Wakati Liverpool wakilia na mshika kibendera Simon Bennet, timu nyingine ya Chelsea ya mjini London wao wanalia na mwamuzi kwa kusema ya kwamba Mwamuzi huyo aliwatolea maneno yasiokuwa ya knawamichezo baadhi ya wachezaji wake waiwil katika mpambano mkali na unaolalamikiwa ya kuwa alimtoa nje kimakosa Fernando Torres katika mchezo walioshindishwa na mahasimu wao wakubwa Manchester United kwa mabao 3-2.
Wakati Chelsea wakimlalamikia mwamuzi kwa matamshi yake kwa wachezaji hao wawili wanaosadikika ni John Obi Mikel aliyemfuata baada ya mechi na Juan Mata na kufikisha malalamiko hayo kwa upande wa pili kocha wa Manchester United yeye kasema Fernando Torres alistahili kupewa kadi hiyo nyekundu kwa kuruka maarufu kama Diving., kocha huyo ambaye pia alikuwa na majibizano ya maneno na kocha wa "The Blues", Roberto Di Matteo mara baada ya mchezaji huyo kupewa kadi hiyo dakika ya 68 ya mchezo.
Diving ya Fernando Torres iliyozua mzozo mkubwa katika mchezo wa jana.
Post a Comment