April 8, 202505:30:37 AM

Bosi wa Cheslea, Roberto Di Matteo (RDM) amemlilia bosi wa timu hiyo Roman Abramovich afanya awezalo ahahakishe beki wa timu anayemaliza muda wake klabuni hapo Ashley Cole anabaki katika timu hiyo kwa kupewa mkataba mwingine.

Mkataba wa beki huyo unaishi mwaka ujao katika majira ya joto na hayuko tayari kupewa mkataba wa maka mmoja kama kanuni na sheria ya timu hiyo katika kuwapa mikataba wachezaji waliokwisha timiza miaka zaidi ta thelathini, 30.


Labels:

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Post a Comment

    Author Name

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Powered by Blogger.