Ron's from outer space
Ronaldo wa sayari nyingine  tofauti na dunia. Photo thesun.co.uk



Kocha wa Madrid, Jose Mourinho ametabanaisha ya kuwa hakuna wa kumfafanisha na Cristiano Ronaldo, akiendelea kujigamba kocha huyo amesema ya kuwa mpira anaocheza Ronaldo ni tofauti kabisa na wanaocheza wengine na huenda mchezaji huyo anatokea sayari ya Mars.

Majigambo hayo yamekuja mara baada ya Kocha wa Barcelona Tito Vilanova kusema ya kuwa hakuna kama Lionel Messi akienda mbali akisema hakatai ya kuwa Ronaldo ni mchezaji bora, Mourinho akaendela kusema anaamini kabisa Ronaldo anatokea sayari nyingine  ikiwa kama Messi ni bora katika sayari hii ya dunia basi Ronaldo hatakuwa ajazaliwa  Madeira bali atakuwa  amezaliwa sayari ya Mars na anatokea sayari ya "universe."

Malumbano haya yamekuja baada ya wachezaji wote kutajwa ya kuwa watakuwemo kwenye orodha ya wachezaji wataogombea nafasi ya mchezaji bora wa Dunia hapo mwishoni mwa mwezi huu tarehe 30 na mchezaji bora kutangazwa hapo mwakani tarehe 7 mjini Zurich.

Mourinho akazidi kudai huwezi kumlinganihsa Ronaldo na Messi mchezaji aliyezungukwa na wachezaji aliocheza nao kwa muda mrefu na si siye kama Ronaldo aliyehamia kwenye timu iliyokuwa na sifa ya kupoteza michezo na kuifanya kuwa timu  ya ushindi katika muda wa miaka miwili tuu.

Pia huwezi kumfananaisha Mesi anayecheza namba tisa ambapo ni hatua hamsini (50) tuu toka langoni mwa adui na walinzi washapoteza mueleko.

Wakati Ronaldo anacheza kama winga. Inawezekana vipi kwa winga kufunga magoli mengi kama mshambualiaji wa kati (9)" na pia  Ronaldo si mchezaji anayelindwa na mtu yeyote.


Source by thesun.co.uk

























Labels:

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.