JOHN TERRY hatimaye ametabanaisha ya kwamba hata rufaa juu ya hukumu iliyokuwa inamkabili ya kufungiwa kutocheza michezo minne na faini ya Paudni za Kiingereza £220,000 kwa tendo la ubaguzi wa rangi aliyomfanyia Anton Ferdinand.
Terry hadi kufikia saa kumi na mbili jioni ya leo alikuwa hajafanya lolote juu ya maamuzi yaliokuwa yamefakiwa na na kamati ya kujitegemea ya chama cha soka cha Uingereza.
Lakini kwa habri zilizoweza kupatiak leo asubuhi na gazeti la SunSport , Nahodha huyo wa Chelsea alikuwa maekubaliana na adhabu hiyo.
Katika maelezo yake katika maandishi, John Terry alisema, " Mara baada kutafakari kwa makini, Nimeamua kukubalina na uamuzi wa kamati na kwa maana hiyo sitakata rufaa dhidi ya uamuzi huo, " mwisho wa kunukuu., na ningependa kuchukua wasaa huu kumwomba kila mtu aliyehusika kwa namna moja au nyingine kwa maneno niliyoyatumia katika mchezo dhidi ya Queens Park Rangers mnamo mwishoni mwa mwezi wa kumi.
Ijapokuwa nimehuzunishwa na uamuzi wa FA, Nakubalina na kauli nilizozitoa pasipo kuangalia undani wake na ikiwa haziendani na sheria za soka au katika maisha ya kawaida.
Kwa upande wa pili waklabu habari zinasema kama klabu zinaona ya kuwa Terry kafanya jambo la maana katika kutokutaka rufaa juu ya maamuzi ya kamati hiyo.
Post a Comment