Defoe ndiyo sululuhisho la matatizo ya Chelsea 

 LIFT OFF ... deadly striker Jermain Defoe would thrive at Chelsea

 Mancini awajia juu mastaa wake, awaambia wazoee hali ya kubadilisha au waondoke kama hawawezi kuendana na mifumo yake. 

Mancini alimwambia Ricah Richards mara baada ya beki huyo kuhoji kitendo cha timu kubadilisha wachezaji wa nyuma watatu katika kipigo cha mabao 3-1 walichokipata toka kwa Ajax.

Aliendelea kusema labda Micah Richards aendelee kukaa benchi mpaka pale atakapokuwa ameeza kuuelewa vizuri mfumo huu mpya wa kubadilisha wachezaji.

MY WAY OR THE HIGHWAY ... Roberto Mancini tries to get his message across to Micah Richards yesterday
Roberto Mancini akiwa mazoezini na Micha Richards

Itamchukua miaka kumi kwa Ben Davies kuwa milionea. Wakati timu hizo zikikutana leo, Mchezaji huu wa Welsh analipwa Paundi £400 kwa wiki wakati wa upande wa pili Yaya Toure analipwa Paundi £240,000

kwa wiki.

Ben Davies
Ben Davies, Swansea City, Paund laki nne 400 kwa wiki

Yaya Toure
Yaya Toure, Manchester City Paundi 240,000

 

  Kagawa njee mwezi mmmoja.

Mchezaji wa Manchester United Shinji Kagawa anategemea kuwa nje kwa kipindi cha mwezi mmoja mara baada uya kuumia katika mchezo wa Klabu Bingwa dhidi ya Braga katikati ya wiki hii.

 

  Fergie awatahadharisha wachezaji wake.

Kocha mkuu wa Manchester United Sir. AlexFerguson amewatahadharisha wachezaji wake kesho itabidi wajitahidi la sivyo watafanya kosa ambalo watalijutia kwa msimu mzima kwani watakuwa wamefungua gepi la point saba  na mahasimu hao. Itakumbukwa Manchester United haijawahi kushinda mchezo waligi ndani ya uwanja wa Chelsea Stamford Bridge maaruda kama darajani tangia mwaka 2002.

Sir Alex Ferguson amewahimiza wachezaji wake wapigane vilivyo kesho.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.