Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajili ya utafiki wa  Kansa mjini New York ujulikano kama Gabrielle’s Angel Foundation. . 

Kim akiwa katika gauni refu la blue na akitokea mjini Italia alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 32 alitokea ukumbini akiwa amevalia gauni refu la blue lilikuwa limeacha wazi eneo la  kifua.

Katika hafla hiyo pia mcgumba wa Ronaldo,  Irina Shayk pia aliweza kuvuta hisia za mashabiki waliohudhuria hafla hiyo.




Kim Kardashian attends the Angel Ball 2012 at Cipriani, Wall Street in New York City
Mwanamitindo na mchumba wa rapa maarufu Kanye, West, Kim Kardashian.




Bar Refaeli at Angel Ball 2012
Bar Refaeli
Splash News



Irina Shayk at Angel Ball 2012
Mchumba wa Nyota wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo Irina Shayk
WireImage







































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.