Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012

Nderemo baada ya Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.

Bendi ya muziki ya Vijana Jazz Orchestra 'Wana Pambamoto' ikitumbuiza kwa wimbo maalumu

Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012

Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.