Timu ya Taifa ua Uingereza ikiwa chini ya nahodha anayesbaika kama mchezaji mtukutu ktokana na matukio yake katika mchezo huo,  Wayne Rooney jana usiku iliisambua vibonde San Marino kwa magoli 5-0, katika mchezo wa kufuzu kwa fainali ya kombe la dunia zinazotegemea kuchezwa mjini Brazil mnamo mwaka 2014.

Wayne Rooney alifanikiwa kuonyesha ya kuwa sasa anafaaa kukabidhiwa kabisa mikoba hiyo mara baada ya kuipatia magoli mawili katia ta matano katika mchezo huo, huku mabao mengine mawili yakifunga na mchezaji mwenzake wa Mancehster United kinda Danny Welbeck na la tano likifungwa na mchezaji wkinda wa Arsenal Alex Chamberlain likiwa ni goli la kwanza katika michezo ya kimataifa.

England 5 San Marino 0


CAPTAIN MARVEL ... skipper Wayne Rooney gets England off the mark from the spot

Nahodha wa Mchezo wa jana Wayne Rooney akiiapatia Uingereza goli la kuongoza kwa njia ya tuta. Photo by www.thesun.co.uk


Theo Walcott

Moja ya kasoro zilizojitokeza katika ushindi wa mchezo wa jana ni kukimbizwa hospitalini kwa nyota wa timu ya Arsenal Theo Walcot mara baada ya kugongana na  kipa wa San Marino Aldo Junior Simoncini.



Danny Welbeck
Danny Welbeck akidondoshwa jana na  kipa wa San Marino



BECK HEEL ... Danny Welbeck flicks in England's second goal
Nyota wa mchezo wa jana Danny Welbeck akidondoshwa  chini na kuipatia Uingereza penati iliyosababisha goli la kwanza. Photo by thesun.co.uk



Wayne Rooney
Wayne Rooney akishangilia moja ya mabao yake aliyoyafunga jana akiwa kama pia nahodha wa mchezo.Photo by thesun.co.uk



Danny Welbeck

Danny Welbeck akishangilia golia lake la pili na la nne kwa Uingereza katika mchezo wa jana. ww.thesun.co.uk


Wayne Rooney
Rooney akiifungia Uingereza moja ya mabao ya jana.




Danny Welbeck
Hongera jembe ni kama Welbeck anamwambia Tom Cleverly kwa kazi kubwa aliyoifanya katika kiungo cha jana, Photo thesun.co.uk



Republic of Ireland yagalagazwa vibaya na Ujerumani kwa bao 6-1


MARC TWO ... Germany winger Marco Reus cracks home the second
Marco Reus wa Ujerumani akiifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 6-1, photo by thesun.co.uk



MARC ONE ... Marco Reus beats the dive of Keiren Westwood for Germany's first
Marco Reus akimtungua kipa wa Jamhuri ya Ireland,  Keiren Westwood . Phot by www.thesun.co.uk


Timu ya Ryan Giggs Wales yawatungia jirani zao wa Scotland kwa mabao ,awili kwa moja 2-1.


Gareth Bale

Mchezaji wa timy ya Wales na nyota wa Totenham Spurs , Gareth Bale akishangilia kwa furaha mara ya kuipatia timu yake goli la ushindi katika dakika za majeruhi. Photo by Thesun.co.uk





NO MISTAKE ... Bale slots home from the spot
Gareth Bale akiifungia Wales goli la kuzawazisha kwa njia ya penati ingawa penati hiyo ililamikiwa na wachezaji wa timu ya Scotland kwa madai ya kwamba bale alijirusha kumhadaa refarii alipokuwa akaikabilina na Shaun Maloney.Photo by thesun.co.uk



BEST FOOT FORWARD ... James Morrison puts Scotland ahead

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Scotland akiipatia timu yake bao la kuongoza katika dakika ya 27 ya mcehzo baina yao na Wales, ingawa bao hilo alikuweza kudumu hadi mwisho matokeao yalikuwa 2-1. Photo by thesun.co.uk


KNEESY RIDER ... Scotland hail Morrison
Wachezaji wa Scotaldan wakimpongeza James Morrison mara baada ya kuipatia timu hiyo goli la kuongoza. Photo by www.thesun.co.uk


































































































Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.