Mwanamitindo na mshiriki wa Big Brother , IMOGEN Thomas haonekani kama yuko tayari kupumzika huku akiwa na ujauzito unakadiriwa kufikia miezi sita kama alivyokutwa kwenye fukwe za mjini  Marbella, Spain, mawio ya wikiendi hii.


Imogen Thomas
Mwaminitindo na aliyewahi kuwa mshiririki wa shindano la Big Brother , Uingereza Imogen Thomas katika picha ufukweni mwa beach ya Marbella nchini Uhispania wikiendi hii, Picha na www.thesun.co.uk



Imogen Thomas on holiday
Imogen akipunga upepo photo by thesun.co.uk



Imogen Thomas splashing in the sea

Imogen Thomas akifurahi mawimbi ya ufukwe wa Marbella, photo by www.thesun.co.uk

Imogen Thomas sunning herself

Mwanamitindo Imogen akifurahi kucheza na maji photo by thesun.co.uk



Mel B aliweza kuudhibitishia ulimwengu ya kuwa bado yumo katika listi ya walimbwende kama  alivyofanikiwa kuvuta macho na  hisia za waliohudhuria  katika sherehe za utoaji wa tuzo ya  Commercial Radio zinazofanyika kila mwaka ambapo zilifanyikia nchini Sydney.


Melanie Brown at Commerical Radio Awards in Sydney
Mwanamuziki na nyota  wa zamani wa kundi la Spice Girls, Mel B akipozi kwa picha wakati wa sherehe za kutunuku tuzo za Commercia Radia Award nchini Sydney, Australia. Photo thesun.co.uk

Mel B with Stephen Belafonte
Mel B mwenye miaka 37 ambaye kwa sasa ni mmoja wa majaji katika shindano la  The X Factor nchini  Australia, akiwa amepozi kwa furaha na mumewe  Stephen Belafonte, ndani ya suti.


Vita ya mavazi ndani ya shindano la X Factor , nani mshindi wa wiki ya pili katika onyesho la mavazi Je ni  Nicole au Tulisa 2?



Tulisa and Nicole Scherzinger
Sunday best ... Nicole na Tulisa wakiwa kwenye shindanola mitindo war Rex



Nicole Scherzinger and Tulisa square up in the style war
vita baina ya Nicole na Tulisa wakishindana kwa pamoja kwenye mitindo ya mavazi photo by Rex





























Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.