruku katika mchezo wa jana ya Fernando Torres mara baada ya kumhadaa mwamuzi Mark Clattenburg kwa kudive
Sotton yalala kwa Tottenham 2-1

wafungaji wa magoli ya Spurs, Clint Dempsey na Gareth Bale wakishangilia kwa pamoja ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Southampton.

Gareth Bale akiipatia Spurs goli la kuongoza

Mshambuliaji wa Sprurs, Jermain Defoe akimpongeza Gareth Bale mara baada ya kuipatia Totenham goli la kwanza.
PAPISS CISSE
Demba Ba and Papiss Cisse 2 West Brom 1

Papiss Cisse akishangilia mara baada ya kukata ukame wa magoli pamoja na with Sammy Ameobi

Demba Ba akiipatia goli la kuongoza timu yake ya Newcastle United

Romelu Lukaku akiweka mambo sawa kwa West Bromwhich Albion
Arsenal 1 Queen Park Rangers 0

Mshindi wa mchezo wa jana Mikel Arteta akishangilia goli la muda wa majeruhi lililoisadia Arsenal kutoka kifua mbele dhidi ya QPR

Jack Wilshere mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi takribani miezi kumi na saba 17 hatimaye amerudi rasmi

.Aaron Ramsey akionyesha uwezo mbele ya ya Armand Traore.
Aston Villa 1 Norwich 1

Robert Snodgrass akiwa amembeba shujaa wa goli la kusawazisha Michael Turner

Michael Turner akiipatia norwich City goli la kusawazisha na kuepushia na kipigo toka kwa Aston Villa ndani ya uwanja wa Villa Park.

Darren Bent na Stephen Ireland wa Aston Villa wakifuatilia mpambano kwa ukaribu wakiwa benchi
Manchester City 1 Swansea City 0

Mfungaji wa bao pekee Carlos Tevez akishangilia kuipatia Manchester goli la ushindi.

Carlos Tevezakiifungia Manchester City goli katika mchezo wao baina ya Swansea City na kuipatia City ushindi wa bao 1-0
![]() |
kama kawaida Mario hakosi kituko, hapa wakionyesha ubabe kwa kuwekeana kibesi na nahodha wa Swansea, Ashley Williams. |
Reading 3 Fulham 3



Stoke City 0 Sunderland 0


Wigan 2 West Ham 1


Post a Comment