Nahodha na mchezaji wa timu ya Chelsea aliyefungiwa kucheza baadhi ya michezo ya Ligi kuu ya Uingereza mara baada ya kupatikana na hatia ya kumbagua mchezaji mwenzake wa Queen Park Rangers (QPR), Antoni Ferdinand leo usiku anategemewa kuwaongoza wachezaji wenzake akiwa amevaa kitambaa cha kupinga nakukemea ubaguzi wa rangi michezon kwa kuvaa kitambaa cha kupinga ubaguzi (Unite against Racism) dhidi ya mchezo wao na Shakhtar Donetsk.

Shirikisho la soka barani uilaya (UEFA) wiki hii linawata manahodha wote kuvaa kitambaa hicho katika michezo yao itakayochezwa  ikiwa watakuwa wanongozwa na watoto waliovaa kitambaa hicho na pia manahodha wote pia kufanya hivyo na John Terry kama nahodha imekuwa kama bahati kwani itakumbukwa mchezaji huyo alikuwa kwenye vichwa vya magazeti kwa kumtolea maneno ya kibaguzi mchezaji mwenzake Anton Ferdinand dhidi yamchezo wao katika uwanja wa Loftus mnamo mwezi wa kumi..
.
John amefungiwa kucheza michezo minne ya ligi kuu na kupigwa faini inakadiriwa kufikia Paundi za kiingereza  £220,000.


John Terry
































Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.