Who is the Prem’s worst diver?
Gareth Bale..............9%
Andy Carroll............ 1%
Javier Hernandez...... 2%
David Luiz ...............1%
Oscar...................... 1%
Luis Suarez ..............61%
Ashley Young ...........24%

Bingwa wa kujirusha , Louis Suarez hapa ni dhidi ya timu ya Sunderland
![]() |
Gareth Bale ajiaribu kumhadaaa mwamuzi wa mcheo dhidi ya Aston Villa juzi Jumapili, photo www.thesun.co.uk |
![]() |
Andy Caroll akijitahidi kumdanganya mwamuzi dhidi ya timu yake ya zamani Newcastle United msimu uliopita, photo by thesin.co.uk |
![]() |
Javier Hernandez akizozana na wachezaji wa Newcastle mara ya kujirusha, katika msimu wa 2010/2012 Javier aliambualia kadi mbili na tangia hapo ajapata tena kadi kwa kosa kama hilo. Photo by www.thesun.co.uk |

David Luiz katka mojawapo wa maamuzi aliyoyapata juu ya kujirusha, Photo by thesn.co.uk

Oscar ingawa ni mgeni katika ligi kuu ya Uingereza ila keshaingia kwenye listi ya wachezaji wanaopenda kujirusha, Photo by thesun.co.uk

Louis Suarez akiwa chini akilalamikia apewe penati

Ashley Cole naye akiwa katika harakati za kumuhadaaa mwamuzi ili apatiwe penati

Picha zote kwa hisani ya www.thesun.co.uk
Post a Comment